Nakumbusha kidogo tu, Lissu ni mtu wa aina gani huenda watu wameshasahau

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
40,702
Reaction score
41,213
30 Jul 2015

Mbunge Tundu Lissu ambaye pia ni Mwanasheria wa CHADEMA alikutana na ripota Fredrick Mwakikato wa TZA ) na kuzungumzia ishu kadhaa ikiwemo ya Lowassa kujiunga na CHADEMA.

View attachment 3392020
Ndio maana mnataka kumpa sumu?
IMG-20250703-WA0002.jpg
 
30 Jul 2015
Mbunge Tundu Lissu ambaye pia ni Mwanasheria wa CHADEMA alikutana na ripota Fredrick Mwakikato wa TZA ) na kuzungumzia ishu kadhaa ikiwemo ya Lowassa kujiunga na CHADEMA.

View attachment 3392020
Duh!
Mkuu "StakeHigh'. Eti unasemaje kuhusu hiyo 'interview'?
Unauliza, au unasema "Tundu Lissu ni mtu wa aina gani"; baada ya kusikiliza mahojiano hayo?

Kwanza, kwa mara ya kwanza kabisa nikushukuru kwa kuweka kumbukumbu hiyo, sisi wengine hatukuwahi kuiona na kuisikia.

Kuhusu Tundu Lissu ni mtu wa namna gani"; mahojiano hayo yanazidi kumwonyesha kuwa mtu mwenye uwezo mkubwa katika kuelewa na kujibu maswali; hilo la kwanza.

La ili, ni kwamba Tundu Lissu ni mtu makini sana na mkweli kabisa; hana ubabaishaji kama ulaghai unaofanywa na viongozi wengi, kama akina Kikwete, Samia. Amenyooka kabisa. Ana okwambia jambo, ndilo hilo, na hakwambii kwa kuvungavunga.

Sasa wewe sijui ulielewaje majibu aliyoyatoa kwenye mahojiano na mwandishi, maana yote ya o wazi kabisa.
 
..Naamini Tundu Lissu akitathmini uamuzi wa Chadema kumchukua Lowassa atakubali kuwa walikosea.
Haana.
Kabla ya yote tujibu swali hili: Je, CHADEMA waliamini kuwa wakim ata Lowassa wanaweza kushinda? Kama jibu ni ndio,..

Msikilize maelezo yake vizuri.
Hiyo haina maana kukana maovu aliyokuwa nayo Lowassa, ambaye alitokea kwenye mfumo mbovu ndani ya CCM. Ulikuweo wakati ule, na leo hii ndio umeshamiri zaidi; lakini hatusikii watu wakilaani chama chote cha CCM.

CHADEMA walikuwa na nia ya kuibomoa CCM; hilo eke yake lilikuwa ni lengo bora kabisa. kama lingefanikiwa.
 
he made stupid decisions even before he got into problems
You must be out of your mind.
Who made you the judge to determine what merits to be considered a stu id mistake or not?
 
Huyu jamaa kanyooka tangu zamani ni moja ya Wanasiasa wazalendo wachache sana tuliobahatika Kuwa nao kwenye hii nchi
 
Duh!
Mkuu "StakeHigh'. Eti unasemaje kuhusu hiyo 'interview'?
Unauliza, au unasema "Tundu Lissu ni mtu wa aina gani"; baada ya kusikiliza mahojiano hayo?

Kwanza, kwa mara ya kwanza kabisa nikushukuru kwa kuweka kumbukumbu hiyo, sisi wengine hatukuwahi kuiona na kuisikia.

Kuhusu Tundu Lissu ni mtu wa namna gani"; mahojiano hayo yanazidi kumwonyesha kuwa mtu mwenye uwezo mkubwa katika kuelewa na kujibu maswali; hilo la kwanza.

La ili, ni kwamba Tundu Lissu ni mtu makini sana na mkweli kabisa; hana ubabaishaji kama ulaghai unaofanywa na viongozi wengi, kama akina Kikwete, Samia. Amenyooka kabisa. Ana okwambia jambo, ndilo hilo, na hakwambii kwa kuvungavunga.

Sasa wewe sijui ulielewaje majibu aliyoyatoa kwenye mahojiano na mwandishi, maana yote ya o wazi kabisa.
🤣 🤣 toka USA AID imesitishwa wagonjwa hampungui kabisa,
yeye mwenye amekiri alifanya ivo kwa kupokea ela wewe unamwita makini 🤣

View: https://youtu.be/C4UPNOeCoRQ
 
Haana.
Kabla ya yote tujibu swali hili: Je, CHADEMA waliamini kuwa wakim ata Lowassa wanaweza kushinda? Kama jibu ni ndio,..

Msikilize maelezo yake vizuri.
Hiyo haina maana kukana maovu aliyokuwa nayo Lowassa, ambaye alitokea kwenye mfumo mbovu ndani ya CCM. Ulikuweo wakati ule, na leo hii ndio umeshamiri zaidi; lakini hatusikii watu wakilaani chama chote cha CCM.

CHADEMA walikuwa na nia ya kuibomoa CCM; hilo eke yake lilikuwa ni lengo bora kabisa. kama lingefanikiwa.
kwahio mlimtumia mwizi kukomboa wizi 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom