Sasa angalia upumbavu wa namna hii, nalo unadiriki kuwaeleza watu waone wewe ni mtu hai!hio ni agenda ya wanaokata moto, ni tume hii hii iliomfanya akashinda ubunge miaka 10 sasa leo umeshindwa ndo agenda ya tume unaleta, au mnachukulia kama hatuna akili