Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
-
- #21
Pesa aibe sababu ametiwa ukilema kisa kupambania wajinga Kuna watu hawana ukilema huko ccm na wanakula maisha Kwa kuibia wajinga mfano samia na jopo lake Bora hizo pesa ale lissuHakika Mkuu wajinga wanabidi kuacha wafe Ila kuiba pesa haifai
Hivi nani alimtuma Lissu atupambanie? Au tulikaa naye lini tukakubaliana atupambanie?volunti non fit injuriaLeo mahakamani lissu ameonekana kakonda sana aisee nimejiuliza anachohangaikia ni kipi anaacha kuungana na ccm kula pesa mpaka kifo chake anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona wanateseka wanaishia kukomenti mtandaoni kwamba wanahuzunika hahaha nilichokiona Leo lissu ameshaanza kuona anachokifanya ni ujinga na natarajia akitoka ataacha kurisk maisha yake kisa wajinga tanzania ni Mali ya ccm na hiki chama kitaongoza milele sababu kinaogopwa hivyo kupambana nacho ni kujipalia moto mnyinge acha afe sababu dunia hii ni ya wababe
Kamuulize yupo kisutuHivi nani alimtuma Lissu atupambanie? Au tulikaa naye lini tukakubaliana atupambanie?volunti non fit injuria
Nani?Kamuulize yupo kisutu
SijuiNani?
Taja majina yote, huyo SIJUI ni mtoto wa nani?Sijui
SijuiTaja majina yote, huyo SIJUI ni mtoto wa nani?
kwa akili yako uanfikiri pesa ndiyo mwanzo na mwisho wa wewe kuwapo duniani?Leo mahakamani Lissu ameonekana kakonda sana aisee nimejiuliza anachohangaikia ni kipi anaacha kuungana na CCM kula pesa mpaka kifo chake anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona wanateseka wanaishia kukomenti mtandaoni kwamba wanahuzunika hahaha nilichokiona leo Lissu ameshaanza kuona anachokifanya ni ujinga na natarajia akitoka ataacha kurisk maisha yake kisa wajinga tanzania ni Mali ya CCM na hiki chama kitaongoza milele sababu kinaogopwa hivyo kupambana nacho ni kujipalia moto mnyinge acha afe sababu dunia hii ni ya wababe
Bendera ya nchi ina rangi moja ndio imetawala rangi zote.. tukae kwa kutulia la sivyo tubadili rangi ya benderaLeo mahakamani Lissu ameonekana kakonda sana aisee nimejiuliza anachohangaikia ni kipi anaacha kuungana na CCM kula pesa mpaka kifo chake anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona wanateseka wanaishia kukomenti mtandaoni kwamba wanahuzunika hahaha nilichokiona leo Lissu ameshaanza kuona anachokifanya ni ujinga na natarajia akitoka ataacha kurisk maisha yake kisa wajinga tanzania ni Mali ya CCM na hiki chama kitaongoza milele sababu kinaogopwa hivyo kupambana nacho ni kujipalia moto mnyinge acha afe sababu dunia hii ni ya wababe
Uzuri lissu kashastuka anapambania wajingakwa akili yako uanfikiri pesa ndiyo mwanzo na mwisho wa wewe kuwapo duniani?
Amemuonea huruma MUMEO anavyoteseka jelaAkili yako ndio imeishia hapo,amekuomba unga wa kula na familia yake ?
anapambania wajinga kama wewe ambao hutaki kuamini nje ya ccm ndio maana unamshauri aamini ki uoga kama weweUzuri Lissu kashastuka anapambania wajinga ikiwemo wewe
Katika wajinga anaowapigania lissu ni wewe mpaka Leo unamuona Nyerere ni mtu wa maana kumbe ndio mshenzi namba Moja kazi ipoWapigania uhuru Huwa hawachoki.Hata kipindi tunapigania uhuru na wa kina Nyerere,walikuwepo watu wa mawazo kama Yako ya kuwakatisha tamaa wapigania uhuru lakini hawakukata tamaa
Ukombozi wa kuwakomboa wajinga ni kazi bure unakomboa watu ambao wanasema wako na uhuru na amani utakua huna akiliKumuelewa TL inabidi urejee kauli yake kuwwa yeye anafanya siasa a ukombozi na sio siasa za udalali.
Ukombozi maana yake ni ule uchunu wa wajinga sisi tunaodhurumiwa na wajinga wengine wanaodhurumu.
TL anapigania ustaarabu ambao ndio daraja la hawa wajinga wa pande mbili. Watu wenye kuelewa haya huwa ni wachache sana na ndio maana wengi wetu hatuwaelewi!
anakaa wapi?Sijui
Nenda kamtetee lissu sio unakalisha makalio humu kunandika mwenzio anahenya huku akiwa kilemaanapambania wajinga kama wewe ambao hutaki kuamini nje ya ccm ndio maana unamshauri aamini ki uoga kama wewe