Najuta kwa mara nyingine kuwa na mahusiano na mke wa mtu

Usipo chukua utapigiwa wewe,

Mimi nimeoa sitaki kuchepuka na mke wa mtu Ila siwezi siwezi kusema 'siwezi' chukua mke wa mtu maana najua shetani ana nguvu
Mimi kupigiwa siwezi maana siji kukaa kufanya ujinga unaoitwa kuoa. Kama ni demu ninane na demu sio wa mtu mmoja tuna share.

She's not yours, It's just your turn.
 
Hapo kipengele cha mwisho ndo umekosea....yaani huyo jamaa hata angekua House Boy wako huwezi mmudu akigundua unamlia mkewe. Hujamheshimu jamaa,na hili tutalijadili kwenye kamati kwa kuvunja miiko ya kula muke ya mutu
 
Mkuuu ulimpiga show ya kibabe.au.tako
 
Unajisifia ujinga, unajifanya kuona unaumia huku ukijijengea wigo (Rejea: huyo mumewe nnamudu). Mwisho wako hauko mbali na jua hakuna mwanaume mnyonge linapokuja swala la kuliwa mkewe. Atakuweza hata kama sio kwa mapigano bas kwa uchawi
 
Unakosea sana sana mkuu na hata uliposema eti mumewe " unammudu"seriously? Ummudu mtu na mkewe kwa kweli unachokifanya litakukuta jambo moja baya sana ni laana unatumia na nguvu na wadhifa wako kuona huyu anastahili kuliwa mkewe kwa sababu unazozijua? Utalipiwa sawa sawa na matendo yako
 
Hivyohivyo ndivyo mkeo analiwa
 
Maisha hayanaga kanuni ya aina moja yenye kufanana!

Ukilielewa hilo utaweza kuwa na provisions za aina mbalimbali kwenye maswala mbalimbali.
 
Kuna wanawake ambao waliolewa ndoa kabisa na waliolewa wakiwa virgins kabisa hawakuwahi ku sex wamesoma hadi elimu ya chuo kikuu na kushinda vishawishi vingi.

Walipokuja kutendwa pakubwa na wanaume zao wa ndoa ndipo walijua kutia akili.

Tabia wengine wanakuwa forced kuwa nazo aisee!

Dunia ina mambo mengi sana.
 
umeongea kwa uchungu sana, kuchapiwa kunauma sana

nakuona umeshika nafasi ya mwenye mke kabisa

akitaka kupona asikie maneno yako
 
Jitahidi kila mnapokutana uwe umebeba K-Y, maana unaweza kugeuziwa kibao ukajikuta unatatuliwa malinda yote.Amini maneno yangu kuna siku utakuja kusimulia hapa.
 
Sasa unataka huyo mke wa mtu akakazwe wapi? Cha mtu huliwa na mtu


Jamani kwaresma hii acha nilog out!!!!
 
Sitakuja chukua mke wa mtu nikiwa najua ni mke wa mtu. Labda nipite nae bila kujua (anidanganye kuwa hajaolewa).


Ni sawa kukusudia vyema.

Lakini,

Nguvu ya penzi nayo inasehemu yake pia!

Wakati mwingine wala siyo kusema labda ni tamaa na kujiendekeza hapana , yaweza tokea tu kama coincidence.

Yani unajikuta kujutia kuoa galasha na yule kujutia kuona kaolewa na galasha [emoji108][emoji108]

Hao watu wawili wa jinsia tofauti ikitokea coincidence ya namna hiyo penzi lao huwa halina kifani [emoji108][emoji108]

Halafu unakuta walipendana sana hapo awali na hawakuwahi kujuana kimwili kabisa yakabaki mawasiliano ya karibu tu kwa muda wa miaka pengine kwa mfano !

Mwanamke akiamua kuufungua moyo wake na kuridhia kumpa jamaa nafasi moyoni usipime!

Unajua moyo kuyeyuka zidi ya mtu fulani?!
 
Ngoja tuone. Will I be able to stand the test of time?

??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…