Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Nimehisi pia, hakuna mwanamke wa kuandika hivo, huko Twitter ma-parody Kama Haya Ni mengi SanaHalafu huyu ni dume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimehisi pia, hakuna mwanamke wa kuandika hivo, huko Twitter ma-parody Kama Haya Ni mengi SanaHalafu huyu ni dume.
Kama hamna umuhimu wa binti Yako kukaa hostel, Kaa naye nyumbani ili awe salama
how much is too much?Ukimwi hakosi huyo kaamua tu kutuficha
Ukiwa kama mzazi naomba tu usome na kuelewa Nini huwa kinatokea kwenye mabweni ya wanachuo wengi wa kike.
Nilipokuwa kuwa chuoni, UDSM niliishi Mabibo hostel kabla sijapata mwanaume aliyenipangia nyumba.
Pale hostel nilijifunza mambo mengi mabaya, machafu na ya hovyo.
Nikiwa pale ndipo nilijifunza usagaji, kusagana ni raha sana na kupo very addictive. Imenichukua miaka mingi kuweza kuishinda dhambi hiii kwani hata nyumbani licha ya kwamba niko kwenye ndoa, nilikuwa nawashawishi wasichana wangu wa kazi, nawafundisha mchezo huo Huku nikiwalipa donge nono kwa kuniburudisha na kunitunzia Siri.
Mbali ya kusagana bado nilikuwa na Mabwana wengi tu nikiwa chuo. Chuoni nilijifunza ulevi, uvutaji sigara na bangi na mambo mengine.
Licha ya kwamba nimekulia kwenye familia ya Wacha Mungu , nikiwa chuo nikijifunza ushirikina. Nikajifunza maisha ya kwenda kwa waganga ili kupata dawa za mvuto kwa wanaume.
Chuo nilitoa mimba nyingi sana. Nilikuwa mlevi wa pesa, nilikuwa tayari kufanya lolote ili niwe na pesa.
Nimeahawahi kusafirisha madawa ya kulevya mara kadhaa, namshukuru sikukamatwa.
Wazazi, watoto wenu huko vyuoni sio watakatifu kama wanavyoonekana. Wengi wanaharibika wakiwa chUoni.
Kama hamna umuhimu wa binti Yako kukaa hostel, Kaa naye nyumbani ili awe salama
Alafu mtu atakuja kukuoa mbona hatari hiiNdio maana wewe sio Mimi. Sioni haya kwa Yesu, amenikomboa sasa niko huru.
Ndani ya miaka mitatu uuze ngada,uvute sigara,bangi, usagane,udange at the same time uhudhurue lectures na ugraduate? Jf story za kutunga zimezidi bora kuhamia quora.Chai hii, Tena haina sukari
Sasa nikae nae nyumbani mwananfunzi wa chuo kikuu je kawa chekechea, hayo uliyoyaandika ni tabia ya mtu si kweli kwamba kile KE anayekuwa hosteli anakuwa na tabaia chafu kama za kwako, wewe shida yako ilikuwa ni tamaa na malezi mabovuUkiwa kama mzazi naomba tu usome na kuelewa Nini huwa kinatokea kwenye mabweni ya wanachuo wengi wa kike.
Nilipokuwa kuwa chuoni, UDSM niliishi Mabibo hostel kabla sijapata mwanaume aliyenipangia nyumba.
Pale hostel nilijifunza mambo mengi mabaya, machafu na ya hovyo.
Nikiwa pale ndipo nilijifunza usagaji, kusagana ni raha sana na kupo very addictive. Imenichukua miaka mingi kuweza kuishinda dhambi hiii kwani hata nyumbani licha ya kwamba niko kwenye ndoa, nilikuwa nawashawishi wasichana wangu wa kazi, nawafundisha mchezo huo Huku nikiwalipa donge nono kwa kuniburudisha na kunitunzia Siri.
Mbali ya kusagana bado nilikuwa na Mabwana wengi tu nikiwa chuo. Chuoni nilijifunza ulevi, uvutaji sigara na bangi na mambo mengine.
Licha ya kwamba nimekulia kwenye familia ya Wacha Mungu , nikiwa chuo nikijifunza ushirikina. Nikajifunza maisha ya kwenda kwa waganga ili kupata dawa za mvuto kwa wanaume.
Chuo nilitoa mimba nyingi sana. Nilikuwa mlevi wa pesa, nilikuwa tayari kufanya lolote ili niwe na pesa.
Nimeahawahi kusafirisha madawa ya kulevya mara kadhaa, namshukuru sikukamatwa.
Wazazi, watoto wenu huko vyuoni sio watakatifu kama wanavyoonekana. Wengi wanaharibika wakiwa chUoni.
Kama hamna umuhimu wa binti Yako kukaa hostel, Kaa naye nyumbani ili awe salama
Kabisa, nipo huko Quora naipenda Sana ile haina wajuaji,Ndani ya miaka mitatu uuze ngada,uvute sigara,bangi, usagane,udange at the same time uhudhurue lectures na ugraduate? Jf story za kutunga zimezidi bora kuhamia quora.
Elimu yenu imeeasimisha hiyo mienendo kweli, au unasema tuuassignment anamlipa mtu anamfanyia
test anaomba connection kwa profesa pakusoma
Quiz analipa mtu anamfanyia ikitokea haiwesekani ataongea na mwalimu
hapo tukutane tu UE
(Mtoa mada anaonekana hajasoma makozi magumu)
Hapa duniani, YESU anakaa wapi hadi wewe uweze kumpeleka?Nitakupeleka kwa Yesu akakuondolee hamu ya uzinzi
Duh nawe member ?Hicho kibo unapanda tu mwenyewe bro
Point taken!Kama hamna umuhimu wa binti Yako kukaa hostel, kaa naye nyumbani ili awe salama.