Zanzibar 2020 Namba 14: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha achukua fomu ya urais Zanzibar. Arejesha fomu hiyo

Zanzibar 2020 Namba 14: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha achukua fomu ya urais Zanzibar. Arejesha fomu hiyo


Hii inathibitisha bila shaka yoyote kwamba watumishi wa Tume ya uchaguzi ni wanaCCM na kwa wao kusimamia uchaguzi ni kinyume cha katiba ya nchi.

Jambo hili linadhalilisha Mahakama ya Tanzania na inathibitisha pasipo na shaka yoyote kwamba Mahakama si huru wala si Mhimili unaojitegemea.

Nakulilia Tanzania.
As a country our system is fundamentally flawed!

The framers of our two nations didnt think correctly.

We have to overhaul the whole nation from ground up.
 
CAG haruhusiwi kuajiriwa kwny utumish wa umma sio sehem yoyote.

Serikali wangeweka sheria kwa watumishi wa Tume ya uchaguzi kutokuruhusiwa kujiunga na chama chochote cha siasa kama ilivyo kwa CAG kutokuajiliwa sehemu yoyote baada ya ukomo wa kazi yake.!
 
ITV wachochez. ingetosha kusema mwanachama mwingine wa ccm au aliewah kugombea jimbo la kikwajun achukua fomu

Ni sawa na kusema kiongoz wa kanisa Peter Msigwa atangaza kuwania urais
 
Unasimamia tume na the same time wewe ni Kada wa chama cha mapinduzi,, na bado mwana upinzani anategemea kupita
 
Utasikia yanasema tume hii Ni huru.Mnadhani mnamdanganya Nani?...CDM na vyama vingine vyenye Nia ya dhati tafadhalini Sana tuko tayari Sisi wananchi tarehe 7 /7 hamasisheni tuingie barabarani tumechoka huu ushenzi. Au mnataka tuwafikirie vipi msipomuunga mkono Baba askofu?Tumechokaaaaa
 
kakojoe ukalale


Jpm ni Rais, je anatoka tabaka la watawala?
Ukweli mchungu ni kwamba uhuru tulioupata 1961 haukuwa wa sisi wananchi, ulikuwa na tabaka la watawala. Tunahitaji kupigania uhuru wa kwetu wananchi. Sio bunge wala mahakama zinaweza kutusaidia.
 
Back
Top Bottom