SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 3,577
- 5,664
Hakuna Uchungu wowote hapo,,, we umelalamika tu kama hao wajinga unaowaita... Si ungesema ilitakiwa wafanye nini ili tukuone kama nawe una wazo jipya pengine maana nawe ni kama wao tu...Ni hayo tu Mimi nimeongea ukweli mchungu
Time factor ni variable muhimu kwenye kila aspect ya maisha. Muda haujawahi kuwa hauna umuhimu mkuu.Muda haumsubiri Mtu Wananchi wanasimama na mapolisi wanaongea nao nakulalamika wamefungiwa kanisa na hata jiwe hawajarusha na mapolis wamekaa na amani eti maandamano
Ushauri mbaya kabisa tangu mwaka huu uanze. Haiko hivyo katika ukombozi.Aisee kitu ambacho lissu anashindwa kuelewa tanzania ni sehemu ya wajinga na masikini waliokubali kuishi maisha ya kifukara Sasa jiulize anao watetea Sasa miezi miwili imepita lissu yupo ndani kazi Yao ni kutoa laana mtandaoni yaani kwamba Kila mtu anachimba mkwara nyuma ya keyboard kwamba mwaka huu kitachimbika wakati mda huo lissu analala kwenye gereza la death row Cha kumshauri lissu akitoka gerezani aungane na ccm ale mema ya nchi au aendelee kuishi na wanafki huku Kila mda akiuangalia mlango wa gereza watanzania washalidhika na hayo maisha lissu unajisumbua tu nilidhani unawafuasi wa damu kwamba ulivyokamatwa tu pangechimbika ila walikaa kimya lissu jua kwamba watanzania 100% ni keyboard warrior
Kuna msemo kuwa maskini na mjinga hawanuni, haafilisiki na hawaombolezi. Manyanyaso, dhulma na mauaji yote kwa maskini na mjinga ni sawa tu.Wajinga na masikini sio watu wa kutetea ni kuwaacha wafe
We'll keep the receipts boss. Then if God wishes we shall produce them then.Hamna kitu hapo sio tanzania na haitotokea
Unajua maana ya uzalendo au ni uchawa umekujaa hadi chooni??Tatizo ni pale anapotokea rais mzalendo na wapinzani wanafanya kukufuru matokeo yake ndiyo haya yanayo wakuta ....chadema niliwaonya waziwazi hapa jf ...sasa kuoambana na upumbavu wa mwanamke ni ngumu sana la wakubali kumwaga damu nyingi kufanya samia azidi kukataliwa
Haya ni elimu wewe uzalendo ni nini?Unajua maana ya uzalendo au ni uchawa umekujaa hadi chooni??
Sure hata israel ilikata tamaa kwa jinsi waliteska kwakuwa watumwa wa pharao,makes senseTime factor ni variable muhimu kwenye kila aspect ya maisha. Muda haujawahi kuwa hauna umuhimu mkuu.
Upo SahihiTatizo ni pale anapotokea rais mzalendo na wapinzani wanafanya kukufuru matokeo yake ndiyo haya yanayo wakuta ....chadema niliwaonya waziwazi hapa jf ...sasa kuoambana na upumbavu wa mwanamke ni ngumu sana la wakubali kumwaga damu nyingi kufanya samia azidi kukataliwa
Kweli akili kumkichwa changanya matako mavi ya sigande wewe umesema raisi mzalendo Je, Niambie juu ya kifo cha kibao Mama ako mzalendo kaongea vipi, na juu ya Gwajima huyo mzalendo wako ameongea Kipi? Tumia akili sio mpaka uwe chooni ujue hapa nipakuchuchuma apa nipakukaa sio kwamba ukiwa chawa ndio uwe "mbwa" unaeza ukawa chawa ila nyani unafikria na kuhojiHaya ni elimu wewe uzalendo ni nini?
Hata Mandela alipambana hivi hiviAisee kitu ambacho lissu anashindwa kuelewa tanzania ni sehemu ya wajinga na masikini waliokubali kuishi maisha ya kifukara Sasa jiulize anao watetea Sasa miezi miwili imepita lissu yupo ndani kazi Yao ni kutoa laana mtandaoni yaani kwamba Kila mtu anachimba mkwara nyuma ya keyboard kwamba mwaka huu kitachimbika wakati mda huo lissu analala kwenye gereza la death row Cha kumshauri lissu akitoka gerezani aungane na ccm ale mema ya nchi au aendelee kuishi na wanafki huku Kila mda akiuangalia mlango wa gereza watanzania washalidhika na hayo maisha lissu unajisumbua tu nilidhani unawafuasi wa damu kwamba ulivyokamatwa tu pangechimbika ila walikaa kimya lissu jua kwamba watanzania 100% ni keyboard warrior
Sure ndiyo mpigania uhuru wa kweliJina lisu litandikwa vizazi na vizazi
Kwanza hata kukosa tu inatosha imesaidia snNikienda mahakamani namsaidiaje? Huu ushauri wako kwanini usingeenda kuupeleka mahakamani?
Keyboard warrior ingia barabarani na bango lissu aachiwe mikwara ya mtandaoni Sasa imeisha huwezi kushinda vita ukiwa mtandaoni lazima upasuke ndio ushinde huu ni ukweli mchunguHata Mandela alipambana hivi hivi
Uhuru Gani ikiwa wewe mfuasi wake umekua mnafki unashindwa kumpambania ili kumrahisishia huo uhuru unaosema bwana keyboard warriorSure ndiyo mpigania uhuru wa kweli
Tulia sister angu haya mambo huyaweziKeyboard warrior ingia barabarani na bango lissu aachiwe mikwara ya mtandaoni Sasa imeisha huwezi kushinda vita ukiwa mtandaoni lazima upasuke ndio ushinde huu ni ukweli mchungu
Wapigania uhuru huwa tunajificha kwanza hata Museveni alijificha msituniUhuru Gani ikiwa wewe mfuasi wake umekua mnafki unashindwa kumpambania ili kumrahisishia huo uhuru unaosema bwana keyboard warrior