Nakumbusha kidogo tu, Lissu ni mtu wa aina gani huenda watu wameshasahau

wewe mtu ashakubali alizingua pesa zilimvuruga wewe unamtetea kama sio unakaribia kukata moto ni nn
Ulipoona tu kipande hicho, haraka ukakimbilia hapa ukidhani ni jambo kubwa sana la kum-discredit' nalo. Akili yako ndogo ndivyo inavyo kuendesha hivyo, hujui kuwa video nzima ni positive kwake.
 
nmeweka mahojiano 2 tafauti na pia haiondoi ukwel wa tukio, unachotaka kuelezea ni upuuzi kwan mhusika ashakiri wewe unachotetea ni nn,
 
Hilo halikusaidii kitu kwa lengo lako la kutaka kum-'discredit' kwa jambo ambalo lengo lake wakati lililpofanyika lilijulikana vyema.
Waweke sambamba, Samia Suluhu Hassan (bila Genge), na Tundu Lissu, katika jambo lolote lile; Samia ataonekana kama hana kitu chochote akijuacho.
 
acha kutapatapa, yeye kawa muungwana kakiri alizingua wewe kaa kwa kutulia
 
Duh!
Mkuu "StakeHigh'. Eti unasemaje kuhusu hiyo 'interview'?
Unauliza, au unasema "Tundu Lissu ni mtu wa aina gani"; baada ya kusikiliza mahojiano hayo?

Kwanza, kwa mara ya kwanza kabisa nikushukuru kwa kuweka kumbukumbu hiyo, sisi wengine hatukuwahi kuiona na kuisikia.

Kuhusu Tundu Lissu ni mtu wa namna gani"; mahojiano hayo yanazidi kumwonyesha kuwa mtu mwenye uwezo mkubwa katika kuelewa na kujibu maswali; hilo la kwanza.

La ili, ni kwamba Tundu Lissu ni mtu makini sana na mkweli kabisa; hana ubabaishaji kama ulaghai unaofanywa na viongozi wengi, kama akina Kikwete, Samia. Amenyooka kabisa. Ana okwambia jambo, ndilo hilo, na hakwambii kwa kuvungavunga.

Sasa wewe sijui ulielewaje majibu aliyoyatoa kwenye mahojiano na mwandishi, maana yote ya o wazi kabisa.
Jamaa ni mkweli sana, muwazi sana, team player, anapenda haki sana.
 
Lissu amenyooka sana. Amedai pamoja na kumpokea Lowassa ila haimaanishi ya kwamba Lowassa sio fisadi.
 
We
Mtu mmoja anaihenyesha dola yenye kila aina ya nguvu zinazoonekana na zisizoonekana kwa macho ya kawaida, ya nini kupambana naye?
We zombie kinachohenyeshwa ni akili yako, mwenzako ananyea ndoo juzi amepanic anaomba huruma, akitoka hatarudia. Hakuna kima anaweza kuihenyesha serikali shukuruni kiongozi mkuu wa nchi ni mwuungwana angeshapotezwa na hakuna kima atakohoa. Wakati wa Magu alikuwa wapi. Ht hivyo nyie misukule mnashabikia tu, yule bwege lenu litachoshwa ukizingatia mtu mwenyewe ni viraka shida anafikiri mashabiki km nyie watamsaidia mnachoweza pengine ni kushiriki mazishi.
 
Duh!
Mkuu "StakeHigh'. Eti unasemaje kuhusu hiyo 'interview'?
Unauliza, au unasema "Tundu Lissu ni mtu wa aina gani"; baada ya kusikiliza mahojiano hayo?

Kwanza, kwa mara ya kwanza kabisa nikushukuru kwa kuweka kumbukumbu hiyo, sisi wengine hatukuwahi kuiona na kuisikia.

Kuhusu Tundu Lissu ni mtu wa namna gani"; mahojiano hayo yanazidi kumwonyesha kuwa mtu mwenye uwezo mkubwa katika kuelewa na kujibu maswali; hilo la kwanza.

La ili, ni kwamba Tundu Lissu ni mtu makini sana na mkweli kabisa; hana ubabaishaji kama ulaghai unaofanywa na viongozi wengi, kama akina Kikwete, Samia. Amenyooka kabisa. Ana okwambia jambo, ndilo hilo, na hakwambii kwa kuvungavunga.

Sasa wewe sijui ulielewaje majibu aliyoyatoa kwenye mahojiano na mwandishi, maana yote ya o wazi kabisa.
We bwege hakuna asiyekujua kwamba ni kilaza flani. Lissu ni mtu wa fursa yuko tayari ht nchi iungue ili mradi atimize malengo yake. Sahv anatumiwa na wazungu huyo ni kibaraka wanataka kutuharibia nchi ila ameshabugi. Atashughulikiwa mpk akimbie nchi mwenyewe.
 
Hivi na wewe una nchi kweli? Au unatumika ni kisha utatupwa kama kondom tu.
 
We
We zombie kinachohenyeshwa ni akili yako, mwenzako ananyea ndoo juzi amepanic anaomba huruma, akitoka hatarudia. Hakuna kima anaweza kuihenyesha serikali shukuruni kiongozi mkuu wa nchi ni mwuungwana angeshapotezwa na hakuna kima atakohoa. Wakati wa Magu alikuwa wapi. Ht hivyo nyie misukule mnashabikia tu, yule bwege lenu litachoshwa ukizingatia mtu mwenyewe ni viraka shida anafikiri mashabiki km nyie watamsaidia mnachoweza pengine ni kushiriki mazishi.
una nyodo kima we, unadhani mtu kama yule mwamba anaweza kupotezwa kirahisi vile? Nadhani unaona masaibu aliyopitia mwamba huyo wakati wa magu, Sasa umeona alinyamaza? ukiambiwa yule mwamba ni shujaa uwe unaelewa. Na ndiyo anafaa zaidi kuwa rais wa nchi hii, acha ubishi mjuba
 
hio ni agenda ya wanaokata moto, ni tume hii hii iliomfanya akashinda ubunge miaka 10 sasa leo umeshindwa ndo agenda ya tume unaleta, au mnachukulia kama hatuna akili

..hata uchaguzi zilizopita hazikuwa nzuri.

..wapinzani walitangazwa baada ya kufanya vurugu, na hali ya usalama kuwa tete kupita kiasi.

..hoja kwamba uchaguzi wa 2015 ulikuwa mzuri sio hoja ya kweli. Uchaguzi ule ulikuwa na matatizo, na hali imekuwa ya kutisha baada ya hapo.
 
We bwege hakuna asiyekujua kwamba ni kilaza flani. Lissu ni mtu wa fursa yuko tayari ht nchi iungue ili mradi atimize malengo yake. Sahv anatumiwa na wazungu huyo ni kibaraka wanataka kutuharibia nchi ila ameshabugi. Atashughulikiwa mpk akimbie nchi mwenyewe.
Nawe kikaragosi unataka nipoteze muda na wewe?
 
Back
Top Bottom