Nani aliwachagua kuwa viongozi wa dunia? G7 ni viongozi wa nchi 7 tu si zaidi ya hapo

Nani aliwachagua kuwa viongozi wa dunia? G7 ni viongozi wa nchi 7 tu si zaidi ya hapo

Shida haujui Dunia inavyoongozwa, G7 ndiyo wanakupangia namna ya kupata mikopo...riba na namna ya kuzitumia pia namna ya kuendana na wananchi wako.
Sasa huko Korea wanachangia nini hapa Duniani hadi wewe unufaike? Zana za kilimo yenyewe ameshindwa kuisaidia Dunia.

Hao G7 wanasisitiza sana wanasayansi kufanya kazi za utafiti kwa weledi zaidi ili maisha ya wanadamu ziboreshwe...wewe unaleta mambo ya korea kaskazini.
Hao ndio wanaoishape Dunia iwe namna ilivyo. Ndio wamiliki wa karibu tekinolojia tekinolojia zote za Dunia.
 
Kuna wanaoitwa "maskini jeuri". Wanajali heshima yao na hawako tayari kuiuza kwa gharama yoyote!! Watakuambia "potelea mbali na pesa yako". Watu kama mwalimu Nyerere, Robert Mugabe, Fideral Castro nk.
Asikudanganye mtu. Hayo mataifa hakuna cha maskini jeuri. Unaweza kupigapiga tu kelele halafu wakakudharau.

Nyerere alikuwa anabishana nao lakini hakuwahi kuwagomea. Alihudhuria UN ambayo hakuwahi kuianzisha. Aliheshimu nguvu ya mataifa yenye veto. Aliendelea kutumia magari yao, ndege zao, na tekinolojia zao mbalimbali.

Mwenye jeuri ni yule atakayesema sitaki kutumia chochote chao, nitajitegemea, sitawapigia magoti kwa chochote. Mwalimu aligomea masharti ya IMF, mpaka wananchi walikosa hata sabuni za kufulia, sukari, chumvi, n.k. Mwishowe alusalimu amri, akashusha thamani ya shilingi.

Hao G7, mmoja tu ana uwezo wa kuwaimbia nchi yote ya Tanzania laleni na kucheza bao, tutawahudumieni, na mkaishi vizuri kuliko mnavyoishi sasa, na wao wasihisi kuna kitu kimepungua.

Utalii wa mji wa Paris pekee yake kwa mwaka unaingiza mapato kati ya dola bilioni 85 mpaka bilioni 90. Serikali ya Tanzania ikiambiwa ikusanye mapato tu ya utalii ya jiji la Paris pekee, ni zaidi ya mara 4 ya bajeti yote ya Tanzania.

Hapo ndiyo utaelewa kwa nini ukipewa hata msaada wa dola milioni 300 na hayo mataifa, kwao ni vijihela tu. Wakikupa wanachohitaji zaidi uwaheshimu na kuwasikiliza, siyo eti wanategemea kuwa wewe utawatajirisha kwa kupitia huo msaada kama wengi wanavyodhania.
 
China amewabwatukia G7 pamoja na mkubwa wao Marekani: Kawaambia hamuwezi kushinikiza matakwa yenu na sheria zenu kwetu kwa maslahi ya kwenu!! Amewagomea peupe kuwa waqo siyo world leaders bali ni kikundi tu cha watu!!

China questions ‘credibility’ of G7 members​

Beijing has accused the US-led bloc of trying to impose its will on others
China questions ‘credibility’ of G7 members

Leaders of the G7 countries in Hiroshima, Japan, May 20, 2023. [emoji2398] Michael Kappeler / dpa / Getty Images
The international community will not allow the US-led G7 dominate world affairs, nor will it fall in line with the pro-Western rules pushed by the group, the Chinese Foreign Ministry said in a statement on Saturday.
“China will never accept the so-called rules imposed by the few. The international community does not and will not accept the G7-dominated Western rules that seek to divide the world based on ideologies and values,” the statement read.
The Foreign Ministry went on to accuse the group of acting on behalf of “America-first” policies and attempting to impose its will on others. “That simply shows how little international credibility means to the G7,” the ministry said.
Kelele za Mchina zina nguvu ndogo sana. US ilipeleka pendekezo UN la kutaka China itambulike kama Taifa tajiru ili mchango wake UN uongezwe, China ilikataa katakata na kudai kuwa ukubwa wa pato la China unasababishwa na uwingi wa watu, na siyo kipato kikubwa cha wananchi wake, na kwamba wachina wengi wanaishi kwenye umaskini mkubwa.

Sasa kama hutaki kugharamia hizo taasisi za kimataifa, huwezi kuwa na nguvu sawa na hao wanaozutegemeza.
 
Acha porojo, elewa dunia inavyoongozwa...kila kitu kinapagwa na kutekelezwa na watu.
Nikikuuliza unadhani numbers, silabu, irabu na maneno mengine uliyoyasoma yalitoka wapi? Jibu ni yalipangwa na watu...bisha lakini ujiulizi kwanini tunaanza mwanzo wa mwezi kwa kuita tarehe 1 na wala siyo 0.

Kubali Kataa lakini ukweli ni kuwa dunia inataratibu yake...wewe watu walianza kujenga magorofa miaka ya 1300 huko leo unakataa wasikupangie namna ya kuishi.
Hata utaratibu wa kuvaa chupi hao ndio waliouleta. Kila tunachojivunia kuwa ni maendeleo ni chao, halafu eti ghafla uwazidi, haiwezi kuwa karne hii.
 
Umeongea kama wale wanaume ambao mkewe anapewa lift na jirani halafu wanaume wenzake wanahoji yeye anajitetea kuwa mkewe asipopewa lift anapata shida kwenye madaladala sasa huyu mwanaume jirani amejitolea kumpeleka kazini mimi ninamshukuru sana.

Umeongea kizembe sana. Umeongea kama mtu ambaye amelewa mahaba ya mataifa ya magharibi ambayo yanajilikana wazi kuwa yananyonya mataifa changa.
Hauna hoja mkuu, Sema basi Japan wanainyonya Tanzania kwenye sekta ipi...siyo kuleta nadharia yasiyokuwa na uhalisia.
Sema Japan wanainyonya vp Tanzania au Kenya.
 
Viongozi wa G7 naona wameamua kujibatiza kama viongozi wa dunia!! Vyombo vya habari vya magharibi viko mstari wa mbele kuwatangaza kama viongozi wa dunia. Watu husema kuwa uongo ukisemwa sana, na watu wakaumezea hubadilika pole pole kuwa ukweli.

Dunia lazima ikatae sasa kuwa marais wa Marekani, kanada, uingereza, ujerumani, Italia, ufaransa,na Japani ni marais wa nchi hizo tu wala viongozi wa dunia. Vinginevyo hawa G7 wataona dunia imewakubali kama viongozi wao, na hapo ndipo watapata nguvu ya kuweka sheria na taratibu zao ili kulinda maslahi yao tu na bila kujali maslahi ya nchi zingine. BBC wanasema Zelensky kazungumza na viongozi wa dunia (world leaders).

Zelensky's talks with world leaders

View attachment 2628783
EPACopyright: EPA
In the last few minutes, we've just heard from Volodymyr Zelensky about his meetings with world leaders at the G7 summit, including the UK, Italian and Indian prime ministers.

Hasa Marekani huwa inajihesabu kama kiongozi wa dunia wakati siyo!! Dunia ina mataifa 193 yanayotambuliwa rasmi na umoja wa mataifa. Haiwezekani mataifa 7 (G7) yakajitangazia kuwa ni viongozi nwa dunia. HAPANA.
Sasa ukikataaa unasidia nini?
Nyie wenyewe kila mkipata shida mnakimbilia huko kifedha kisiasa na kila kitu sasa mkishaenda wote si lazima ataona yeye ni baba lao
 
Shida haujui Dunia inavyoongozwa, G7 ndiyo wanakupangia namna ya kupata mikopo...riba na namna ya kuzitumia pia namna ya kuendana na wananchi wako.
Sasa huko Korea wanachangia nini hapa Duniani hadi wewe unufaike? Zana za kilimo yenyewe ameshindwa kuisaidia Dunia.

Hao G7 wanasisitiza sana wanasayansi kufanya kazi za utafiti kwa weledi zaidi ili maisha ya wanadamu ziboreshwe...wewe unaleta mambo ya korea kaskazini.
Watu kama nyie magufuli alikuwa anawachapa viboko tu maana hamna akili.
 
Shida mnakariri Africa Africa, ukiwa na akili unapata mbinu mmbala wa kukabiliana na maisha ya muda huo...kaa uongozwe na wenye akili na teknolojia, umekaa unapiga porojo wenzako wako maabara wanabadikisha karatasi kutumika badala ya copper na shaba.
Kwani unadhani Afrika mkijifungia mtafaidika na nini? Mtaanza kugombania madaraka na kutandikwa na Maradhi hadi mpotee.

Wewe uliona wapi binadamu mwenye akili timamu ananunua eti kuku aliebarikiwa...mara wapo kwa Merdie kule Kenya wanazikwa porini
Kabla ya Wazungu kuja Africa walikuwa na Empire kubwa tu zenye Nguvu,

Na umekua brainwashed kuamini Akili ni kitu Fulani, hizo Nchi za Asia zinazoendelea kila siku zingekua na Mentality kama yako Leo zingekua Mazombie tu ya west.

Huwezi kuendelea kamwe kwa kufuata ama kuiga wenzako, mfumo wa west ni Pyramid jinsi mnavyokuwa wafuasi wengi ndio jinsi mnavyowanufaisha wao na ndio jinsi Nyie chance yenu ya kuendelea inavyokua Ndogo.

Kila Nchi ilioendelea ilijitathmini strength zake na kufuata ilichoamini hadi kutoboa na sio kutegemea misaada ya west.

Indonesia, China, Singapore, Korea, Malyasia, Brunei, Japan, Taiwan etc unafikiria wameendelea kwa Kumfuata West?

Hata Nchi za Middle East Leo zimeendelea kwa kutokufuata west, Leo Hii King Faisal asinge Nationalize Mafuta yao Pengine Saudia ingekua kama Venezuela ama Angola tu.
 
Shida haujui Dunia inavyoongozwa, G7 ndiyo wanakupangia namna ya kupata mikopo...riba na namna ya kuzitumia pia namna ya kuendana na wananchi wako.
Sasa huko Korea wanachangia nini hapa Duniani hadi wewe unufaike? Zana za kilimo yenyewe ameshindwa kuisaidia Dunia.

Hao G7 wanasisitiza sana wanasayansi kufanya kazi za utafiti kwa weledi zaidi ili maisha ya wanadamu ziboreshwe...wewe unaleta mambo ya korea kaskazini.

Na ushoga pia wanatuletea ili watu wapungue duniani
Na hakuna ruhuhusa ya nchi kama Tanzania [emoji1241] na wenzake ambao maleria ni number one killer nchini, haturuhusiwi dawa ya kupuliza juu kwa ndege ili kumaliza na kutokomeza kabisa ugonjwa huo!
Bali tuna ambiwa tununue dawa ambazo zina tengenezwa na makampuni yao!
Ni vitu vingi vya kusikitisha!
Ndio maana nchi nyingi za kiafrika zinazo jielewa ziko na simba Vladimir Putin, na tunasema nchi yeyote itakayo weza kubadilisha huu mfumo wa sasa hivi tuko nao walahi kuliko mashoga na ukoloni mambo leo wao![emoji2959][emoji3062]
 
Hao ndio wanaoishape Dunia iwe namna ilivyo. Ndio wamiliki wa karibu tekinolojia tekinolojia zote za Dunia.
Wanaishape Dunia kwa manufaa yao sio Manufaa yako.

Chukulia Mfano China vs India wote hawa ni MA Giant wenye watu sawa na Mabara.

China Akienda against nao akafungia YouTube, Google, Fb, na Tech Nyingi za Nje, Akacopy na kutengeneza vyengine vya kwake, akatumia hela alizokua anafanya manufacturing kuboresha sector nyengine kama Kilimo Leo hii ni Uchumi Mkubwa mno na wamefanikiwa kiasi kikubwa kutoa umasikini. Leo hii Social Network za China sio inferior kwa US, kampuni kama Tencent ipo valued around 400B usd na FB around 600B.

Muangalie India Sasa kubwa jinga ambaye kama Africa yupo proud kuwa kibaraka wa west na kumsifia kila Akipata muda, wapo level Moja na sisi bado wanajenga vyoo na kuvizindua
images (10).jpeg
 
Umewasikia China walivyowabwatukia hao wanaojiita "world leaders". Nikupatie kipande hiki:

Gone are the days when a handful of Western countries can just willfully meddle in other countries’ internal affairs and manipulate global affairs.

Kwa sasa kuna kizazi cha mataifa ambacho kimeshaweka msimamo kuwa hawawezi kuyumbishwa na nchi za magharibi. Nchi kama China, Urusi, Korea ya kusini, Iran, Afrika ya kusini, Ghana, Uganda, Syria, Saudi arabia, India nk,(sina uhakika kwa Tanzania)! Wamesema no thank you!! Hatuwezi kuelekezwa cha kufanya na hatuwezi kupangiwa marafiki na maadui.
Baada ya kuwabwatukia ikawaje sasa? Imeondoa uhalisia wa kuwa wao ni World Leaders?
 
Na ushoga pia wanatuletea ili watu wapungue duniani
Na hakuna ruhuhusa ya nchi kama Tanzania [emoji1241] na wenzake ambao maleria ni number one killer nchini, haturuhusiwi dawa ya kupuliza juu kwa ndege ili kumaliza na kutokomeza kabisa ugonjwa huo!
Bali tuna ambiwa tununue dawa ambazo zina tengenezwa na makampuni yao!
Ni vitu vingi vya kusikitisha!
Ndio maana nchi nyingi za kiafrika zinazo jielewa ziko na simba Vladimir Putin, na tunasema nchi yeyote itakayo weza kubadilisha huu mfumo wa sasa hivi tuko nao walahi kuliko mashoga na ukoloni mambo leo wao![emoji2959][emoji3062]
Sikia huyu nae, yaani uibe pesa ya mradi wa kuangamiza vizalia vya malaria then lawama ziende kwa West...Simba Putin kama unavyomwita, Russia ilikwepo tokea Enzi na Enzi lakini hakuna ata teknolojia ya kutengeneza sabuni iliwapatia.
Kubali tu kuwa hatuchangii chochote kwa west bali tunawanyonya sisi...yaani bure kabisa.
 
Kabla ya Wazungu kuja Africa walikuwa na Empire kubwa tu zenye Nguvu,

Na umekua brainwashed kuamini Akili ni kitu Fulani, hizo Nchi za Asia zinazoendelea kila siku zingekua na Mentality kama yako Leo zingekua Mazombie tu ya west.

Huwezi kuendelea kamwe kwa kufuata ama kuiga wenzako, mfumo wa west ni Pyramid jinsi mnavyokuwa wafuasi wengi ndio jinsi mnavyowanufaisha wao na ndio jinsi Nyie chance yenu ya kuendelea inavyokua Ndogo.

Kila Nchi ilioendelea ilijitathmini strength zake na kufuata ilichoamini hadi kutoboa na sio kutegemea misaada ya west.

Indonesia, China, Singapore, Korea, Malyasia, Brunei, Japan, Taiwan etc unafikiria wameendelea kwa Kumfuata West?

Hata Nchi za Middle East Leo zimeendelea kwa kutokufuata west, Leo Hii King Faisal asinge Nationalize Mafuta yao Pengine Saudia ingekua kama Venezuela ama Angola tu.
Kumbe wewe hujui ata maendeleo ya Indonesia, Taiwan, Japan, China, Brunei, Singapore zimechangizwa na kuwa pamoja na West? Bure kabisa...nenda China uone wanavyopigania kwenda kusoma Ulaya na USA ili kupata elimu iliyo bora...wewe unapigania kwenda kusoma China, huko Korea Kaskazini kwenyewe kwa Jeuri Mapanki amepata elimu yake West.

Ukitaka kula na wewe kubali kuliwa wakati huo unapangilia mambo yako vyema ili unachokula kidogo kije baadae kikupe jeuri ya kupunguza kuliwa.
 
China amewabwatukia G7 pamoja na mkubwa wao Marekani: Kawaambia hamuwezi kushinikiza matakwa yenu na sheria zenu kwetu kwa maslahi ya kwenu!! Amewagomea peupe kuwa waqo siyo world leaders bali ni kikundi tu cha watu!!

China questions ‘credibility’ of G7 members​

Beijing has accused the US-led bloc of trying to impose its will on others
China questions ‘credibility’ of G7 members

Leaders of the G7 countries in Hiroshima, Japan, May 20, 2023. © Michael Kappeler / dpa / Getty Images
The international community will not allow the US-led G7 dominate world affairs, nor will it fall in line with the pro-Western rules pushed by the group, the Chinese Foreign Ministry said in a statement on Saturday.
“China will never accept the so-called rules imposed by the few. The international community does not and will not accept the G7-dominated Western rules that seek to divide the world based on ideologies and values,” the statement read.
The Foreign Ministry went on to accuse the group of acting on behalf of “America-first” policies and attempting to impose its will on others. “That simply shows how little international credibility means to the G7,” the ministry said.
Itikadi za kijamaa ndizo zinakufanya na wewe uwasifie China. Mbona Mzee wa Vikwazo Joe Biden kamchimba Mkwara Xi asithubutu kuthubutu kuwapa Siraha Warusi, bila ubishi wowote Xi ametii?
 
Dunia tu haijajitambua nguvu zake...Hivi dunia iki gang up against hao watamtishia nani? Kama ni nuclear si na wao itawaumiza? Akili tu hizi zilizotiwa woga, siku moja tutaungana na Korea na wenye calibre kama hizo kuwaondolea huo ukuu wao imaginary waliojitengenezea
Nadhani hata hayo maangamizi ya Nuclear hujui kuwa kwa sasa hayawatishi hao jamaa wa G7. Kwamba USilisha unda mitambo Patriots ambayo kazi yake ni kudungua makombora yenye vichwa vya siraha za Nuclear kama yatarushwa na Kichaa Putin au Dishi Kuyumba Kiduku, makombora hayo yataduguriwa yakiwa kwenye anga za nchi zao? Hivyo makombora hayo yakirushwa watakao athirika zaidi ni Warusi, Wakorea na nchi za jirani? Lakini pia US ilisema ikiiona Urusi iko kwenye maandalizi ya kutaka kuyarusha makombora yenye kubemba vichwa vya siraha za Nuclear tu. US itavurumisha makombora yake kuyabonda makombora yenye vichwa vya siraha za Nuclear kabla ya kurushwa? Kwa Sasa endelea kuelewa kuwa US bado ni Police wa Dunia, ikifuatiwa kwa mbali na Uchina.
 
Viongozi wa G7 naona wameamua kujibatiza kama viongozi wa dunia!! Vyombo vya habari vya magharibi viko mstari wa mbele kuwatangaza kama viongozi wa dunia. Watu husema kuwa uongo ukisemwa sana, na watu wakaumezea hubadilika pole pole kuwa ukweli.

Dunia lazima ikatae sasa kuwa marais wa Marekani, kanada, uingereza, ujerumani, Italia, ufaransa,na Japani ni marais wa nchi hizo tu wala viongozi wa dunia. Vinginevyo hawa G7 wataona dunia imewakubali kama viongozi wao, na hapo ndipo watapata nguvu ya kuweka sheria na taratibu zao ili kulinda maslahi yao tu na bila kujali maslahi ya nchi zingine. BBC wanasema Zelensky kazungumza na viongozi wa dunia (world leaders).

Zelensky's talks with world leaders

View attachment 2628783
EPACopyright: EPA
In the last few minutes, we've just heard from Volodymyr Zelensky about his meetings with world leaders at the G7 summit, including the UK, Italian and Indian prime ministers.

Hasa Marekani huwa inajihesabu kama kiongozi wa dunia wakati siyo!! Dunia ina mataifa 193 yanayotambuliwa rasmi na umoja wa mataifa. Haiwezekani mataifa 7 (G7) yakajitangazia kuwa ni viongozi nwa dunia. HAPANA.

Acha na hiyo G7. Ukienda kwenye baraza kuu la usalama la UN utakutana na kundi linaitwa P5, URusi, Marekani, China, UK na Ufaranza. Sasa hao ndio wenye usemi wa mwisho kwenye UN. Mwaka 1996 walipiga kura ya Veto kukataa mmisri boutrous ghali kuendelea kuwa Katibu mkuu wa UN.
 
Back
Top Bottom