Namna mshikaji wangu anavyoishi ukweni kwa furaha na amani tele

Attachments

  • 20221217_004635.jpg
    15.9 KB · Views: 6
Kimsingi kama anaelewana na Baba mkwe... Na kama wanapiga Kazi fresh, me sioni tatizo... Na huenda huyo binti labda ni wa pekee kwenye familia....

Haya maisha uki complicate Sana utaumia....

Na kujenga uaminifu na watu wakakuelewa si Jambo rahisi
 
Nakubaliana nawe kama wahusika ni wachaga, wapare, wakikukuyu na wengine kama hao. Ila kama baba ni mhaya, Mnyakyusa, Mha, Msukuma, Mkurya, na wengine kama hao somo halieleweki.
 
Ukitaka kufanikiwa sometimes kubali kuwa mtumwa....japo wanaokutumikisha nao wawe wastaarabu....wakiwa mafia bora kujikataa mazima
Usiongeze walk kupunguza neno baadae uzi ufungwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…