Sasa angalia upumbavu wa namna hii, nalo unadiriki kuwaeleza watu waone wewe ni mtu hai!hio ni agenda ya wanaokata moto, ni tume hii hii iliomfanya akashinda ubunge miaka 10 sasa leo umeshindwa ndo agenda ya tume unaleta, au mnachukulia kama hatuna akili
Wewe kweli kapuku hivi miaka 10 ilyopita kulikuwa na kutokana nakuuwawa !hio ni agenda ya wanaokata moto, ni tume hii hii iliomfanya akashinda ubunge miaka 10 sasa leo umeshindwa ndo agenda ya tume unaleta, au mnachukulia kama hatuna akili
he was cut off from the list, and even when he came back he was never priotized , but you took a thrown thief and made him king, and you expect an adult citizen to comply that your party made the right decision 🤣 🤣 you need to be abit illBut that that "same thief" was rehabilitated back into the fold. The objective was to vanguish all the thieves from where he came from. That would have been a noble justification.
Hilo halikuhusu ni langu mwenyewe.kwa sasa tafuta pesa kwa ajili ya tone tone
You're better-off sticking to the language you know, even though the content remains gabbage!he was cut off from the list, and even when he came back he was never priotized , but you took a thrown thief and made him king, and you expect an adult citizen to comply that your party made the right decision 🤣 🤣 you need to be abit ill
acha wanaotaka kuingia ulingon waingie na wanaosusa waendelee kususa amna mtanzania mjinga atafanya siasa za kuanzisha vurugu alafu unakimbilia belgiumHilo halikuhusu ni langu mwenyewe.
Wewe sasa hivi ni lazima uwe na hofu kubwa sana, kwa sababu mradi wenu wa GENGE unatibuliwa.
Sasa hata kama hili unataka watu wakuone hulielewi, kuna kipi unachoweza kukielewa wewe?unataka hio tume aongoze heche ndo uamini ni tume huru, vp wakati mnashinda haikua huru?
😅😅Hii nchi inamuhitaji Tundu Lissu kama Rais, sio mama mnywa mvinyo
Hakuna cha ulingoni; NO REFORM, NO ELECTION. Hilo ndilo jambo.acha wanaotaka kuingia ulingon waingie na wanaosusa waendelee kususa amna mtanzania mjinga atafanya siasa za kuanzisha vurugu alafu unakimbilia belgium
Hao watakuwa ni wananchi wa mifukoni mwenu, siyo waTanzania.wananchi wakielewa inatosha
Sasa nimekuwa "heche", akili yako inayoendeshwa na bangi ndivyo ilivyo kuelekeza?🤣 🤣 sawa heche