Namtetea mtoto wa Simbachawene, askari wachunguzwe

ohoo...jikite kwenye hoja...hayo ya Lema CCM au CHADEMA ...kwa sisi wajenga hoja hayatuhusu...ni dalili ya kushindwa kujenga hoja

Sikudharua...bado ulikua na kitu kizuri cha kuandika...lakini uandishi wako mbovu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alipe gari za Watu alizogonga au apelekwe court kuendesha gari akiwa amelewa na kusababisha ajali.Lakini hayo matusi ni zao la Ulevi tu siyo kwamba ndiyo tabia yake .
Element ni club kubwa ni Night club ametoka kupombeka hivyo tujue ukishalewa busara kwa Watu hupungua halafu msiunganishe Ulevi wake na malezi maana hakuna anayefundisha Mtoto wake Ulevi Ila Mtu kunywa pombe siyo kosa pia.
Ukiwa club Matusi vitu vya kawaida Sana au kipigana ndiyo maana tunaweka Mabaunsa kudhibiti Ubabe ndani ya Club.
Ondoeni hoja ya Ubaba hapo na Malezi hakuna Uhusiano Tambo baada ya kulewa kawaida tu kila Mtu akilewa anataka kuoneka Msomi na anaongea kiingereza hata Kama hajui vizuri ataropoka tu,anazo pesa ,anayo mamlaka pia.Vitu vya kawaida Sana hasa wenye tuluozoea kushinda club na kupombeka.
Jifunze tabia za Watu wakishakunywa Pombe.
 
Haya mambo mbona mnayakuza,tukio alilofanya mtoto huyo yanawakuta watu/watoto wa wengine kila leo
Kikubwa wafate sheria na taratibu
Wamchukulie huyo dogo

Ova
 
U
Upuuzi Upuuzi.
 
Hao askari wanatakiwa washtakiwe kwa kumpiga picha bila idhini yake.
Mbona wakiwa wanapokea rushwa hawajipigi picha.
Sasa wamenipa warrant wa kuwapiga picha pindi nikiwapa buku mbili halafu narusha mtandaoni
Dunia ya leo na haya mambo ya mitandao ya kijamii kupigana picha kurekodiana mambo ya kawaida tu
Unaweza rekodi video au piga picha na ikawa msaada kwako na kwa wengine

Ova
 
Upumbavu mkubwa huu niliowahi kuusoma hapa JF, nchi hii kweli ni pithole country yaani kuna sheria za sisi walala hoi wa lingusenguse na kuna sheria za waliobarikiwa wa masaki, nimekudharau mno kwa mchango huu wa kuonyesha kuwa kama huku drop name your nothing
 
Stupid individual
 
Huyo mtoto ana bahati sana,angekutana na sisi wazee wa kazi,angekuwa na adabu ,tungeshinda naye usiku kucha.
 
Police ndiyo wamelikuza hili Jambo kisa tu ni Mtoto wa Chawane! Kulikua na ulazima wa kuchukuwa mavideo na kuyarusha mtandaoni!? Issue ndogo sana sema hao police wameikuza sana,walitakiwa wam treat Kama wahalifu wengine tu!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
DNA isije zua makubwa kuliko ya mtoto wa simbachawene.
 
Ukipigwa picha ukiwa mlevi utafurahia?
Huwezi kumkuta mtoto wa Bosi wako amelewa then unashadadia kumpiga picja za kuziposti,
Mfano: Huwezi kumpiga picha mtoto wa Samia akiwa mlevi na kuziposti huko ni kukosa adabu!
Acha utoto boss mzee wake sio yeye
 
Nakuelewa mkuu Kuna mingese umu inamtetea eti mtoto wa boss boss kwaio ndio afanye anavyojiskia
 
Mkuu una hasira na police tu ndio maana lakini hii issues ukiicheku haijakaa poa kwa mtoto wa kiongozi kufanya vile maana inaonekana baba yake hakumlea kimaadili ya kuheshimu watu wengine maana
 
Siwapendi polisi ila dogo kazingua angejifanya fala tu wangekuja kumtoa ndani wakimpigia saluti
Hawa jamaa zetu chenga sana,
Anzia wachimba madini wa Mahenge chini ya Zombe,
Njoo 150m jangwani chini ya Kova.
Njoo ya Juzi Mtwara.

Kama imethibitika ni mkosaji , sheria ifuatwe pasipo kuacha shaka.
Haya mambo ya kaa kwenye kiti ,umemtukana nani sijui nini , hayana nafasi ktk traffic case.
 
Hao maafisa hawana mafunzo ya maadili ni sawa na kuanika kasoro za mkeo kijiweni angali ukijua bado ni mkeo,mtu akiwa tungi lolote analolifanya linakuwa nje ya uwezo wake kiakili.Ndo maana wale police wasio na adabu walimdhalilisha Mh Adam Malima tena mbele ya kandamnasi ilikuwa ni aibu kabisa kwa taifa na kwa jamii nzima,ningelikuwa IGP huyo police aliemtishia bunduki Malima hakika ningelikula kichwa.
Hiyo ya dogo aliedhalirika ni Mh Waziri sio mtoto kwani mtoto akikunyea kiganja huwezi kukikata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…