Namtafuta Rafiki yangu Shunie. Tulipotezana humu mwaka 2015 mwanzoni enzi za JK

Namtafuta Rafiki yangu Shunie. Tulipotezana humu mwaka 2015 mwanzoni enzi za JK

Status
Not open for further replies.
Sikuwahi kula ban .Namtafuta Shunie wa ubani nimeshindwa kumsahau Mara ya mwisho kuwasiliana nae humu JF ilikuwa 2016 mwishoni Kama sikosei japo Sina kumbukizi vizuri but she is my favorite girl since 2015s up to day[emoji257][emoji257][emoji257]
Jamaniiiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe una lako jambo na muda utaongea.
Umejiunga 2015
Umeanzisha uzi mmoja na huu ni wa pili.

UMechangia nyuzi mara 15 tu ukijumlisha na posts za leo.

Tatu Shunie yupo kila siku jukwaani wala sio wa kuanzishia uzi.

Ok tutajua ulilolipanga
Nakupenda sana mkuu kama umemaliza hivi
 
[mention]Shunie [/mention] kama [mention]Shunie [/mention] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mmenipa kazi ya kutafuta hii thread mpaka nimeipata

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya myajenge sasa na shemeji
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] We ni chizi uliza I'd yake ya zamani

Kikubwa umekuja hiyo id yake atakutajia tyu usijali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vipi nimwambie kabisa km una marejesho, au utamwambia mwenyewe?!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom