Namuona Paul Kagame akiwa kama Putin hapa Afrika Mashariki

Kwa hiyo nduli alipovamia Kagera uliona sawa. Wewe labda siyo wa nchi hii.
 
Ninachojua tu ni kwamba hakuna nchi hapa Afrika Mashariki ya Kuipiga Kijeshi Rwanda ya Kagame. Nimemaliza.
 
Ninachojua tu ni kwamba hakuna nchi hapa Afrika Mashariki ya Kuipiga Kijeshi Rwanda ya Kagame. Nimemaliza.
Na huu ndiyo ukweli sema wengi wanaogea kiushbiki ama hawaujui uwezo wa kijeshi wa Rwanda
 
Kuna nchi hazikutakiwa kuwepo EAC
Ethiopia
Sudan
Rwanda
Burundi
Kongo

Tungeendelea baki 3 pekee
 
2014 mkoa wa kagera ulifanyiwa screening ile mbaya...

Watu wenye asili ya Rwanda walirudishwa kwao na kunyanganywa mali zao kwa nguvu...
 
rwanda imepigana vita ipi?
 

Kwa jeshi lipi, nadhani unafikiri hilo jeshi la Rwanda ni kama hawa wafuasi wa vyama vya upinzani wasio na silaha. Huu ujinga ndio Russia aliamini anaweza kuiteketeza Ukraine, lakini hadi tunaingia mitamboni Russia hajui atoke vipi.
 

Vita pekee direct ilikuwa ni ya Uganda, nayo ni miaka 40 iliyopita, hakuna hata mwanajeshi mmoja aliyepigana vita ile bado yuko jeshini. Na hata kama yupo basi saa hii anaugua kisukari. Hizo nyingine sisi tulienda kama wapambe wa wenye vita. Huyo Uganda mwenyewe tulimpiga kwakuwa waganda walikuwa hawamtaki Amini.
 
[emoji16][emoji3][emoji3]
 
ni mjinga peke yake anaweza kuamini kwamba landlocked country ambayo ni masikini kama rwanda, haitengenezi silaha, haina viwanda, inatembeza bakuli kwa wazungu wanaweza kushinda vita dhidi ya nji nyingine jirani. rwanda walichofanikiwa ni propaganda tu na kuuaminisha umma kwamba wana uwezo. mbona kipindi kile JK ameliamsha kwa operation kimbunga waliamua kumuomba Tony Blaire aje aombe poo kwa JK? usifananishe na nchi kama Israel ambayo ndani yake kuna nukes, kuna viwanda vya ndege za kivita, kuna viwanda vya silaha nzito, kuna viwanda v ya makombora ya ulinzi na hawategemei nchi nyingine. hapohapo more than 10m Jews ni Wamarekani wanaoishi america na wanatoa mchango wa pesa kabisa kwenye serikali na ndio wanaotawala dunia.

sipendi vita, ila hata mimi ningekuwa kagame, ningefanya anachofanya kwasababu zifuatazo:-

1. Eastern Congo kuna wanadamu wengi sana wenye asili ya Rwanda, na wamekuwa wakitengwa serikalini kule congo,
2. rwanda ni nchi ndogo yenye population, wanahitaji kupumua, kupumua kwao ni kupata ardhi nyengine, hivyo kama hao eastern congo (banyamlenge) wakifanikiwa kujitenga, watajiunga na rwanda na rwanda itakuwa na eneo kubwa zaidi.

congo ni nchi corrupt, na rahisi kuitawala hata kwa remote. hivyo, ili kagame apate ardhi nyingine, ni lazima afanye anachofanya hicho kwa kusapoti m23 wajitenge afu watangaze kujiunga na rwanda. halafu, nguvu hao rwanda hawana kiviiile, unakumbuka JK alivyosambaratisha M23 hadi wakakimbilia Rwanda kipindi kile, walipata kichapo cha kueleweka wakatimua mbio. na Rwanda hakuwa na chochote cha kufanya. kagame ameshazeeka, labda amweke mtoto wake, muda si mrefu hayo mambo ya ugomvi yatakuwa historia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…