Nakumbusha kidogo tu, Lissu ni mtu wa aina gani huenda watu wameshasahau

..hata uchaguzi zilizopita hazikuwa nzuri.

..wapinzani walitangazwa baada ya kufanya vurugu, na hali ya usalama kuwa tete kupita kiasi.

..hoja kwamba uchaguzi wa 2015 ulikuwa mzuri sio hoja ya kweli. Uchaguzi ule ulikuwa na matatizo, na hali imekuwa ya kutisha baada ya hapo.
2015 alielalamika matokeo ni lowasa peke yake wengine wote hio story hawakuendelea nayo baada ya kupata ubunge, baada ya uchaguzi uliofuata ndo story zikaanza tume sio nzuri

juzi heche amesmama anawaambia watu mbunge anapokea mil 20 na marupurupu mengi bila kusahau na yeye alikua uko uko na alizipokea, yaani mnataka mfanye watu hawana akili, mwingine analalamika gari za wabunge wakati na yeye alivokua mbunge aliendesha izo izo
 
siasa za chadema zna maumivu sana sjui kwann unazishabikia
AAAALAAA!
Kumbe unajuwa hivyo, na mnaotia waTanzania ndio nyinyi.

Sasa subiri kitakacho wapata, Samia na nyote mnaomtumikia kwa kuwatia maumivu waTanzania.
 
yaaani hawakujui vizuri hao
 
juzi heche amesmama anawaambia watu mbunge anapokea mil 20 na marupurupu mengi bila kusahau na yeye alikua uko uko na alizipokea, yaani mnataka mfanye watu hawana akili, mwingine analalamika gari za wabunge wakati na yeye alivokua mbunge aliendesha izo izo
Wewe sasa umekuwa kama kichaa; bila shaka damu za watu mnaowaua zinakusumbua kichwani mwako.

Hawa akina Heche na wabunge ni lini walikuwa na madaraka ya kujipangia haya unayotaka kuwalaumu juu yake?
 
nyamaza tu huelewi ata point apo
 
Kazi hii imemshinda Tlaatlaah, mzoga wenu humu, sasa umetupiwa wewe, utaiweza?
mm tena? wewe si ndo umesema utawafundisha kazi! yaani ccm hawakujui vizuri watajuta kua na mwananchi kama wewe
 
Nilisha kueleza siku nyingi, CCM haipo tena; mnatumia tu jina lake kufanya maovu.
 
2015 alielalamika matokeo ni lowasa peke yake wengine wote hio story hawakuendelea nayo baada ya kupata ubunge, baada ya uchaguzi uliofuata ndo story zikaanza tume sio nzuri

juzi heche amesmama anawaambia watu mbunge anapokea mil 20 na marupurupu mengi bila kusahau na yeye alikua uko uko na alizipokea, yaani mnataka mfanye watu hawana akili, mwingine analalamika gari za wabunge wakati na yeye alivokua mbunge aliendesha izo izo

..Ningekuelewa kama ungekanusha kwamba 2015, na kabla ya hapo, wapinzani walikuwa wakitangazwa washindi bila kwanza kuzinguana na wasimamizi na polisi.

..uchaguzi wa Tanzania haujawahi kuwa mzuri. Uliwahi kuwa na afadhali huko zamani lakini sasa hivi hali imekuwa mbaya haifai tena wapinzani kushiriki.

..Na hata Samia, serikali, na Ccm, wamekiri kwamba kuna matatizo katika tume na mifumo yetu. Na kwasababu kuna matatizo ndiyo maana Rais akaunda Tume ya Prof.Mukandala.

NB:

..Heche anadai waalimu, polisi, na watumishi wengine wa serikali walipwe mishahara itakayowawezesha kuishi maisha mazuri.

..Sasa labda utueleze kosa la Heche ni nini.Je, polisi wanalipwa mishahara mizuri? Je, mishahara ya waalimu inaridhisha?
 
Back
Top Bottom