Uchaguzi 2020 Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa 'fair play' ya leo kwenye mkutano wa Tundu Lissu mjini Morogoro

Uchaguzi 2020 Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa 'fair play' ya leo kwenye mkutano wa Tundu Lissu mjini Morogoro

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nmeona kajitahidi kuongea, inaonekana ushauri wetu humu ameufanyia kazi!

Hivyo ndio inatakiwa! Siyo kila siku unashambulia Rais, hayo awaachie nyumbu wake kina Mmawia
Nyumbu ni wale walio kuleta hapa duniani
 
17 Agosti 2020
Tabora, Tanzania

WAJUMBE WAENDELEA KUFANYA YAO HUKO TABORA MJINI /MSAFARA KWENDA KUCHUKUA FOMU




Leo mgombea ubunge jimbo la Tabora Mjini Bi Hawa Mwaifunga Bananga amechukua fomu yake ktk ofisi za Halmashauri ya Manispaa ya Tabora. Mh Hawa ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) amesindikizwa na wanawake wenzake wa kata na majimbo mbalimbali ya mkoa huo.

Source: Muungwana TV

............................................................................

Toka maktaba
29 December 2017
Harakati za Kamanda tangu 2017

 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nmeona kajitahidi kuongea, inaonekana ushauri wetu humu ameufanyia kazi!

Hivyo ndio inatakiwa! Siyo kila siku unashambulia Rais, hayo awaachie nyumbu wake kina Mmawia
Wewe mtoto sio riziki. Una kiherehere utafikili unakojozwa.
 
Nina kawimbo, Naomba wanamuziki mkatengeneze kakaye kwenye kampeni! “Walipo mpiga shaba, walidhani amekwisha, kumbe badala yake, ni raisi wa Tanzania!
Kametuli aila kamekaa kimchambomchambo hivi.
 
Kiukweli nahisi wanamuacha tu kutokana na jicho la mabeberu lakini wanajua atakatwa mapeeema na NEC so tuendelee kuwa wapole we'll see any!

Akatwe na NEC kwa sababu gani ili kumsafishia njia Magu hakuna atakaye kubali waache wachuane kwenye sanduku la kura anakatwa sababu anaogopwa ata haguliwa. Hiyo mbinu ilishawekewa mkakati wamkate waone
 
Mdaiwa-Sugu,

Lissu Kama Lissu! Huyo ndo shujaa wa Tanzania ndugu. Utampenda tu kwa kweli. Kwa madini aliyotema Leo ya kuwajali watu wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Najua tu maneno yaliwaingia vizuri sana leo hawa jamaa hadi wakaamua kumlinda leo. Huyo ndo Lissu ndugu, Rais mtarajiwa wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.
Utoto! Wakizuia unalalama! Wakiruhusu unazomea! Kila kitu wewe unaona ni ushindi.
 
Back
Top Bottom