Nani aliyemshauri Rais Samia jambo hili ambalo limeleta mateso na aibu kubwa mitaani na mitandaoni?

Watu gani hao wanaoshinda makazini?
Anatakiwa kufahamu zaidi ya %60 ya matanzania ambao wangetakiwa wafanye kazi hawafanyi kazi Kwa sababu ya sera mbovu za uchumi wa Tanzania
 
Ni aibu ya mwaka!! Jamaa wamepoteana kabisa!!!!
Kawavua nguo na kuwadhalilisha chawa wake mitandaoni na mitaani kiasi ya kwamba sasa hivi hawataki kumzungumzia kwa mabaya wala mema kama mwanzo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
CCM ni chama imara, Samia kaona hana haja ya kumhofia mpinzani sababu serikali yake haina mawaa

Sio kama Yule jambazi tuliyemzika Chato aliogopa sababu alijua alivyokuwa na skendo nyingi huku akidanganya mbumbumbu kuwa ni mzalendo,
Hahahaha. Haya mkuu, ki ukweli CCM ni chama imara na bora kama ulivyoandika.
 
Watu gani hao wanaoshinda makazini?
Anatakiwa kufahamu zaidi ya %60 ya matanzania ambao wangetakiwa wafanye kazi hawafanyi kazi Kwa sababu ya sera mbovu za uchumi wa Tanzania
Asilimia kubwa ya watanzania ni kama raia wa bondeni ambao wengi wao ni wavivu hawataki kufanya kazi, hawana mawazo ya kujiajiri, hawana plan ya biashara wala kujishughulisha na lolote. Lakini kila siku ndio hao hao wanaoongoza mitandaoni kulilia ajira na kuilaumu serikali kwamba haiwapi kazi.
 
Kweli wee ni dudumizi , umeandika hz pumba ukitegemea iko siku uteuliwe??? Huwezi kuandika upimbi huu alafu utegemee kuteuliwa, watatolewa watu kutoka upinzani nakuja kuwa viongozi wenu hapo Lumumba kwa sababu ya maandishi yenu ya kibwege bwege ... Kwn hata wkt mikutano inafanyika ilikuwa inafanyika kila siku??? Lissu kwenda ulaya nako ni kitu Cha kukufanya uropoke hapa ??? Team magufuri mnaumia sana kuona nchi ikiwa imetulia .. mmeona nyomi ya mikutano ya hadhara ya chadema mmeanza kuweweseka ...subirini dawa iwaingie vzr kwenye bongo zenu
 
Mkuu inakuaje unakunywa viloba leo jumatano siku ya kazi? Tumezoea kuona wenzako wakinywa viloba siku za weekend ambazo hawaendi kazini ili kuepuka aibu ya kuongea utumbo kama huu.

Unaposema kwamba mimi natafuta teuzi basi unakosea sana, aidha kwa kutonijua kupitia post zangu au kwa kutokuwa mfuatiliaji wa mambo ya maana yanayohusu taifa letu.

Unaposema kwamba CCM au serikalini wanateuliwa wapinzani kuongoza kwa kweli mimi sina kinyongo as long as wateuliwa wawe watanzania kama mimi na wewe.

Lakini pia sio CCM tu peke yao ndio inayoteuwa wapinzani kuongoza nafasi mbali mbali, hata wapinzani pia wanaongozwa na wanachama wa chama cha mapinduzi (CCM) tena nafasi ya juu kabisa ya uenyekiti.

Mmoja wa wanachama wa CCM wanaongoza chama cha upinzani ni huyu hapo videoni. Uzuri kaongea kwa kauli yake yeye mwenyewe na wewe hapo unamuona na kumsikia.
 

Attachments

  • 5218795-900eac709d849ea146fff30dcf48cf3c.mp4
    4.1 MB
Jambo gani limeshawahi kujadiliwa kwenye majukwaa na likapitiwa suluhu na mwanasiasa asiyekuwa kiongozi .?
 
Wewe kweli una akili za panzi yaani unataka kuona mikutano inafanyika chumbani kwako?
 
Kila anaeanza na ubaya, pia huishia na ubaya. Jamaa walianza na ubaya kwa kuanzisha siasa za majitaka kuwachafua watu bila sababu. Sasa leo wanaishia kukimbia pia kwa ubaya.
Jamaa ni good opposition leader ila sio kua leader wa nchi
 
Wewe kweli una akili za panzi yaani unataka kuona mikutano inafanyika chumbani kwako?
Sasa mbona mikutano siku hizi inafanyika uwanjani, lkn wahudhuriaji wanahesabika?
 
Ila inamsaidia Mama kupata kampeni ya bure toka upinzani. Siku hizi wapinzani wote wakipanda jukwaani humsifia Mama Samia. Mwaka 2025 Mama atashinda kiurahisi mno. Nampongeza sana Mbowe kwa kuzielewa sera za awamu ya sita na kuziunga mkono.
 
Ila inamsaidia Mama kupata kampeni ya bure toka upinzani. Siku hizi wapinzani wote wakipanda jukwaani humsifia Mama Samia. Mwaka 2025 Mama atashinda kiurahisi mno. Nampongeza sana Mbowe kwa kuzielewa sera za awamu ya sita na kuziunga mkono.
Shukran pia zimuendee na Zito kwa kuamua kuwa upande wa raisi Samia.
 
Jambo gani limeshawahi kujadiliwa kwenye majukwaa na likapitiwa suluhu na mwanasiasa asiyekuwa kiongozi .?
Mpaka sasa bado nasubiri jamaa aje akujibu, lkn naona kakwepa swali lako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
2025 mtu hajiulzi nimchague Nan itakua ni nipge kula kwa ccm au niachane na uchaguzi maana hakuna kiongozi wa upinzani mwenye sifa labda popular figure itoke ndani ya ccm wenyw mfano pm akienda upinzani ccm lazima wapate moto na ndio maana wamemuacha pale ad leo
 
Ya nakubaliana na wew kwamba wapinzani sasa hivi hawana mgombea. Na PM yuko huko kimkakati zaidi ili 2030 CCM waje kumtumia katika uchaguzi wa raisi.
 
Aisee 🀣🀣🀣
 
Maandishi mengi kutuchosha bila sababu maana hata point unayotaka kujenga haionekani.

Hebu Rudi MEMKWA au QT ukajufunze tena uandishi wa insha
Kwa hiyo umesoma upuuzi wote huo na kuumaliza? Una moyo Sana.
 
Good
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…