Namna mshikaji wangu anavyoishi ukweni kwa furaha na amani tele

haya mambo yapo
kuna mzee mmoja nilikuwa na urafiki na binti yake, akaanza pigana niingie serikalini
kapigana sana nikaja zingua kwa kutoka mbio (niliwahi sema hili kwenye uzi wa ulianzaje kaa gheto)

kuna wazee wakijua uko na binti zao wanapigana sana upate pa kushika
 
Maisha ni kujishusha, hata Pepo ya Mungu hupatikana Kwa kujishusha na kunyenyekea.
Ukijizima data na kujishusha huteseki duniani wala mbinguni.....Shida binadamu tumeumbwa na ego.
Upo sahihi kabisa
 
Na isitoshe inasimama kabisa na anapiga mambo? Kuna watu hamnazo kwa kweli!
 
Yaaani kuwapikia jeee mi asubuhi kumi na moja nshaamka nshawaandalia meza, mchana mie humo jioni sasa aaah weeee
 
Juhudi alizonazo ni kubwa sana, angekuwa anakula tu bila kazi ingekuwa changamoto, njia hiyo imemsaidia kupata kazi yake ya kujitegemea. Ishi na watu vizuri ule mema ya nchi ilimradi usimkosee Mungu wako.
 
Utegemezi hauna mwisho mzuri. Kama kakubali kuolewa hakuna neno. Ila nnnhhh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…