Namuonea huruma sana Tundu Lissu kwa kutetea wajinga na masikini

Lissu nimemwona leo, kaanza kutepeta, si alijiona mbabe!! Kila akija mahakamani anapiga makelele!! Leo mwanzo mwisho anaongelea ugumu wa chumba anachokaa!! Na bado, mpaka akili zimruke kabisaaa!! Ye si chizi.
..ulitaka asiongee kuhusu haki zake?
 
HUJUI UNACHOKISEMA

Vast majority ya Watanzania
wanaotetewa hawajawahi kugusa keybord. Hawajui ku type.

Social political commentator ambae HUJUI UNAONGELEA JAMII YA WATU GANI. UNAJIONGELEA TUUU
!!
Ingia ulingoni sio unakua keyboard warrior hamna mageuzi yaliyofanywa na keyboard warrior
 
Hasira za nini we keyboard warrior Toka hapo ulipo uende ukampiganie lissu sio kuandamana nyuma ya keyboard unafikiri ccm watatishika hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣
..hujui kitu kijana.
 
Mtu ALIE zaliwa kwenye utawala wa CHANCELLOR METTERNICH ukimwambia Kuna siku METTERNICH SYSTEM inge ondoka angekwambia ni NIGHTMARE.

METTERNICH'S & HIS SPYING SYSTEM yaani watu waliogopa kuongea kukosoa SERIKALI hata wakiwa peke zao chooni

METTERNICH'S aliogopwa zaidi ya JPM alitengeneza mifumo yake na kila taarifa zilikua zinafika kwake na wapinzani wake wote walikua ELIMINATED kabisa kabisa na hakukua na mwanaume wa kuhojibama kukohoa kivyovyotee

Leo METTERNICH'S imebakia historia hata hili la maccm ni Jambo la muda TU hakuna kitu Cha MILELE.

Tukiogopa kufa tutakufa TU Nijambo la muda TU hata tukiacha harakati wataibuka kina LISSU wengi wengine

Bristol sisi ambao tumewai kupata ajari na kuvunjika vunjika huwa tunaishi na maumivu / mpaka Sasa tunatembea na maumivu. Je? Huyu lissu anae ISHI na dawa na maumivu Leo nimemsikia kwa kinywa chake kasema Kuna mguu mmoja haufanyi kazi sawa sawa.

Kupigania haki ni kuji sacrifice kwaio lissu Hana Cha kupoteza angekuaga opportunist kitambo angesha kina DOCTOR MOLLEL e.t.c all
 
Wachache lazima tujifiche, hata Mandela alikuwa ndani lakini kuna wasouth walikuwa Morogoro wanapambana sema enzi hizo hapakuwa na internet
Ujifiche kufanya nini mzee jitokeze acha uoga wa kuwa keyboard warrior Toka adharani ulengwe risasi ukiipambania nchi si unauchungu nayo🤣🤣🤣🤣🤣
 
Una point, japo siungi mkono TL Alambe asali ! Anaowapigania hawajitambui kabisa, anarisk mpaka maisha yake kwa majitu ambayo yapo yapo tu hayajui yanataka nini !
amejitolea kiharakati, hajatumwa na watanzania, apambane na hali yake
 
Ukweli mchungu ni huu yaani ana pambania MAITI.
 
Toka ingia barabarani umpambanie lissu na umekili kwamba mguu wake mmoja mzima he we ni kilema au keyboard warrior muoga a.k.a mnafki wa lissu
 
Mimi nipate nafasi ya kuishi nje ya Tanzania kama Lissu sidhani kama nitakumbuka kama nami ni miongoni mwa Mtanzania.
 
Ni asili ya binadamu hata asipokuwepo yeye watajitokeza wengine
 
Ukiona mtu haelewi haya mambo ni either bado ni mtoto au ni kunguni tu anaejitoa ufahamu.

Waulize monarchy za Han (Korea) zilikaa madarakani miaka mingapi, waulize kuhusu akina Pol Pot
 
amna mwana siasa yupo kwa ajili ya kuskiliza shida zako, lengo la mwanasiasa na siasa ni kushika uongozi, izo zingine mnazojifanya mnapambania ni nje ya kufanya siasa na znatakiwa kukemewa, mambo ya mtu anahama chama mnamuona msaliti ni ushamba
 
Ukiona mtu haelewi haya mambo ni either bado ni mtoto au ni kunguni tu anaejitoa ufahamu.

Waulize monarchy za Han (Korea) zilikaa madarakani miaka mingapi, waulize kuhusu akina Pol Pot
Toka barabarani acha uoga yaani mnamuachia jamaa anateseka kwenye chumba Cha death row pekee yake nyie mmekalia kuchimba mikwara mitandaoni mnafikiri ccm watawasikiliza aisee mtasubiri sanaa huo ni uoga Wala sio kitu kingine chochote ukweli usemwe
 
..ulitaka asiongee kuhusu haki zake?
Haki ya mahabusu wa kungojea capita punishment ndio hiyo sasa, si ana wabelgiji wake wanapiga makelele huko, Acha waendelee kumtetea kibaraka wao, we tokea chadema imekuwapo, na enzi hizo viongozi kabla yake walikamatwa tu sana, uliona wapi wakitetewa na mabeberu kama anavyotetewa Lissu!!? Huyu ni kibaraka wa wakoloni.
 
Mimi sio mfuasi wa lissu kama mpaka mda huu hujajua Cha kufanya basi na wewe ni Moja ya mjinga niliowazungumzia yaani mwenyekiti wako kadakwa Kwa kesi za mchongo na unasema hujui la kufanya kazi ipo
Sasa wewe mwerevu unaowabatiza watu ujinga na huna solution umejuaje ni mjinga kama nawe si mjinga mmoja ambaye ni shujaa kilaza wa keyboard anayefikiri kutusi watu ni ujuaji
... Halafu ujinga ni kitu "subjective", ili uonyeshe ujinga wao ilitakiwa tuone uwerevu wako wewe mwenye akili,,,

Kwa kifupi wafuasi wako kwenye right track, kama huna mbadala wa wazo basi piga kimya...
 
Juma Nature, "Migambo wanaruka na kukanyagana, hii, mwaiburuu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…