Namna ya kuonana na Rais

Namna ya kuonana na Rais

Vaa yale Manguo yao ya Kijani alafu hudhuria mikutano yake, beba bango Chawa wa Mama, mbona fasta tu.
 
Me mwenyewe natafuta namna ya kuonana na mama face to face niongee naye.
 
Vaa yale Manguo yao ya Kijani alafu hudhuria mikutano yake, beba bango Chawa wa Mama, mbona fasta tu.
anao chawa wangapi had sasa??? wanafaidika na nn chawa wa mama
 
Mimi nataka kwenda kupiga nae story jioni, na kubadilishana nawazo je hili linawezekana?, si ni binadamu kama sisi!
 
Mimi nataka kwenda kupiga nae story jioni, na kubadilishana nawazo je hili linawezekana?, si ni binadamu kama sisi!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna mtu kasema mchakato hua ni karibu mwaka mzima ndio uweze kumuona raisi sasa wewe mchakato wa mwaka mzima upige naye tubstory mkuu??
 
Dada angu unaniingiza chaka sio.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ au anzia insta au tweeter huko dm huwezi jua ikawa siku nzuri raisi akakujibu, can you imagine unachat na raisi pm aloo!!
 
Back
Top Bottom