Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
drones RWanda anazo, kipindi kile tunagombana naye ilisemekana alikuwa nazo za israel walitaka wazifanyie majaribio. though drones pia siku hizi zina mbadala, sio njia pekee. cha muhimu ni kwamba, ataisumbua tu congo, ila nchi zingine east africa wanao uwezo wa kumchapa, na akileta vita huo uhasama utakuwa wa milele na hana uwezo kuishi nao maisha yake yote. na uchumi wa rwanda hauruhusu icho. hata congo tu wakiamua kumpiga wanaweza, atakachofanya pekee ni kuwapa silaha M23 wawe wanamsaidia, ni kama analo jeshi lake jingine linaloishi kule congo (m23).Historia ya vita vya magobore ina issue gani kwa dunia ya sasa ya vita vya drones?
...mwanzoni mwa utawala wa Uhuru Kenyata hata wakenya walimshobokea sana kagame kama wewe unavyomshobokea, baadaye wakamshtukia wakaachana naye.Siku akikiamsha hakuna nchi itatia maguu kumzuia. Atateka sehemu yoyote ya nchi yoyote aitakayo hapa East Afrika.
Nchi yake iko vizuri kijeshi na muda mwingi wanajeshi wa Rwanda wameutumia vitani.
Na nadhani hata nchi zote za East Africa ziunajua umahiri wa kijeshi wa Rwanda ndiyo maana Paul Kagame anafanya atakavyo lakini hakuna nchi inainua kichwa.
View attachment 2402153
Huu ni udhaifu wa masikiniDah mpaka leo miaka 50 baadae bado mnalaumu ile vita kwa matatizo yenu?
Mpaka ipite miaka mingapi ndio mtarecover?
100?
200?
1000?
Mbona jakaya bado ni RaisiWaCongo man wasingekuwa wanateseka hivi kama Jakaya angekuwa bado Rais…aliwafyekelea mbali hawa M23 hadi Kagame akapata kiungulia
Na waliokuzaa pia.Popoma wahedi
Haswaa,Unayo kumbukumbu nzuri sana juu ya swala hilo.
Ongezea kwenye hayo uliyoandika kichapo walichopewa M23 na mfadhiri wao Kagame na kuwasambaratisha kabisa vijana wakitekeleza majukumu chini ya kundi la UN huko DRC.
Usisahau pia mkasa wa kutaka kupinduliwa yule Jamaa wa Burundi Nkuruzinza, akiwa kwenye Mkutano hapa Tanzania. Uthubutu wa Kagame uliishia ukingoni baada ya kujuwa kwamba hataweza kuyakamilisha mapinduzi hayo Nkuruziza akiwa na mkono wa Tanzania.
Hiyo ya Uganda, Amin alisaidiwa na askari wa Libya lakini pia tuliwachapa.Tumepigana vita nyingi - kuanzia vya mreno (Mozambique, Angola), Namibia, Zimbabwe, Africa ya Kusini, ushelisheli, Ngazija, mpaka Uganda etc. (etc = for security reasons hazitajwi). Nafikiri kama hujui vita hizo, basi ulikuwa mdogo! Vita hiyo yote majeshi yetu yalikuwa front line (hence front line states)...
Walikuruhusu kuishi katika nchi yetu iliyojaa maziwa na asali.Na waliokuzaa pia.
Mkuu jeshi lake na Serikali yake wakileta maliza uza katafutwa ndani dakika, tz ,kenya tu msiwachukulie poa ,hasa tz tumo, ila Mambo ya kijeshi ni siri kubwa, sema Kama kanchi kanaweza kuwa karibu na nchi za Magharibi,lakini pia nchi tajwa hapo juu pia Zina ukaribu,Siku akikiamsha hakuna nchi itatia maguu kumzuia. Atateka sehemu yoyote ya nchi yoyote aitakayo hapa East Afrika.
Nchi yake iko vizuri kijeshi na muda mwingi wanajeshi wa Rwanda wameutumia vitani.
Na nadhani hata nchi zote za East Africa ziunajua umahiri wa kijeshi wa Rwanda ndiyo maana Paul Kagame anafanya atakavyo lakini hakuna nchi inainua kichwa.
View attachment 2402153
Miaka 10,000. Ndio tutarecoverDah mpaka leo miaka 50 baadae bado mnalaumu ile vita kwa matatizo yenu?
Mpaka ipite miaka mingapi ndio mtarecover?
100?
200?
1000?
Yale Yale ya Putin, ndani ya siku 3 kashafika KyivPamoja na ujinga wetu mwingi lakini kati ya maeneo ambayo Tanzania ni imara ni upande wa jeshi na ujasusi. Kundi dogo la special elites wa JW wanaweza kuingia HQ yao within 3days [emoji41]
Ulikuwa ni uonevu fulani ivi? Maana kuna wanyarwanda wengi sana ambao ni wazaliwa wa Tanzania. Kama unavyooona wamasai na wajaruo watanzania na Kenya2014 mkoa wa kagera ulifanyiwa screening ile mbaya...
Watu wenye asili ya Rwanda walirudishwa kwao na kunyanganywa mali zao kwa nguvu...
MannePutin aneshateka na kuyamiliki majimbo 3 ya Ukraine. Huu siyo ushindi?
Naona kuna masalia kina gentamicine na sexless.2014 mkoa wa kagera ulifanyiwa screening ile mbaya...
Watu wenye asili ya Rwanda walirudishwa kwao na kunyanganywa mali zao kwa nguvu...
Alikua anaoneshwa kwamba anaishi kiganjani mwa Tanzania,alihangaika na wale watu asijue pa kuwawekaUlikuwa ni uonevu fulani ivi? Maana kuna wanyarwanda wengi sana ambao ni wazaliwa wa Tanzania. Kama unavyooona wamasai na wajaruo watanzania na Kenya