Namna mshikaji wangu anavyoishi ukweni kwa furaha na amani tele

Umenikumbusha enzi za makonda enzi zile anamfunga kamba za viatu....
 
Huu ni uchawi hupaswi kuleta kisa au simulizi kama hii
 
Jamaa yupo sahihi , ku-care ni Muhimu Sana

sasa Endapo ukapata demu wa Kishua smart upstairs yes , lakini vise versa yake ni hatari .
 
Nyie msifurahie huu uzi ,unaenda kutengeneza bomu la taifa, vijana wapenda dezo wanaenda kushinda beach kusubiri wadada mboga saba. Wakidhani nao watawini kama huyo jamaa yako.

Maskin mpe elimu usimpe pesa, huyu jamaa yako miaka miwili anakwenda kuvimba, naomba uendelee kuwa hai siku moja uje utuletee mrejesho.kuna siku watalia kisa huyo kijana.
Hii story mm haijanivutia hata kidogo, mwanaume kupenda dezo ni kinyaa.
 
Vijana baada ya kusoma uziπŸ‘‡πŸ‘‡

Wakiwahi dukani kuweka credit za wadogo zao shemeji na kununua vitumbua for breakfast ya baba mkwe
 

Attachments

  • IMG_20221226_092700_722.JPG
    35.9 KB · Views: 5
Ingekuwa kwa mwanamke ni sahihi kabisaa tena ndo wa kuitwa mke mwema, ila kwa mwanaume haifai japo tusimkandie kaona atoke vipi sasa, kabahatisha na familia ya binti ni waelewa kiaina
 
Ingekuwa kwa mwanamke ni sahihi kabisaa tena ndo wa kuitwa mke mwema, ila kwa mwanaume haifai japo tusimkandie kaona atoke vipi sasa, kabahatisha na familia ya binti ni waelewa kiaina

Mbn unaumia where is love ?
 
iv una fahamu kwamba kwenye maisha kuna watu wamefanya kila walichotakiwa kukifanya na hawajafanikiwa? Kuna vijana wana elimu nzuri na wamejaribu kila kitu ila haijawa chochote. So naamini hakuna mtu mwenye juhudi kubwa kwenye nchi hii kumzidi muendesha guta, ila matokeo ya kiuchumi je? πŸ˜‚πŸ˜‚

Yacobo alienda kua chawa kwa miaka 14 kwa mjomba wake Rabani ndio akatoboa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…