Jinsi unakazana kukwepa hoja za mshkaji unajigeuza kituko mkuu. Amekuuliza Sheikh Shariff Majini na Master Twindwa waliiandamana wapi, walichoma gas stations ngapi, na ofisi ngapi?It goes without say kuwa without intervention ya Polisi na JWTZ pengine hapa ungekuwa haupo kuandika hizi pumba. Yale magenge yalikuwa reckless they burn anything, they steal anything and walikuwa unstoppable except kwa risasi za moto tu
Hata Marekani walishakabidhi watuhumiwa wa makosa ya jinai TZ kibao. Ila nyumbu hawajui.Ninajuwa sisi tumewahi kumkabidhi drug King wetu Shikuba na yule Lwitico wa Magomeni Popobawa kwa FBI.
Pia kuna mfanya biashara moja wa magrader pale Tegeta/ Boko mwenye kampuni ya Giant naye alikuwa na makosa ya FRAUD alinyakuliwa pia
Hata kbla ya kuperuzi sheria, unaamini kabisa Kimange anaweza kurudishwa nyumbani kukabidhiwa kwa Tanzania? Nadhani huifahamu Marekani.....Mtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia:
1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality).
2. First Schedule ya Cap. 368: Kosa liwe miongoni mwa makosa yanayokubaliwa kimataifa kwa ajili ya kurudisha watuhumiwa.
3. Cap. 329, Section 27(1): Inaruhusu usaidizi wa kimataifa katika kesi za rushwa na uhujumu uchumi.
4. Cap. 200, Section 12(1): Inaruhusu upelelezi na urejeshaji wa watuhumiwa kutoka nje ya nchi kwenye makosa ya uhujumu uchumi.
Sheria ya Marekani (Title 18, USC § 3181–3196): Marekani inaruhusu extradition kwa misingi ya mkataba kati yake na nchi nyingine. Tanzania na Marekani zina mkataba wa usaidizi wa kisheria (Mutual Legal Assistance Treaty - MLAT), unaoruhusu kurudisha watuhumiwa ikiwa kuna ushahidi wa kutosha na makosa hayo yanatambuliwa na pande zote.
UCD......Kimange hataletwa Tanzania....Hakuna kesi hapo!Hata Marekani walishakabidhi watuhumiwa wa makosa ya jinai TZ kibao. Ila nyumbu hawajui.
Usizunguke sana weka ushahidi hapa, BBC, CNN, NTV , Citizen , Aljazeera na mashuhuda wengi walishatoa footage za polisi na watu walio na nguo za kiraia wakipiga watu risasi mitaani.It goes without say kuwa without intervention ya Polisi na JWTZ pengine hapa ungekuwa haupo kuandika hizi pumba. Yale magenge yalikuwa reckless they burn anything, they steal anything and walikuwa unstoppable except kwa risasi za moto tu
Hakuna kesi kivipi? Si kuna kesi imefunguliwa Kisutu inayomhusu Mange Kimambi?UCD......Kimange hataletwa Tanzania....Hakuna kesi hapo!
Wengi hawajui kabisa system ya US inavyofanya kazi, hivi majuzi serikali ya Marekani yenyewe ilipata kazi kubwa mno kumuondoa Mpalestina ambaye wanadai alikuwa anachochea vurugu vyuoni. Ni kazi kubwa mno kuondoa mtu Marekani hasa mwenye uraia...Asante at least wewe una hoja ya kisheria lakini siyo hao mabwege akina Tindo, Extra focus na Mad Max
Umeulizwa Mmarekani aliyerudishwa wewe unajibu Mtanzania aliyepelekwa Marekani.Ninajuwa sisi tumewahi kumkabidhi drug King wetu Shikuba na yule Lwitico wa Magomeni Popobawa kwa FBI.
Pia kuna mfanya biashara moja wa magrader pale Tegeta/ Boko mwenye kampuni ya Giant naye alikuwa na makosa ya FRAUD alinyakuliwa pia
Mkuu hawezi kurudishwa kwa Kesi ambayo imefunguliwa tu Mkuu....Inawezekana Tanzania, Sio Marekani.....Hakuna kesi kivipi? Si kuna kesi imefunguliwa Kisutu inayomhusu Mange Kimambi?
Kuna uwezekano mkubwa Samia kuondoka Madarakani kabla ya kindi chake kuliko Kimange kurudishwa Tanzania.Nenda kafanyie lamination hii statement!Mtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia:
1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality).
2. First Schedule ya Cap. 368: Kosa liwe miongoni mwa makosa yanayokubaliwa kimataifa kwa ajili ya kurudisha watuhumiwa.
3. Cap. 329, Section 27(1): Inaruhusu usaidizi wa kimataifa katika kesi za rushwa na uhujumu uchumi.
4. Cap. 200, Section 12(1): Inaruhusu upelelezi na urejeshaji wa watuhumiwa kutoka nje ya nchi kwenye makosa ya uhujumu uchumi.
Sheria ya Marekani (Title 18, USC § 3181–3196): Marekani inaruhusu extradition kwa misingi ya mkataba kati yake na nchi nyingine. Tanzania na Marekani zina mkataba wa usaidizi wa kisheria (Mutual Legal Assistance Treaty - MLAT), unaoruhusu kurudisha watuhumiwa ikiwa kuna ushahidi wa kutosha na makosa hayo yanatambuliwa na pande zote.
Mimi nawafahamu watz walirudishwa toka Marekani kwa makosa ya ujambazi waliofanya TZ then wakakimbilia US.Mkuu hawezi kurudishwa kwa Kesi ambayo imefunguliwa tu Mkuu....Inawezekana Tanzania, Sio Marekani.....
Mbona umesema wazi Ujambazi! Nawafahamu wengi pia...Lakini kesi kama ya Kimange!Mimi nawafahamu watz walirudishwa toka Marekani kwa makosa ya ujambazi waliofanya TZ then wakakimbilia US.
Hawataki kukubali hilo...Hawataki kukubali ukweli kwa makusudi kabisa!Jinsi unakazana kukwepa hoja za mshkaji unajigeuza kituko mkuu. Amekuuliza Sheikh Shariff Majini na Master Twindwa waliiandamana wapi, walichoma gas stations ngapi, na ofisi ngapi?
Yule askari magereza ASP ABBAS RAJABU MKALI aliyekuwa likizo Dar na akapigwa risasi na polisi maeneo ya Mazizini akiwa anatambea alichoma vituo vingapi vya mafuta na aliiba nini hadi kustahili kifo?
Without intervention ya polisi na vile vikundi vya kigaidi mlivyokodi kuua wananchi, leo hii tungekuwa tunajiandaa kusheherekea uhuru wa kweli tarehe 9 badala ya kupanga maandamano mengine.
duuui ww Kaz ipo kwel kwelMbona Ilhan Omar yule ambaye ni member wa Congress kupitia Democrats yuko kwenye hati hati ya kuwa deported pamoja na Wasomali wengine wa Minnesota?
Uhujumu Uchumi/Utakatishaji Fedha si inasemekana imo katika orodha ya kesi ambazo mtuhumiwa anaweza kurudishwa nchini?Mbona umesema wazi Ujambazi! Nawafahamu wengi pia...Lakini kesi kama ya Kimange!
Na wewe na akili zako unakubali Kimange kahujumu uchumi! Inasikitisha sana!Uhujumu Uchumi si inasemekana imo katika orodha ya kesi ambazo mtuhumiwa anaweza kurudishwa nchini?
Sasa mimi nikatae vipi wakati sina facts. Mahakama ndio itaamua baada ya ushahidi kutolewa.Na wewe na akili zako unakubali Kimange kahujumu uchumi! Inasikitisha sana!
Umeandika ninayopenda kuyasoma sisi wa maendeleo ya jamii na sheria wapi na wapiUnasahau kitu kimoja kidogo sana, ili mtu awe "Extradited" lazima pande mbili zishirikishane "grounds" ama ushahidi na ushahidi lazima uwepo.
Tatu, marekani "Extradition" inapingwa mahakamani. Usifikiri Mange ataenda kamatwa tuu kama mwizi wa kuku, kuletwa bongo.
She has to challenge her extradition before the court.
Nne, marekani wanaelewa Mange anawindwa auwawe na hatapata hukumu ya haki bongo hii. Marekani inajua kumtoa Mange ni sawa na kusign her death certificate.
Utabiri wangu: Hii ishu, itaenda kwa miaka mingi sana na Serikali itashindwa.
Umeandika ninayopenda kuyasoma sisi wa maendeleo ya jamii na sheria wapi na wapi