Namtetea mtoto wa Simbachawene, askari wachunguzwe

Kwahiyo ukisababisha ajari, wenye mali mkiamua kulipana ndiyo basi, askari wa usalama barabarani, hawana chao tena siyo, kwa mujibu wa sheria zetu?
Mfano ni Brake failure chao kinatoka wapi.?
 
Huwa uchunguzi mnafanya na kwa wanyonge?,huu ndo mfumo,acha nae aonje yatikanayo na mfumo uliochangiwa pia kuwepo na mzazi
 
Huwa uchunguzi mnafanya na kwa wanyonge?,huu ndo mfumo,acha nae aonje yatikanayo na mfumo uliochangiwa pia kuwepo na mzazi
Kilichopo ni ubambikiaji wa kesi polisi
 
Huyu anakesha club mpaka alfajiri, anagonga halafu anakimbia, unafika kituoni polisi na bado unakuwa mkaidi?
 
Sasa baba yake aliyemzaa keshasema huyo ni mtu mzima hivyo sheria zifuate mkondo wake, wewe ni nani hasa kuendelea kukomaa??
 
Aya ya mwisho umechafua
 
Aliwarekodi ili kuwa na ushahidi usio na shaka? Wenzake wajanja wamemrekodi na kusambaza clip kwa jamii na tumeona, sasa yeye akija na ngonjera za rushwa bila evidence, na mapolisi welikuwepo zaidi ya mmoja, hiyo imekula kwake.
 
Wabongo bhana mtu kalewa wanataka iwe story kisa mtoto wa mkubwa mbona walevi bara barani kibao tuu na wanatukana yeyote bila kujali ni askari au balozi ili mradi ukanyage miguu yao tu...
 
Naona kuna kikundi sijui cha wapiga kura wa jimbo la kibakwe au walevi wenzie uyo dogo wamekuja JF kumsafisha mwenzao
Hahahaha hapana Prince Kunta sisi ni wazalendo lazima kubalance story, haya mambo ya kuegamia upande mmoja siyo mazuri, hasa ukizingatia hawa hawa askari walimuua mtuhumiwa Mtwara na kumbambikia case.
 
Alipoulizwa kwanini unamwita mwanaume mwenzio mse***, alijibu nini?? Kijana pia ana makosa

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Alipoulizwa kwanini unamwita mwanaume mwenzio mse***, alijibu nini?? Kijana pia ana makosa

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Sidhani kama ni sahihi kufanya provocation, maana hatujui huko nyuma walikuwa wamemfanyeje mpaka kufikia hatua kujibu hivyo. Kingine unaweza kuta dogo hakutukana walimchonganishia tu.
 
Na wewe unataka!😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
Hivi mnajiuliza angekuwa kijana tu wakawaida asiye na uhusiano na mkubwa yoyote serikalini,mnajua mambo gani yangemkuta?
Kwanza asigeweza kuwa na jeuri kama huyo Junior wa simbachawene,angepigwa mitama,na angengolewa meno!Bora huyu ameyatukana mapolisi ccm,na yamejaa kimya yanabweka tu kama mbwa asie na meno!!
Hawa polisi huonea wananchi wa kawaida tu,wakikutana na watoto wa wakubwa wanakuwa kama mbwa Koko tu,
 
Kabisa si unaona yule mtanzania mwenzetu wa Mtwara walivyomuua ili kupoteza ushahidi. Nadhani Serikali iamuke ili kuhakikisha Polisi wanadumisha amani kwa kuacha uonevu.
 
Jirecord na usambaze video ndio tutaamini kama wewe ndio mtoto wa yule askari.....bila hivyo basi ongeza mchai chai na tangawizi bila kusahau mdalasini chai izidi kunoga
Tunaomba huyu jamaa apewe cheo mahakama ya kukata rufaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…