Najuta kwa madhambi niliyoyafanya nikiwa Chuo Kikuu, naomba Mungu watoto wangu wasipite njia ile

Uongo.

Mabibo hostel ulikuwa unakaa block gani?
 
Ukitaka kujua kusagana Ni Raha kuliko wanaume muangalie mbunge Fulani. Kamuacha mume manyota na kuollewa na gume gume Fulani lililojizehekea mpaka sauti
 
Mfateni PM akawatapeli. Hill NI lidume hata mwandiko.
Alipokosea NI hapo anasema "hadi madawa ya kulevya nimesafirisha'...
 

Pigia yesu makofi
 
Sasa nikae nae nyumbani mwananfunzi wa chuo kikuu je kawa chekechea, hayo uliyoyaandika ni tabia ya mtu si kweli kwamba kile KE anayekuwa hosteli anakuwa na tabaia chafu kama za kwako, wewe shida yako ilikuwa ni tamaa na malezi mabovu
 
Ndani ya miaka mitatu uuze ngada,uvute sigara,bangi, usagane,udange at the same time uhudhurue lectures na ugraduate? Jf story za kutunga zimezidi bora kuhamia quora.
Kabisa, nipo huko Quora naipenda Sana ile haina wajuaji,
 
assignment anamlipa mtu anamfanyia

test anaomba connection kwa profesa pakusoma

Quiz analipa mtu anamfanyia ikitokea haiwesekani ataongea na mwalimu

hapo tukutane tu UE
(Mtoa mada anaonekana hajasoma makozi magumu)
Elimu yenu imeeasimisha hiyo mienendo kweli, au unasema tuu
 
Nitakupeleka kwa Yesu akakuondolee hamu ya uzinzi
Hapa duniani, YESU anakaa wapi hadi wewe uweze kumpeleka?
Isije ikawa unampeleka mtu kwa mchungaji wa kilokole halafu unasema unampeleka kwa YESU.
KIFUPI: BWANA YESU anamwita na kumbadilisha tabia mtu yeyote kupitia roho yake huyo mtu( hayo ndio mabadiliko ya kweli).
 
Inaonekana

1. unajuta na unamwomba Mungu wanao wasipite njia hyo
2. unadhan labda wazaz wako walikosea kukupeleka hostel

Lakini mzizi wa tatizo sio hilo, mzizi inawezekana ni ww kuchelewa kufunguka na kujua mabaya ya Dunia labda sabab wazaz wako na kuwa na dini walikubana sana, na pia tamaa ya pesa.

Sasa tambua miaka sahihi ya kijana kujua na kujaribu mambo ni akiwa chuo, maana akijaribu kabla ataharibikiwa sana, na akijaribu baada ya hapo Kuna kuharibikiwa zaid.

Cha muhim mfundishe mwanao mapema, kijana wa miaka 18-24 anapaswa kuwa na utashi wa kujua faida na hasara ya Kila uchaguzi wake.

Tofaut na hapo omba ila tambua hata wazaz wako walikuwa wanakuombea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…