Namna ya shambulizi la Israel huko Isfahan-Iran inathibitisha Israel wamedhamiria na wanawaalika Iran kwa vita kamili.

Mkuu hayo madhara ni kwetu sie ngozi nyeusi, wazungu wangekuwa wanaathirika hii vita ingekoma.
Hapana mkuu, madhara ni kwa wote, japo inaweza kuwa sio kwa uwiano sawa. Kumbuka unapozungumzia Israel huwezi waacha washirika wake, pia Iran nayo ina washirika ambao kwa namna moja ama nyingine wanaweza unga mkono endapo ikiwa vita kamili.

Kama umefuatilia habari, leo baada ya tukio la Iran, mafuta ghafi yalipanda kwa 3.5% kwa baadhi ya nchi na average ilikuwa 1% kwa nchi zingine kabla ya kurudi kwenye hali ya kawaida.

Kimsingi vita ni gharama sana, na kama huna uchumi mkubwa na stahimilivu, kuja kurudi kawaida baada ya vita ni kipengele kingine.
 
Syria Tenaa????
Syria jngeisaidiaje Israel waketi yenyewe ndio inapigwa kila siku??
Kuna kambi za jeshi la Marekani zinazojifanya zinapambana na kundi la Islamic State huko Syria. Zilijaribu kutoa ushirikiano wa kudhibiti makombora ya Iran yenye nguvu lakini wakashindwa.
 
Ungekaa kimya unatumia nguvu nyingi wakati Iran alishamaliza kazi yake siku nyingi nyie sindiyo mlikuwa mnaena Iran warushe hata jiwe Israel waone😁
Walisema Iran ikirusha jiwe tu Israel itakiona cha mtemakuni. Sasa sio jiwe tu bali Iran kashambulia mpaka kambi zao, alaf wa kufuta aibu wakatuma vindege vyao ambavyo vimeshushwa mara 1 na wenye nguvu.
 
Unatak kusema shambulio la Israel limezuiwa kwa effectively kwa 100%
 
Walisema Iran ikirusha jiwe tu Israel itakiona cha mtemakuni. Sasa sio jiwe tu bali Iran kashambulia mpaka kambi zao, alaf wa kufuta aibu wakatuma vindege vyao ambavyo vimeshushwa mara 1 na wenye nguvu.
Hivyo vindege umeviona wewe kama tule tu drone twa kuchukua film au live football match, tena basi havikutokea Israel au nchi za kiarabu.

V merushiwa humo huma ndani na wapinzani wa Iran, wale waupande wa Shah wa Iran
 
Means Israel isingewekew kifua ingekuw na hali ngumu zaid
 
Unatak kusema shambulio la Israel limezuiwa kwa effectively kwa 100%
Leta video tuone madhara ya shambulio. Kumbuka ni Iran pekee ndo imelidhibiti shambulio la Israel.

Ila Israel, Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Jordan na Saudi Arab zote zilipambana na kushirikiana kulidhibiti shambulio la Iran na bado makombora yalifika Israel na kuleta uharibifu mkubwa.
 
Means Israel isingewekew kifua ingekuw na hali ngumu zaid
Vibaya mno. Kama shambulio limezuiwa na nchi zaidi ya 7 lakini bado limeleta madhara, sasa kama hao wazuiaji wasingezuia, hali ingekuaje?

Kaa chini utafakari we mwenyewe vizuri.
 
V merushiwa humo huma ndani na wapinzani wa Iran, wale waupande wa Shah wa Iran
Pale myahudi mwenye vizaka na mweusi tii wa kongwa dodoma, anapojifanya anajua taarifa zaidi kilichotokea, kuliko wayahudi wenyew weupe na mabwana zao wamarekani.

Marekani ishasema Israel imerusha makombora Iran, wewe myahudi mweusi tii wa kihaya unapinga. Ni aibu sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wazee wa propaganda kwani wanasemaje? Yale makombora ya mkafiri hayakudunguliwa sio?

Mwisho wenu umewadia
 
Vibaya mno. Kama shambulio limezuiwa na nchi zaidi ya 7 lakini bado limeleta madhara, sasa kama hao wazuiaji wasingezuia, hali ingekuaje?

Kaa chini utafakari we mwenyewe vizuri.

Jordan na nani wamezuia? Ila ukumbuke mengine yameshuka na kuleta uharibifu na hasara kubwa kwa wazayuni
 
Ulivyoandika utazan ww ndii neta yau umesifia sanaa, kwa ufupi hujaleta habari Bali maelezo yote yliotoa ya kusifia tu
Utabiri wa Ezekiel sura ya 38 unatimia. Gog Yaani Urusi watajiunga na Magogu Yaani Iran kuivamia Israel, hapo ndio utukufu wa Bwana Mungu kwa watu wake Israel utakapoonekana . Hizi ni dalili tu unabii utatimia Iran na washirina wake hawataweza.
 
Iran nao wapige Israel, hiki ndicho nachokitaka.

Ule unafiki wa sisi tulio chini tutaumizwa na vita ya wakubwa siutaki, tumeshazoea nauli za daladala kuwa juu hata kama bei ya mafuta ikishuka, wapigane.
 
Yani kila anacho ongea America ni kweli? Kama ni kweli yule kondoo Netanyahu si angeanza kujisifia kwenye press conference na kuitishia Iran na show off zake za kubweka bweka.
 
{}
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…