Namshauri Lissu akitoka aachane na siasa. Aungane na CCM ale pesa umri umeenda

Ukombozi wa kuwakomboa wajinga ni kazi bure unakomboa watu ambao wanasema wako na uhuru na amani utakua huna akili
Sio kazi bure bali ni kazi ngumu ambayo ni lazima kufanyika.
Mfano kutumia gadget ni rahisi na furaha lakini kwa aliyetumia muda kuitengeneza huenda haikuwa rahisi hivyo. Same kama hao wanaofurahia keki ya taifa ukweli ni kwamba haikuwekwa hapo naturally bali kuna watu walipambana kuifikisha hapo na bila kujitokeza watu kama TL sasa huenda mbeleni isilike kama sasa
 
Unakomboaje mtu ambaye anasema amepata uhuru na ana amani hivi unajua unachokiongea lakini mzee watu wamesema wanauhuru na amani wewe unataka uwakomboe nini sasa
 
Nenda kamtetee lissu sio unakalisha makalio humu kunandika mwenzio anahenya huku akiwa kilema
Wote tukienda kumtetea physically nani atabaki mtandaoni ku deal na wajinga kama wewe?

Wewe mbona huendi kuwatetea wanaomshtaki???

Yeye yupo mahakamani, mtandaoni tupo sisi tunagawa wastan kwa idadi

Kilema ni hali tu ambayo hauwezi kuibadili kama ulivyo ujinga wako
 
Wote tukienda kumtetea physically nani atabaki mtandaoni ku deal na wajinga kama wewe?

Yeye yupo mahakamani, mtandaoni tupo sisi tunagawa wastan kwa idadi

Kilema ni hali tu ambayo hauwezi kuibadili kama ulivyo ujinga wako
Uzuri lissu Kashastuka ameona anapambania wajinga
 
Watanzania washaichoka CCM vibaya mno, body language ya majority ya watanzania kuelekea uchaguzi wa mwaka huu unakupa majibu.
 
Awe kama Mbowe alivyokua anakula koshokaji huku anasema, 'Mama anaupiga mwingi "!!
 
Usingilie conscience yake. Acha Kila mtu aishi kulingana na wito wake hapa duniani hatuwezi kuwa sawa. Hata watu wote wapotoke lkn atabaki hata mmoja kufanya restoration.

Hakuna mtu Wala, mfumo, wa serikali itabaki milele. Hata isipo kufa Kwa nguvu by natural death tu itafutika.
Kuna watu wana dhamiri hai kweli kweli na wanakiishi kile wanachokiamini huko ndio wanapata full self realization.
Si kikatika Pesa kama wewe unavyo Dhani huko utapata satsfication ya maisha.
 
Ungekua mtoto au ndugu wa lissu usingeandika huu ujinga
 
Ukiwaita wenzio wajinga wewe utakuwa mpumbavu wa kutaka watu wote wawe na akili za kufanana.

Wewe kipaumbele chako ni fedha Lissu kipaumbele chake ni nchi
Mjinga Hana akili ushawahi kuona wapi mjinga ana akili ndio wewe Sasa mjinga
 
Watanzania washaichoka CCM vibaya mno, body language ya majority ya watanzania kuelekea uchaguzi wa mwaka huu unakupa majibu.
Tanzania ni Mali ya ccm hamna alieichoka ndio maana watanzania wanasema wamepata uhuru na Wana amani
 
Katibu mkuu wa chadema aende akapunguze Tshirt za Lissu zimeshakua kubwa
 

Hujishangai kuwa na ushauri kama wa mama?

Au na wewe ni teka teka FC?
 
Lissu umaarufu wote kwishaaaa! Amebaki mmoja, waliomjalia pale mahakamani wanaenda wanaisha daily, wamegundua lissu ni kichaa. Anazidiwa umaarufu hata na Hamorapa.
 
What if J.K. Nyerere ange give-up na kuungana na wakoloni kupiga hela?

Lazima kuwapo na watu wa kufight, japokuwa nakubaliana na wewe kumpigania mtanzania ni shida sana
Usimfananishe mwalimu na vitu vya kijingajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…