Hao ndio wanaoishape Dunia iwe namna ilivyo. Ndio wamiliki wa karibu tekinolojia tekinolojia zote za Dunia.Shida haujui Dunia inavyoongozwa, G7 ndiyo wanakupangia namna ya kupata mikopo...riba na namna ya kuzitumia pia namna ya kuendana na wananchi wako.
Sasa huko Korea wanachangia nini hapa Duniani hadi wewe unufaike? Zana za kilimo yenyewe ameshindwa kuisaidia Dunia.
Hao G7 wanasisitiza sana wanasayansi kufanya kazi za utafiti kwa weledi zaidi ili maisha ya wanadamu ziboreshwe...wewe unaleta mambo ya korea kaskazini.
Asikudanganye mtu. Hayo mataifa hakuna cha maskini jeuri. Unaweza kupigapiga tu kelele halafu wakakudharau.Kuna wanaoitwa "maskini jeuri". Wanajali heshima yao na hawako tayari kuiuza kwa gharama yoyote!! Watakuambia "potelea mbali na pesa yako". Watu kama mwalimu Nyerere, Robert Mugabe, Fideral Castro nk.
Kelele za Mchina zina nguvu ndogo sana. US ilipeleka pendekezo UN la kutaka China itambulike kama Taifa tajiru ili mchango wake UN uongezwe, China ilikataa katakata na kudai kuwa ukubwa wa pato la China unasababishwa na uwingi wa watu, na siyo kipato kikubwa cha wananchi wake, na kwamba wachina wengi wanaishi kwenye umaskini mkubwa.China amewabwatukia G7 pamoja na mkubwa wao Marekani: Kawaambia hamuwezi kushinikiza matakwa yenu na sheria zenu kwetu kwa maslahi ya kwenu!! Amewagomea peupe kuwa waqo siyo world leaders bali ni kikundi tu cha watu!!
China questions ‘credibility’ of G7 members
Beijing has accused the US-led bloc of trying to impose its will on others
Leaders of the G7 countries in Hiroshima, Japan, May 20, 2023. [emoji2398] Michael Kappeler / dpa / Getty Images
The international community will not allow the US-led G7 dominate world affairs, nor will it fall in line with the pro-Western rules pushed by the group, the Chinese Foreign Ministry said in a statement on Saturday.
“China will never accept the so-called rules imposed by the few. The international community does not and will not accept the G7-dominated Western rules that seek to divide the world based on ideologies and values,” the statement read.
The Foreign Ministry went on to accuse the group of acting on behalf of “America-first” policies and attempting to impose its will on others. “That simply shows how little international credibility means to the G7,” the ministry said.
Hata utaratibu wa kuvaa chupi hao ndio waliouleta. Kila tunachojivunia kuwa ni maendeleo ni chao, halafu eti ghafla uwazidi, haiwezi kuwa karne hii.Acha porojo, elewa dunia inavyoongozwa...kila kitu kinapagwa na kutekelezwa na watu.
Nikikuuliza unadhani numbers, silabu, irabu na maneno mengine uliyoyasoma yalitoka wapi? Jibu ni yalipangwa na watu...bisha lakini ujiulizi kwanini tunaanza mwanzo wa mwezi kwa kuita tarehe 1 na wala siyo 0.
Kubali Kataa lakini ukweli ni kuwa dunia inataratibu yake...wewe watu walianza kujenga magorofa miaka ya 1300 huko leo unakataa wasikupangie namna ya kuishi.
Hauna hoja mkuu, Sema basi Japan wanainyonya Tanzania kwenye sekta ipi...siyo kuleta nadharia yasiyokuwa na uhalisia.Umeongea kama wale wanaume ambao mkewe anapewa lift na jirani halafu wanaume wenzake wanahoji yeye anajitetea kuwa mkewe asipopewa lift anapata shida kwenye madaladala sasa huyu mwanaume jirani amejitolea kumpeleka kazini mimi ninamshukuru sana.
Umeongea kizembe sana. Umeongea kama mtu ambaye amelewa mahaba ya mataifa ya magharibi ambayo yanajilikana wazi kuwa yananyonya mataifa changa.
Sasa ukikataaa unasidia nini?Viongozi wa G7 naona wameamua kujibatiza kama viongozi wa dunia!! Vyombo vya habari vya magharibi viko mstari wa mbele kuwatangaza kama viongozi wa dunia. Watu husema kuwa uongo ukisemwa sana, na watu wakaumezea hubadilika pole pole kuwa ukweli.
Dunia lazima ikatae sasa kuwa marais wa Marekani, kanada, uingereza, ujerumani, Italia, ufaransa,na Japani ni marais wa nchi hizo tu wala viongozi wa dunia. Vinginevyo hawa G7 wataona dunia imewakubali kama viongozi wao, na hapo ndipo watapata nguvu ya kuweka sheria na taratibu zao ili kulinda maslahi yao tu na bila kujali maslahi ya nchi zingine. BBC wanasema Zelensky kazungumza na viongozi wa dunia (world leaders).
Zelensky's talks with world leaders
View attachment 2628783
EPACopyright: EPA
In the last few minutes, we've just heard from Volodymyr Zelensky about his meetings with world leaders at the G7 summit, including the UK, Italian and Indian prime ministers.
Hasa Marekani huwa inajihesabu kama kiongozi wa dunia wakati siyo!! Dunia ina mataifa 193 yanayotambuliwa rasmi na umoja wa mataifa. Haiwezekani mataifa 7 (G7) yakajitangazia kuwa ni viongozi nwa dunia. HAPANA.
Watu kama nyie magufuli alikuwa anawachapa viboko tu maana hamna akili.Shida haujui Dunia inavyoongozwa, G7 ndiyo wanakupangia namna ya kupata mikopo...riba na namna ya kuzitumia pia namna ya kuendana na wananchi wako.
Sasa huko Korea wanachangia nini hapa Duniani hadi wewe unufaike? Zana za kilimo yenyewe ameshindwa kuisaidia Dunia.
Hao G7 wanasisitiza sana wanasayansi kufanya kazi za utafiti kwa weledi zaidi ili maisha ya wanadamu ziboreshwe...wewe unaleta mambo ya korea kaskazini.
Kabla ya Wazungu kuja Africa walikuwa na Empire kubwa tu zenye Nguvu,Shida mnakariri Africa Africa, ukiwa na akili unapata mbinu mmbala wa kukabiliana na maisha ya muda huo...kaa uongozwe na wenye akili na teknolojia, umekaa unapiga porojo wenzako wako maabara wanabadikisha karatasi kutumika badala ya copper na shaba.
Kwani unadhani Afrika mkijifungia mtafaidika na nini? Mtaanza kugombania madaraka na kutandikwa na Maradhi hadi mpotee.
Wewe uliona wapi binadamu mwenye akili timamu ananunua eti kuku aliebarikiwa...mara wapo kwa Merdie kule Kenya wanazikwa porini
Shida haujui Dunia inavyoongozwa, G7 ndiyo wanakupangia namna ya kupata mikopo...riba na namna ya kuzitumia pia namna ya kuendana na wananchi wako.
Sasa huko Korea wanachangia nini hapa Duniani hadi wewe unufaike? Zana za kilimo yenyewe ameshindwa kuisaidia Dunia.
Hao G7 wanasisitiza sana wanasayansi kufanya kazi za utafiti kwa weledi zaidi ili maisha ya wanadamu ziboreshwe...wewe unaleta mambo ya korea kaskazini.
Wanaishape Dunia kwa manufaa yao sio Manufaa yako.Hao ndio wanaoishape Dunia iwe namna ilivyo. Ndio wamiliki wa karibu tekinolojia tekinolojia zote za Dunia.
Baada ya kuwabwatukia ikawaje sasa? Imeondoa uhalisia wa kuwa wao ni World Leaders?Umewasikia China walivyowabwatukia hao wanaojiita "world leaders". Nikupatie kipande hiki:
Gone are the days when a handful of Western countries can just willfully meddle in other countries’ internal affairs and manipulate global affairs.
Kwa sasa kuna kizazi cha mataifa ambacho kimeshaweka msimamo kuwa hawawezi kuyumbishwa na nchi za magharibi. Nchi kama China, Urusi, Korea ya kusini, Iran, Afrika ya kusini, Ghana, Uganda, Syria, Saudi arabia, India nk,(sina uhakika kwa Tanzania)! Wamesema no thank you!! Hatuwezi kuelekezwa cha kufanya na hatuwezi kupangiwa marafiki na maadui.
Usipopenda kuambiwa ukweli ndo shida yake.Watu kama nyie magufuli alikuwa anawachapa viboko tu maana hamna akili.
Sikia huyu nae, yaani uibe pesa ya mradi wa kuangamiza vizalia vya malaria then lawama ziende kwa West...Simba Putin kama unavyomwita, Russia ilikwepo tokea Enzi na Enzi lakini hakuna ata teknolojia ya kutengeneza sabuni iliwapatia.Na ushoga pia wanatuletea ili watu wapungue duniani
Na hakuna ruhuhusa ya nchi kama Tanzania [emoji1241] na wenzake ambao maleria ni number one killer nchini, haturuhusiwi dawa ya kupuliza juu kwa ndege ili kumaliza na kutokomeza kabisa ugonjwa huo!
Bali tuna ambiwa tununue dawa ambazo zina tengenezwa na makampuni yao!
Ni vitu vingi vya kusikitisha!
Ndio maana nchi nyingi za kiafrika zinazo jielewa ziko na simba Vladimir Putin, na tunasema nchi yeyote itakayo weza kubadilisha huu mfumo wa sasa hivi tuko nao walahi kuliko mashoga na ukoloni mambo leo wao![emoji2959][emoji3062]
Kumbe wewe hujui ata maendeleo ya Indonesia, Taiwan, Japan, China, Brunei, Singapore zimechangizwa na kuwa pamoja na West? Bure kabisa...nenda China uone wanavyopigania kwenda kusoma Ulaya na USA ili kupata elimu iliyo bora...wewe unapigania kwenda kusoma China, huko Korea Kaskazini kwenyewe kwa Jeuri Mapanki amepata elimu yake West.Kabla ya Wazungu kuja Africa walikuwa na Empire kubwa tu zenye Nguvu,
Na umekua brainwashed kuamini Akili ni kitu Fulani, hizo Nchi za Asia zinazoendelea kila siku zingekua na Mentality kama yako Leo zingekua Mazombie tu ya west.
Huwezi kuendelea kamwe kwa kufuata ama kuiga wenzako, mfumo wa west ni Pyramid jinsi mnavyokuwa wafuasi wengi ndio jinsi mnavyowanufaisha wao na ndio jinsi Nyie chance yenu ya kuendelea inavyokua Ndogo.
Kila Nchi ilioendelea ilijitathmini strength zake na kufuata ilichoamini hadi kutoboa na sio kutegemea misaada ya west.
Indonesia, China, Singapore, Korea, Malyasia, Brunei, Japan, Taiwan etc unafikiria wameendelea kwa Kumfuata West?
Hata Nchi za Middle East Leo zimeendelea kwa kutokufuata west, Leo Hii King Faisal asinge Nationalize Mafuta yao Pengine Saudia ingekua kama Venezuela ama Angola tu.
Itikadi za kijamaa ndizo zinakufanya na wewe uwasifie China. Mbona Mzee wa Vikwazo Joe Biden kamchimba Mkwara Xi asithubutu kuthubutu kuwapa Siraha Warusi, bila ubishi wowote Xi ametii?China amewabwatukia G7 pamoja na mkubwa wao Marekani: Kawaambia hamuwezi kushinikiza matakwa yenu na sheria zenu kwetu kwa maslahi ya kwenu!! Amewagomea peupe kuwa waqo siyo world leaders bali ni kikundi tu cha watu!!
China questions ‘credibility’ of G7 members
Beijing has accused the US-led bloc of trying to impose its will on others
Leaders of the G7 countries in Hiroshima, Japan, May 20, 2023. © Michael Kappeler / dpa / Getty Images
The international community will not allow the US-led G7 dominate world affairs, nor will it fall in line with the pro-Western rules pushed by the group, the Chinese Foreign Ministry said in a statement on Saturday.
“China will never accept the so-called rules imposed by the few. The international community does not and will not accept the G7-dominated Western rules that seek to divide the world based on ideologies and values,” the statement read.
The Foreign Ministry went on to accuse the group of acting on behalf of “America-first” policies and attempting to impose its will on others. “That simply shows how little international credibility means to the G7,” the ministry said.
Nadhani hata hayo maangamizi ya Nuclear hujui kuwa kwa sasa hayawatishi hao jamaa wa G7. Kwamba USilisha unda mitambo Patriots ambayo kazi yake ni kudungua makombora yenye vichwa vya siraha za Nuclear kama yatarushwa na Kichaa Putin au Dishi Kuyumba Kiduku, makombora hayo yataduguriwa yakiwa kwenye anga za nchi zao? Hivyo makombora hayo yakirushwa watakao athirika zaidi ni Warusi, Wakorea na nchi za jirani? Lakini pia US ilisema ikiiona Urusi iko kwenye maandalizi ya kutaka kuyarusha makombora yenye kubemba vichwa vya siraha za Nuclear tu. US itavurumisha makombora yake kuyabonda makombora yenye vichwa vya siraha za Nuclear kabla ya kurushwa? Kwa Sasa endelea kuelewa kuwa US bado ni Police wa Dunia, ikifuatiwa kwa mbali na Uchina.Dunia tu haijajitambua nguvu zake...Hivi dunia iki gang up against hao watamtishia nani? Kama ni nuclear si na wao itawaumiza? Akili tu hizi zilizotiwa woga, siku moja tutaungana na Korea na wenye calibre kama hizo kuwaondolea huo ukuu wao imaginary waliojitengenezea
Hakuna ukweli wowote hapoUsipopenda kuambiwa ukweli ndo shida yake.
Ndio maana Marekani hukasirika mno inapokutana na taifa kama korea ya kusikazini ambalo haliwezi kumnyenyekea hata kidogo!!
Viongozi wa G7 naona wameamua kujibatiza kama viongozi wa dunia!! Vyombo vya habari vya magharibi viko mstari wa mbele kuwatangaza kama viongozi wa dunia. Watu husema kuwa uongo ukisemwa sana, na watu wakaumezea hubadilika pole pole kuwa ukweli.