Namuonea huruma sana Tundu Lissu kwa kutetea wajinga na masikini

Ujinga wa kuambiana ukweli kwamba wewe ni muoga kwani ni uongo mzee we ni muoga utaishia kuandika humu tu🤣🤣🤣🤣🤣
..tafuta maana ya uwepo wako hapa, huo ndio ujinga ulio nao..ya Lissu mwachie yeye mwenyewe na aliyemleta tanzania.
 
Keyboard warrior ingia barabarani usitoe maelezo mengi sana mwenyekiti wenu anateseka mpaka Leo analalamika hovyo mahakamani Ile ni ishara kwenu mumpambanie sio mnakua waoga someni ishara ya mwenyekiti wenu
 
Working for a calling do not have to be for profit, for personal gain or for our loved one.
We follow a calling because we feel obligated to, and if we don't work on it there some pain and consequences just because we didn't respond to a calling.

This is a level of self actualization of which few or no one can understand.
 
..hakuna mipaka kupinga udhalimu na ukiukwaji wa haki za watu, hao unawaita wakoloni ndio wanatengeneza dawa mama yako anatumia akiugua, ndio wamefanya utumie hiki unachotumia kusema huu ujinga hapa..binadamu si wanyama.
 
Sasa kwa nini mnawataka waje tena kututawala na kutuletea ushoga sasa!!?
 
Sasa kwa nini mnawataka waje tena kututawala na kutuletea ushoga sasa!!?
..wewe unatambua ushoga tu, wakitaka kututawala hawawezi kushindwa, hata sasa haki iko hivyo, kila kitu unategemea kwao..kitu gani unacho wewe ambacho wao hawana?
 
Hata Yesu kama angekata tamaa kusingekuwa na huu ukombozi wa Dunia yetu. Mungu ni LAZIMA atumie watu ili kuketa mageuzi yoyote hapa Duniani. Haya yote yana mwisho na mwisho umeshakaribia saana.
 
Toka ingia barabarani umpambanie lissu na umekili kwamba mguu wake mmoja mzima he we ni kilema au keyboard warrior muoga a.k.a mnafki wa lissu
Wewe ni mbwa, kenge mtoto na Huna hadhi ya kujadiliana na Mimi.

Nisha kuweka ignore list
 
Keyboard warrior ingia barabarani usitoe maelezo mengi sana mwenyekiti wenu anateseka mpaka Leo analalamika hovyo mahakamani Ile ni ishara kwenu mumpambanie sio mnakua waoga someni ishara ya mwenyekiti wenu
Kuingia barabarani huwa haambiwi mtu kijana,,, ila point ikifika watu wanaingia wenyewe..
Watu hawaendeshwi na milipuko ya mihemuko ya kitoto kama hiyo yako..
Kwenda barabarani siyo solution kwasasa kwenye ishu ya Lissu ,, waache Mahakama ifanye yake..
Kwasababu hata wewe hapo ulipo ni shujaa wa keyboard maana hujawahi ingia barabarani kupinga lolote, au pengine wewe ni mnufaika wa mfumo wa Utawala uliopo huna lolote la kupigania...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…