Haana.
Kabla ya yote tujibu swali hili: Je, CHADEMA waliamini kuwa wakim ata Lowassa wanaweza kushinda? Kama jibu ni ndio,..
Msikilize maelezo yake vizuri.
Hiyo haina maana kukana maovu aliyokuwa nayo Lowassa, ambaye alitokea kwenye mfumo mbovu ndani ya CCM. Ulikuweo wakati ule, na leo hii ndio umeshamiri zaidi; lakini hatusikii watu wakilaani chama chote cha CCM.
CHADEMA walikuwa na nia ya kuibomoa CCM; hilo eke yake lilikuwa ni lengo bora kabisa. kama lingefanikiwa.
chawa wake hawawezi kukubali ndo supreme lida wao
hio ni agenda ya wanaokata moto, ni tume hii hii iliomfanya akashinda ubunge miaka 10 sasa leo umeshindwa ndo agenda ya tume unaleta, au mnachukulia kama hatuna akili..Tatizo lako unapambana na Lissu badala ya HOJA aliyoiweka mezani.
..Lissu anabebwa na uzito wa hoja yake ya REFORMS.
..Na amefanikiwa kushawishi umma kwamba chaguzi zetu haziendeshwi kwa HAKI.
..wananchi wanataka mfumo wa uchaguzi ambao kura yao itakuwa na nguvu.
..tukiweka mifumo mizuri Lissu, au yeyote yule akikosea, wananchi watakuwa na uwezo wa kumpumzisha.
🤣 🤣 toka USA AID imesitishwa wagonjwa hampungui kabisa,
yeye mwenye amekiri alifanya ivo kwa kupokea ela wewe unamwita makini 🤣
View: https://youtu.be/C4UPNOeCoRQ
Hata leo hii akiatikana Chizi wa kulibomoa GENGE la Samia itakuwa ni faida kubwa sana kwa taifa hili.kwahio mlimtumia mwizi kukomboa wizi 🤣 🤣
That's hind site. The original intent was excellent!si alishakiri it was a stupid decision
Be honest to yourself, Samia Suluhu Hassan hata tundu kichwani hana, kumejaa takataka, lakini kila siku uo haa kuuza takataka!kwa ni siri 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 tunapowaambiaga mnasupport mtu mwenye tundu kichwan mue mnaelewa
Kukosea ni kwa yeyote, hakuna mkamilifu...kuna dhana ambayo TL na wapinzani wenzake waliaminishwa, au wameanishwa, kwamba ili mabadiliko yaje lazima kuwe na mpasuko Ccm.
..sasa kwa kipindi kile wapinzani waliamini mpasuko wa Ccm utaletwa na Lowassa kuondoka huko na kujiunga nao.
..wapinzani walikuwa wanasikiliza sana ushauri wa Raila Odinga, Maalim Seif, na wengine kuhusu namna ya kuiondoa Ccm madarakani.
..sasa ukisikiliza hoja na maelezo ya Tundu Lissu kipindi kile utaona kwamba na yeye alikuwa ameshawishika na hoja au mtizamo huo.
..Mzee Lowassa alihamia Chadema lakini Ccm haikupasuka na hakukiletea ushindi chama chake kipya. Zaidi Mzee Lowassa hakutimiza matarajio ya chama chake kipya. Baada ya uchaguzi, kwa sababu mbalimbali, Lowassa alizima.
..Mimi naamini Lissu akitafakari na kupima maamuzi yao ya kumpokea Mzee Lowassa atafikia hitimisho kwamba Chadema walikosea. Na hakuna chama kisichokosea.
Kwa nini hutaki tume huru? Wapinzani mpaka mbunge wa upinzani atangazwe lazima damu imwagike tukatane mpanga ndo wapinzani atangazwe?hio ni agenda ya wanaokata moto, ni tume hii hii iliomfanya akashinda ubunge miaka 10 sasa leo umeshindwa ndo agenda ya tume unaleta, au mnachukulia kama hatuna akili
But that that "same thief" was rehabilitated back into the fold. The objective was to vanguish all the thieves from where he came from. That would have been a noble justification.recruit a thief you shouted for 10 years was excellent? if this is chadema then am proudly happy ccm exists
Much alive than a rotting carcass, which you are.yeye mwenyewe kakiri it was a stupid idea ni pesa tu ila wewe uko apa unamtetea 🤣 🤣 , are you sure your alive