Namna ya kujilinda na kuwa salama unapokuwa Bar

Hiyo sasa siyo bar bali ni ''slum''. Unazungumzia hizi hizi bar za sasa au zile za kabla ya world war 1? Au pengine unakwendaga bar za uswazi zenye fujo?
 
Hiyo sasa siyo bar bali ni ''slum''. Unazungumzia hizi hizi bar za sasa au zile za kabla ya world war 1? Au pengine unakwendaga bar za uswazi zenye fujo?
Hakuna yenye ustaarabu usijidanganye
Muda wowote ukiwa bar hata huko Masaki au Mikocheni varangati linazuka tu
Ustaarabu bar haupo kule kunauzwa pombe sio chai
 
Hakuna yenye ustaarabu usijidanganye
Muda wowote ukiwa bar hata huko Masaki au Mikocheni varangati linazuka tu
Ustaarabu bar haupo kule kunauzwa pombe sio chai
Mimi ni mteja wa bar mzuri sana. Valangati zipo lakini siyo kiasi cha kuchukuwa tahadhari ulizoorodhesha. Hali ya bar uliyozungumzia ni zile bar za miaka ya zamani kabisa. Yes, hata siku hizi kuna ugomvi wa hapa na pale, lakini wenye bar wengi wako macho sana. Wanajua bar ikiwa na sifa ya ugomvi wa mara kwa mara inapoteza wateja. Wanajua wanywaji wengi ni watu wasiopenda vurugu ndiyo maana wanaweka walinzi. Bar za siku hizi ukionyesha dalili ya kufanya ugomvi unabebwa juu kwa juu na kuwekwa panapostahili. Hakuna mwenye bar anayejua biashara ambaye atakubali mlevi mmoja mzembe alete kero kwenye bar yake. Halafu kuna kitu umeandika cha hatari sana.. kuwa bar unatakiwa kwenda na silaha......
 
Mkuu Nina wasiwasi kama umetembelea bar nyingi kama unavosema

Waulize wamiliki wa hizo bar za kistaarabu watakwambia ugumu wa hiyo biashara
Fujo zinazuka na siyo kila mtu wa kubeba juu juu

Kuhusu kuwa na silaha Aidha ya jadi au ya moto, hii ni laZima
Mwanaume sio vyema kukosa Silaha unapokuwa, laZima uwe na kuongeza nguvu
 
Nimekubali na nitazidi kukubali kuwa bar zina fujo. Lakini siyo kwa kiwango ulichoweka wewe na zile tahadhari. Haya; umeingia bar na kisu au bastola halafu mlevi chakari akakutuka na kukutapikia, silaha itasaidia nini? Hata akikuzaba kibao, silaha itasadia nini? Mimi nazungumzia kutokana na uzoefu. Kama hutaki kisikia ushauri wangu basi endelea kuingia na silaha kwenye ulevi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…