Namna Mange Kimambi anavyoweza kuletwa nchini kujibu tuhuma zake

Naongezea ya mwisho

Kule US hakuna ushawishi au tashwishwi ya Kabudi / Rushwa
 
Sina uhakika kama umetikiria vzur tuweke sawa kuandamana kwe2 nikufikia ukomo wa ujinga hao walianza zamani sanaa ila sisi
 
Kumrudisha mange Bongo bila hata kuwa na elimu ya sheria ningumu mmno kutokana na taswila ya nchi yetu.
Nchi yetu inatuhumiwa sana na maswala ya utekaji, mauwaji na kutoheshimu haki za binadamu
Hata kama walikuwa na sababu za kumrudisha Mage Kimambi, wangelifanya huko nyuma! Kwa sasa taswira ya nchi iko chafu mno! Defence ya Kimange kuto rudi Tanzania ni kubwa mno!
 
Haya madai mngelifanya kabla ya October 30, angalau mngepata mahali pa kusimamia! Kwa sasa hivi, na doa la damu juu ya nchi hamna mahali pa kusimamia! Actually counter defense ya Kimange akiweka kwa nini anataka arudishwe Tanzania, itaivua nguo hadharani serikali ya Tanzania.

Nadhani serikali inafanya hivi bila kujua inafanya nini.Kimange hawezi kubebwa kama kuku Marekani! Naona Samia anaweza kuondoka Madarakani, na Mange akaendelea kudunda!
 

Rudia tena hii:

Unasahau kitu kimoja kidogo sana, ili mtu awe "Extradited" lazima pande mbili zishirikishane "grounds" ama ushahidi na ushahidi lazima uwepo.

Tatu, marekani "Extradition" inapingwa mahakamani. Usifikiri Mange ataenda kamatwa tuu kama mwizi wa kuku, kuletwa bongo.

She has to challenge her extradition before the court.

Nne, marekani wanaelewa Mange anawindwa auwawe na hatapata hukumu ya haki bongo hii. Marekani inajua kumtoa Mange ni sawa na kusign her death certificate.

Utabiri wangu: Hii ishu, itaenda kwa miaka mingi sana na Serikali itashindwa.
 
Ndoto za jioni
 
US hawezi kumsikiliza Samia na genge lake la wahuni,wasipoangalia watakamatwa wao na kufunguliwa kesi ya mauaji,FBI wanajua mpango wa Ushungi kutumia Mexican cartel to get rid of Mange
Ndoto za mchana huwa ni tamu! Sijui kwa sababu gani!
 
Wenye akili wanashindana kwa hoja ******* kama Vesuvius waringishia matako yao maana ndiyo ajira waliyonayo
Nimepata Nyege-zi kwa post yako hii. Neno matako ni my arousal trigger, hebu rudia tena basi kulitaja.
 
Mjibu kwa hoja yeye ametoa hoja sasa wewe kama unapinga hoja yake toa na wewe vifungu vya sheria tofauti na hivyo. Huo ndio uungwana ili wanaJF wajifunze pia kutoka kwako.
Asante Mkuu UCD kwa kumkumbusha huyu Tindo kuhusu kuto attack personality instead aje na vifungu
 
Reactions: UCD
Mjibu kwa hoja yeye ametoa hoja sasa wewe kama unapinga hoja yake toa na wewe vifungu vya sheria tofauti na hivyo. Huo ndio uungwana ili wanaJF wajifunze pia kutoka kwako.
Asante Mkuu UCD kwa kumkumbusha huyu Tindo kuhusu kuto attack personality instead aje na vifungu
Siwafahamu hao akina Sheikh Sharif Majini wala Rajab Mkali
 
Forget about this. It ain’t happening—they’re wasting their time!
 
Hata kbla ya kuperuzi sheria, unaamini kabisa Kimange anaweza kurudishwa nyumbani kukabidhiwa kwa Tanzania? Nadhani huifahamu Marekani.....
Kwani Marekani ina faidika nini na MangeKimambi? Mbona mnamtetea utadhani labda ni Condolezza Rice au Hillary Clinton?? Kumbe ni malaya tu muuza **** kwa mzungu mzee
 

Wajinga wajinga tuulizeni sisi ambao tupo US na tunajua sheria ! Ni lazima order ya deportation kutoka US itoke kwa judge sio wanasiasa . Hakuna judge USA ambaye anaweza hata kupoteza muda kusikiliza kesi ya kijinga hivi hivyo kisheria hawezi kurudishwa
 
Wengi hawajui kabisa system ya US inavyofanya kazi, hivi majuzi serikali ya Marekani yenyewe ilipata kazi kubwa mno kumuondoa Mpalestina ambaye wanadai alikuwa anachochea vurugu vyuoni. Ni kazi kubwa mno kuondoa mtu Marekani hasa mwenye uraia...
Ilipata kazi kumuondoa Mpalestina lakini ilimuondoa, hiyo ndiyo mchakato. Hawezi kuondoshwa kwa simu au barua bali kwa mchakato wa Kimahakama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…