Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
As a country our system is fundamentally flawed!
Hii inathibitisha bila shaka yoyote kwamba watumishi wa Tume ya uchaguzi ni wanaCCM na kwa wao kusimamia uchaguzi ni kinyume cha katiba ya nchi.
Jambo hili linadhalilisha Mahakama ya Tanzania na inathibitisha pasipo na shaka yoyote kwamba Mahakama si huru wala si Mhimili unaojitegemea.
Nakulilia Tanzania.
Serikali wangeweka sheria kwa watumishi wa Tume ya uchaguzi kutokuruhusiwa kujiunga na chama chochote cha siasa kama ilivyo kwa CAG kutokuajiliwa sehemu yoyote baada ya ukomo wa kazi yake.!
😆😆😆😆Yaan ingekuwa mie ndo mweny last say CCM ngesema wote wajitoe tumpe nafas mwana mapinduz jecha
Serikali wangeweka sheria kwa watumishi wa Tume ya uchaguzi kutokuruhusiwa kujiunga na chama chochote cha siasa kama ilivyo kwa CAG kutokuajiliwa sehemu yoyote baada ya ukomo wa kazi yake.!
Ifungiwe !ITV wachochez. ingetosha kusema mwanachama mwingine wa ccm au aliewah kugombea jimbo la kikwajun achukua fomu
Hamna kitu kama hichoKm amejiunga na Ccm baada ya 2016 je?
Au vp bwanaAtawakomesha huyu wasimuamini sana, atawaambia ole wao wamkate jina Dodoma anatoa siri zote za 2015
Ukweli mchungu ni kwamba uhuru tulioupata 1961 haukuwa wa sisi wananchi, ulikuwa na tabaka la watawala. Tunahitaji kupigania uhuru wa kwetu wananchi. Sio bunge wala mahakama zinaweza kutusaidia.
Hahahaha hahahaha anaweza kujitangaza mwenyewe huyu!!Yaan ingekuwa mie ndo mweny last say CCM ngesema wote wajitoe tumpe nafas mwana mapinduz jecha
Hapo chachaHivi kumbe wenyeviti wa tume za uchaguzi ni ccm halafu wapinzani wanakubali kushiriki uchaguzi?
Hahahaha hahahaha anaweza kujitangaza mwenyewe huyu!!