WAZO2010
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 1,615
- 3,784
Kuna Askari Magereza mwenye maisha sawa na Traffic Tanzania?Kwani askari magereza wana shida gani ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Askari Magereza mwenye maisha sawa na Traffic Tanzania?Kwani askari magereza wana shida gani ?
Mfano ni Brake failure chao kinatoka wapi.?Kwahiyo ukisababisha ajari, wenye mali mkiamua kulipana ndiyo basi, askari wa usalama barabarani, hawana chao tena siyo, kwa mujibu wa sheria zetu?
Huwa uchunguzi mnafanya na kwa wanyonge?,huu ndo mfumo,acha nae aonje yatikanayo na mfumo uliochangiwa pia kuwepo na mzaziNdiyo maana tusimhukumu dogo, uchunguzi ufanyike. Simbachawene hana shida kabisa na huyo dogo hatujawahi kabisa msikia ukorofi wake. Ukiangalia vizuri hao askali nina uhakika walitaka kumpiga/rushwa na walimdhalilisha ila walipogundua mtoto wa kigogo wakaona wataenda kuchomewa, ikabidi haraka wamseti.
Huyu anakesha club mpaka alfajiri, anagonga halafu anakimbia, unafika kituoni polisi na bado unakuwa mkaidi?Hapana hao askali ni waongo. Yule dogo siyo kichaa afanye hayo aliyoyafanya. Nina uhakika kulikuwa na mazingira ya rushwa.
Kuna mtu mmoja siku moja Dar alikuwa hizi hoteli za uswahilini, tena ni dereva wa serikali, sasa askali wakapita walikuwa na ukaguzi wa kawaida.
Basi wakamgongea mshikaji akafungua, bahati mbaya jamaa alikuwa kaweka waleti yenye hela zimetuna na zingine zimetokezea (zilikuwa per diem na mafuta ya safari), basi yule askali alivyoona jamaa alipigwa bonge la kofi na mateke bila hata kumuuliza na akasema nyie ndiyo majambazi tunawatafuta.
Baada ya hapo jamaa kapigwa pingu na kupelekwa mahabusu, alijitahidi kujielezea wapi, akaenda kuwekwa mahabusu na waleti yake na hela zimechukuliwa.
Wakaanza kumuandikisha maelezo yeye kama jambazi. Bahati nzuri alifahamiana na watu, yule askali alifukuzwa kazi baada ya kujulikana ukweli.
Naamini watoto wa viongozi wanapaswa kupewa heshima na siyo kuwadhalilisha.
Sasa baba yake aliyemzaa keshasema huyo ni mtu mzima hivyo sheria zifuate mkondo wake, wewe ni nani hasa kuendelea kukomaa??Ndiyo maana tusimhukumu dogo, uchunguzi ufanyike. Simbachawene hana shida kabisa na huyo dogo hatujawahi kabisa msikia ukorofi wake. Ukiangalia vizuri hao askali nina uhakika walitaka kumpiga/rushwa na walimdhalilisha ila walipogundua mtoto wa kigogo wakaona wataenda kuchomewa, ikabidi haraka wamseti.
Aya ya mwisho umechafuaHapana hao askali ni waongo. Yule dogo siyo kichaa afanye hayo aliyoyafanya. Nina uhakika kulikuwa na mazingira ya rushwa.
Kuna mtu mmoja siku moja Dar alikuwa hizi hoteli za uswahilini, tena ni dereva wa serikali, sasa askali wakapita walikuwa na ukaguzi wa kawaida.
Basi wakamgongea mshikaji akafungua, bahati mbaya jamaa alikuwa kaweka waleti yenye hela zimetuna na zingine zimetokezea (zilikuwa per diem na mafuta ya safari), basi yule askali alivyoona jamaa alipigwa bonge la kofi na mateke bila hata kumuuliza na akasema nyie ndiyo majambazi tunawatafuta.
Baada ya hapo jamaa kapigwa pingu na kupelekwa mahabusu, alijitahidi kujielezea wapi, akaenda kuwekwa mahabusu na waleti yake na hela zimechukuliwa.
Wakaanza kumuandikisha maelezo yeye kama jambazi. Bahati nzuri alifahamiana na watu, yule askali alifukuzwa kazi baada ya kujulikana ukweli.
Naamini watoto wa viongozi wanapaswa kupewa heshima na siyo kuwadhalilisha.
Aliwarekodi ili kuwa na ushahidi usio na shaka? Wenzake wajanja wamemrekodi na kusambaza clip kwa jamii na tumeona, sasa yeye akija na ngonjera za rushwa bila evidence, na mapolisi welikuwepo zaidi ya mmoja, hiyo imekula kwake.Mapya yaibuka
Kumbe jamaa askari waliomba rushwa ya laki moja , baadae wakashuka hadi elfu hamsini tena walimuomba kwa vitisho lakini akagoma, baadae aliposema Baba yake ni fulani ni waziri ndio wakastuka wameingia choo cha kike wakamgeuzia kibao.
Askari wetu nao njaa zimezidi ndio maana wanatukanwa tu matusi ya wazi wazi.
Kwa nini waombe rushwa kwanza?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ni askari sio askali mkuu.
Hahahaha hapana Prince Kunta sisi ni wazalendo lazima kubalance story, haya mambo ya kuegamia upande mmoja siyo mazuri, hasa ukizingatia hawa hawa askari walimuua mtuhumiwa Mtwara na kumbambikia case.Naona kuna kikundi sijui cha wapiga kura wa jimbo la kibakwe au walevi wenzie uyo dogo wamekuja JF kumsafisha mwenzao
Alipoulizwa kwanini unamwita mwanaume mwenzio mse***, alijibu nini?? Kijana pia ana makosaNdiyo maana tusimhukumu dogo, uchunguzi ufanyike. Simbachawene hana shida kabisa na huyo dogo hatujawahi kabisa msikia ukorofi wake. Ukiangalia vizuri hao askali nina uhakika walitaka kumpiga/rushwa na walimdhalilisha ila walipogundua mtoto wa kigogo wakaona wataenda kuchomewa, ikabidi haraka wamseti.
Sidhani kama ni sahihi kufanya provocation, maana hatujui huko nyuma walikuwa wamemfanyeje mpaka kufikia hatua kujibu hivyo. Kingine unaweza kuta dogo hakutukana walimchonganishia tu.Alipoulizwa kwanini unamwita mwanaume mwenzio mse***, alijibu nini?? Kijana pia ana makosa
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Police wa tz Ni tatizo kwakweliWanaomjua dogo wanasema hanaga shida,
Kabisa si unaona yule mtanzania mwenzetu wa Mtwara walivyomuua ili kupoteza ushahidi. Nadhani Serikali iamuke ili kuhakikisha Polisi wanadumisha amani kwa kuacha uonevu.Hivi mnajiuliza angekuwa kijana tu wakawaida asiye na uhusiano na mkubwa yoyote serikalini,mnajua mambo gani yangemkuta?
Kwanza asigeweza kuwa na jeuri kama huyo Junior wa simbachawene,angepigwa mitama,na angengolewa meno!Bora huyu ameyatukana mapolisi ccm,na yamejaa kimya yanabweka tu kama mbwa asie na meno!!
Hawa polisi huonea wananchi wa kawaida tu,wakikutana na watoto wa wakubwa wanakuwa kama mbwa Koko tu,
Tunaomba huyu jamaa apewe cheo mahakama ya kukata rufaa.Jirecord na usambaze video ndio tutaamini kama wewe ndio mtoto wa yule askari.....bila hivyo basi ongeza mchai chai na tangawizi bila kusahau mdalasini chai izidi kunoga