2015 alielalamika matokeo ni lowasa peke yake wengine wote hio story hawakuendelea nayo baada ya kupata ubunge, baada ya uchaguzi uliofuata ndo story zikaanza tume sio nzuri..hata uchaguzi zilizopita hazikuwa nzuri.
..wapinzani walitangazwa baada ya kufanya vurugu, na hali ya usalama kuwa tete kupita kiasi.
..hoja kwamba uchaguzi wa 2015 ulikuwa mzuri sio hoja ya kweli. Uchaguzi ule ulikuwa na matatizo, na hali imekuwa ya kutisha baada ya hapo.
AAAALAAA!siasa za chadema zna maumivu sana sjui kwann unazishabikia
Wewe sasa umekuwa kama kichaa; bila shaka damu za watu mnaowaua zinakusumbua kichwani mwako.juzi heche amesmama anawaambia watu mbunge anapokea mil 20 na marupurupu mengi bila kusahau na yeye alikua uko uko na alizipokea, yaani mnataka mfanye watu hawana akili, mwingine analalamika gari za wabunge wakati na yeye alivokua mbunge aliendesha izo izo
Kazi hii imemshinda Tlaatlaah, mzoga wenu humu, sasa umetupiwa wewe, utaiweza?yaaani hawakujui vizuri hao
nyamaza tu huelewi ata point apoWewe sasa umekuwa kama kichaa; bila shaka damu za watu mnaowaua zinakusumbua kichwani mwako.
Hawa akina Heche na wabunge ni lini walikuwa na madaraka ya kujipangia haya unayotaka kuwalaumu juu yake?
Nilisha kueleza siku nyingi, CCM haipo tena; mnatumia tu jina lake kufanya maovu.mm tena? wewe si ndo umesema utawafundisha kazi! yaani ccm hawakujui vizuri watajuta kua na mwananchi kama wewe
Kuna ointi gani wewe tena mtu ambaye sasa ninakutambua kuwa muuaji wa waTanzania!nyamaza tu huelewi ata point apo
2015 alielalamika matokeo ni lowasa peke yake wengine wote hio story hawakuendelea nayo baada ya kupata ubunge, baada ya uchaguzi uliofuata ndo story zikaanza tume sio nzuri
juzi heche amesmama anawaambia watu mbunge anapokea mil 20 na marupurupu mengi bila kusahau na yeye alikua uko uko na alizipokea, yaani mnataka mfanye watu hawana akili, mwingine analalamika gari za wabunge wakati na yeye alivokua mbunge aliendesha izo izo