nerilan
JF-Expert Member
- Dec 11, 2013
- 454
- 691
Hapana mkuu, madhara ni kwa wote, japo inaweza kuwa sio kwa uwiano sawa. Kumbuka unapozungumzia Israel huwezi waacha washirika wake, pia Iran nayo ina washirika ambao kwa namna moja ama nyingine wanaweza unga mkono endapo ikiwa vita kamili.Mkuu hayo madhara ni kwetu sie ngozi nyeusi, wazungu wangekuwa wanaathirika hii vita ingekoma.
Kama umefuatilia habari, leo baada ya tukio la Iran, mafuta ghafi yalipanda kwa 3.5% kwa baadhi ya nchi na average ilikuwa 1% kwa nchi zingine kabla ya kurudi kwenye hali ya kawaida.
Kimsingi vita ni gharama sana, na kama huna uchumi mkubwa na stahimilivu, kuja kurudi kawaida baada ya vita ni kipengele kingine.