The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Namba 10, ndio jambo muhimu. Unapotoka muachie yule mlinzi hata bia mbili au buku tano. Inasaidia sana kwenye usalama wako hata unapotoka anaweza kuangalia umeondoka na bodaboda gani.
Mbinu Bora sana za kijasusi hizi... Mleta mada umetisha sana....
Ongezea na hii.."Jaribu kwa Hali na Mali ku balance shobo"..
Namaanisha Kuna Namna unaweza kuingia kiwanja cha bar , kutokana na muonekano , aina ya usafiri unaotumia n.k. Kuna Namna watu au hata mademu wakaanza kushoboka na wewe.... Hii ina attract evil spirits kama Wivu na husuda kwa uliowakuta.. shobo zikiwa kama zinataka kuzidi Jaribu ku balance hivi kwa ku play low key .. utaepuka mengi
NB: bar sio kwamba watu wana furaha ...ni mkusanyiko wa watu wenye stress na mental depression.. amini kwamba..
Warning ⚠️ ⚠️ ⚠️ ⚠️:stay cautious and vigilant all the time
Za maji maji au nyinginezo?🙆🏽♀️Huyu anataka akuoneshe taka mwili zinako tokea, kua makini 🤪
Vinjunga vinjunga, sleevless wanakuona kama umeenda kukaba wateja,Ko pale Bambalaga ulikua ukiingia lazima uwe na NIDA au? Lol
Hiyo ndo muhimu zaidiMbinu Bora sana za kijasusi hizi... Mleta mada umetisha sana....
Ongezea na hii.."Jaribu kwa Hali na Mali ku balance shobo"..
Namaanisha Kuna Namna unaweza kuingia kiwanja cha bar , kutokana na muonekano , aina ya usafiri unaotumia n.k. Kuna Namna watu au hata mademu wakaanza kushoboka na wewe.... Hii ina attract evil spirits kama Wivu na husuda kwa uliowakuta.. shobo zikiwa kama zinataka kuzidi Jaribu ku balance hivi kwa ku play low key .. utaepuka mengi
NB: bar sio kwamba watu wana furaha ...ni mkusanyiko wa watu wenye stress na mental depression.. amini kwamba..
Warning ⚠️ ⚠️ ⚠️ ⚠️:stay cautious and vigilant all the time
namba 4 mstari wa5 utakufaa sanaNipo baa hapa tangu saa kumi jioni, niliagiza kreti mbili na wahuni wangu tumezimaliza,ni wakati wa kulipa,nimesachi mifuko yote hela sina,sijui nimeibiwa au vipi, nafanyaje ndugu? Au nitumie mbinu gani kati ya ulizozitaja?
[emoji23][emoji23][emoji23] wee upokonywe simu plz, una Fujo sana khaah.Nimezaliwa Ilala halafu nipigwe?
Cha ukucha gang mimi. Sisi ndo wale panyaroad unavyotaka tunataka..!! [emoji81][emoji81]
Watu wa mikoani wote tunawachangamsha sisi. [emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiii[emoji81][emoji81][emoji81] Unaingia bar na sime..!!
Huko wanagombania mademu na mateja..!!
Umeanzaaa wee G, [emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo huyo miyeyusho, alitia kauzibe kwa mdodo wangu nikamkosa
Haswaaa,kuliko ukutane na kifinyo cha mabaunsa !
[emoji23][emoji23][emoji23] mnajuana wenyewee, nawaacha km mlivyo. LolKakuzibia michongo yako [emoji81]
Pole sana kiongozi. Huyo coca achapwe viboko haiwezekani akufanyie figisu..!!
Wee lazima upitie kwangu Masijara kuhakikiwa. [emoji23][emoji23][emoji23]Bwana we! Lakini ipo siku mchuchu ukiwa huru, naamini utanitafuta wenyewe
Ko kumbe hamfati pombe, ila ni viuno?? Basi sawa.Kunywea hom kiuno unakiona kimoja tu haileti vibe
Wewe lala muda wako wa kuhudumia ndoa huuKo kumbe hamfati pombe, ila ni viuno?? Basi sawa.