ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Mambo ni makorokoro πππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£πKama mizigo yako haifungwi kwenye ma box maalumu, jua mambo yako bado makorokoro lazma yaamishwe usikuππ
Wadau wana hoja π πWakuu mambo ni makorokoro ety tafuta pesa πππ sijasema mim lakini ni maoni ya wadau
Na huu ndio ukweli wa wazi mnoVitu ni vibaya vimechoka mmiliki anaona aibu kujidhalilisha kweupe
Kwasababu ukihama mapema unapanga vitu mapema na kupmzika
Yes YesNa huu ndio ukweli wa wazi mno
Goba , vingunguti , buza , buguruni, mabibo, Tandika , kigogo, tandale, manzese , na nk , kuhama usiku ni pai 22/7Yes Yes
Punguza kusema ukweli basiπ πGoba , vingunguti , buza , buguruni, mabibo, Tandika , kigogo, tandale, manzese , na nk , kuhama usiku ni pai 22/7
Mtoa mada apate majibu sahihiPunguza kusema ukweli basiπ π
Hope ameelewa sasaMtoa mada apate majibu sahihi
Ishii nayo hiyo makorokoro hayahamishwi mchana kwa hofu ya kuzua taharukiYaaani mpaka nielewa issues ni makorokoro ndo hoja nzito nimengamua Leo na ninaondoka nayo π
Mie nahama mapema maana sina vitu kabisa π πShindwaa hapo unahama 8 usiku
π π πMtu anaweza kujua unakwenda kutupa taka kumbe unahama
Ewaaaa π₯π₯Unafunga kwenye boda nduki