Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Kumbe mikutano inafanyika?Sasa mbona mikutano siku hizi inafanyika uwanjani, lkn wahudhuriaji wanahesabika?
Kwa hiyo futa kauli yako ili usionekane mpumbavu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mikutano inafanyika?Sasa mbona mikutano siku hizi inafanyika uwanjani, lkn wahudhuriaji wanahesabika?
nilidhani jambo la maana kumbe story ya umbea umbea tu.Habari zenu wana JF wenzangu.
Leo sina mengi zaidi ya kutafuta jibu la swali langu hapo juu. Maana ukiliangalia suala hili kupitia baadhi ya waathirika wenyewe unaweza kuliona dogo, lakini kiuhalisia ni kubwa na lina madhara mabaya ya kimwili na kiakili.
Fikiria watu walikuwa wanapiga kelele na mikwara kibao kuwa wanashindwa kuonesha uhai na uimara wa vyama vyao kutokana na katazo la mikutano lililowekwa na aliekuwa Rais wetu wa awamu ya tano hayati dr John Magufuli.
Wengine wakasema kwamba vyama vyao vitaongeza uimara wake pindi Rais aliepo madarakani (Samia) atatoa katazo la mikutano na kuruhusu viongozi wao waliopo nje ya nchi kurejea kufanya siasa zao kwa njia ya amani na uhuru.
Watu hao walishindwa kujua kwamba uimara wa vyama vyao ulikuwa umejificha katika hicho hicho kimvuli cha ukatazaji mikutano. Hawakujua kwamba watanzania wa 2021 sio wale wa 2001. Watanzania wa 2001 walikuwa wanashinda juani na mvuani kupigania vyama uchwara ili vishinde uchaguzi na kuwaneemesha viongozi wao, watanzania wa 2021 wanashinda makazini na katika maeneo mbali mbali ya utafutaji rizki kwa ajili ya kutafuta ugali wao na wa familia zao. Watu hawana tena muda wa kwenda kusimama juani kusubiri mwanasiasa aje amdanganye kuwa Lowasa ni fisadi, afu kesho tena katika uchaguzi mkuu adanganywe tena kuwa Lowasa ni mtakatifu nk.
Kuruhusu mikutano kufanyika kumesababisha makamu mwenyekiti wa chama fulani kuja nchini kwa mbwembwe nyingi na mwisho wa yote akajikuta anaondoka nchini na aibu bila kuaga. Laiti kama Rais asingetoa katazo basi haya yasingetokea maana asingekuja, lakini pia ingekuwa ngumu watu kujua mbivu na mbichi za vyama hivyo.
Kuruhusu mikutano kumewavua nguo wengi akiwepo yule profesa uchwara wa uchumi pale Buguruni, na jirani yake wa Kigoma "Mr chauongo" anaepika data za uongo kuhusu uongozi wa hayati Magufuli.
Lakini pia kumewaumiza wengi ki akili na ki mwili maana kuna watu sasa wanashindwa hata kula, wengine wanaugua kabisa haswa wale ambao hawakuwa wanajua au kutarajia kujua kama vyao vyao vimeshakufa na kwamba vilikuwa vinaonekana kama vipo hai kutokana na kichaka cha ukatazaji mikutano, kingine kilichowaumiza watu zaidi ni kitendo cha makamu kuja huku wakiwa na matumaini kwamba amekujaa kukaa kusaidia na boss wake kujenga chama. Sasa jamaa ameingia gizani kimya kimya na kuwaacha chawa wake na wanachama kwa ujumla wakiwa kwenye question mark wasijue la kufanya.
Sasa najiuliza ni nani aliemshauri Rais kutoa marufuku ambayo ilikuwa inawasaidia wapinzani kujifichia kufanya propaganda zao. Haoni kama kasababisha taflani, aibu na fedheha ndani ya vyama hivyo?
Noma 🤣🤣Aisee 🤣🤣🤣
Uchi vp? Weka vzr hoja yako, evidence na facts ni muhimu ili tuangalie kama kuna ukwel juu ya madai yako!!Sasa hauoni kuwa mikutano hiyo imeviacha uchi baadhi ya vyama?
Bora katazo liliwasaidia kujifichia humo.
Chama kikuu cha upinzani Tanzania kikifanya mkutano wake 👇Uchi vp? Weka vzr hoja yako, evidence na facts ni muhimu ili tuangalie kama kuna ukwel juu ya madai yako!!
Ya kweli haya?!Lakini kingine kilichomkimbiza Tundu ni pale alipogundua kuwa boss wake anaingiziwa chake kimya kimya kila mwezi na wale covid 19 kupitia account ya uchochoroni bila kuwashirikisha wala kuwafinyia na wenzake.
Na kiongozi mzalendo ni yule ambaye yupo radhi kuvunja katiba na sheria kwa ajili ya Haki naye ni MTUKUFU JPMHii ni mentality ileile ya wale wazee wa uzalendo fake!! Kiongoz bora ni yule anaeilinda katiba kwa nguvu zake zote!! Mlikua brainwashed sana kipind kile, Naamin kama Rais na mamlaka zake zote hakuna yeyote nchini wa kumzuia kuwaletea maendeleo Wananchi hakuna!! Cha kushangaza sana upinzani ulikua unazuia maendeleo ya nchi that's why wafungie kufanya mikutano halaf washughulikie bungeni wakitoka nje ntadili nao, thrash mentality!!!
Siyo jpm tu wanaye mponda ..hadi nyerere anapondwa na team msoga chini ya mjambiani mpumbavu pamoja na chegovara wa ngadaKwa hoja za kumnanga JPM wamejiua wenyewe tena bora wameruhusiwa ili wapuuzwe mapema, nachojua mtanzania anahuruma sana na marehemu kuliko mtu mzima na hata kumponda JPM inaonekana anaonewa sana , hivo hawatopata uungwaji mkono kama zamani zaidi watapata picha za kutuma kwa wafadhili wao wapewe pesa.
Jaman Rais Samia yuwapi??Siyo jpm tu wanaye mponda ..hadi nyerere anapondwa na team msoga chini ya mjambiani mpumbavu pamoja na chegovara wa ngada
Rejea mikutano ya Chadema Mwanza,Temeke, Morogoro na Ikungi hii inakuonyesha CDM iko hai na inapumua baada ya kutaka ku uwawa na UchwaraHabari zenu wana JF wenzangu.
Leo sina mengi zaidi ya kutafuta jibu la swali langu hapo juu. Maana ukiliangalia suala hili kupitia baadhi ya waathirika wenyewe unaweza kuliona dogo, lakini kiuhalisia ni kubwa na lina madhara mabaya ya kimwili na kiakili.
Fikiria watu walikuwa wanapiga kelele na mikwara kibao kuwa wanashindwa kuonesha uhai na uimara wa vyama vyao kutokana na katazo la mikutano lililowekwa na aliekuwa Rais wetu wa awamu ya tano hayati dr John Magufuli.
Wengine wakasema kwamba vyama vyao vitaongeza uimara wake pindi Rais aliepo madarakani (Samia) atatoa katazo la mikutano na kuruhusu viongozi wao waliopo nje ya nchi kurejea kufanya siasa zao kwa njia ya amani na uhuru.
Watu hao walishindwa kujua kwamba uimara wa vyama vyao ulikuwa umejificha katika hicho hicho kimvuli cha ukatazaji mikutano. Hawakujua kwamba watanzania wa 2021 sio wale wa 2001. Watanzania wa 2001 walikuwa wanashinda juani na mvuani kupigania vyama uchwara ili vishinde uchaguzi na kuwaneemesha viongozi wao, watanzania wa 2021 wanashinda makazini na katika maeneo mbali mbali ya utafutaji rizki kwa ajili ya kutafuta ugali wao na wa familia zao. Watu hawana tena muda wa kwenda kusimama juani kusubiri mwanasiasa aje amdanganye kuwa Lowasa ni fisadi, afu kesho tena katika uchaguzi mkuu adanganywe tena kuwa Lowasa ni mtakatifu nk.
Kuruhusu mikutano kufanyika kumesababisha makamu mwenyekiti wa chama fulani kuja nchini kwa mbwembwe nyingi na mwisho wa yote akajikuta anaondoka nchini na aibu bila kuaga. Laiti kama Rais asingetoa katazo basi haya yasingetokea maana asingekuja, lakini pia ingekuwa ngumu watu kujua mbivu na mbichi za vyama hivyo.
Kuruhusu mikutano kumewavua nguo wengi akiwepo yule profesa uchwara wa uchumi pale Buguruni, na jirani yake wa Kigoma "Mr chauongo" anaepika data za uongo kuhusu uongozi wa hayati Magufuli.
Lakini pia kumewaumiza wengi ki akili na ki mwili maana kuna watu sasa wanashindwa hata kula, wengine wanaugua kabisa haswa wale ambao hawakuwa wanajua au kutarajia kujua kama vyao vyao vimeshakufa na kwamba vilikuwa vinaonekana kama vipo hai kutokana na kichaka cha ukatazaji mikutano, kingine kilichowaumiza watu zaidi ni kitendo cha makamu kuja huku wakiwa na matumaini kwamba amekujaa kukaa kusaidia na boss wake kujenga chama. Sasa jamaa ameingia gizani kimya kimya na kuwaacha chawa wake na wanachama kwa ujumla wakiwa kwenye question mark wasijue la kufanya.
Sasa najiuliza ni nani aliemshauri Rais kutoa marufuku ambayo ilikuwa inawasaidia wapinzani kujifichia kufanya propaganda zao. Haoni kama kasababisha taflani, aibu na fedheha ndani ya vyama hivyo?
Acha kujidanganya unadhani huo msafara ni wa mazishi.Habari zenu wana JF wenzangu.

Habari zenu wana JF wenzangu.

Moja ya comment bora kuwahi kuishuhudia. Sisi mtu akifa huwa tunafunga mjadala wake na kumuombea hatupaswi kuhukumu hiyo ni kazi ya Mungu.Kwa hoja za kumnanga JPM wamejiua wenyewe tena bora wameruhusiwa ili wapuuzwe mapema, nachojua mtanzania anahuruma sana na marehemu kuliko mtu mzima na hata kumponda JPM inaonekana anaonewa sana , hivo hawatopata uungwaji mkono kama zamani zaidi watapata picha za kutuma kwa wafadhili wao wapewe pesa.
Shindwa Pepopunda!! Mtukufu ni MUNGU pekee!Na kiongozi mzalendo ni yule ambaye yupo radhi kuvunja katiba na sheria kwa ajili ya Haki naye ni MTUKUFU JPM
Wakulaumiwa ni sa100 aliye wataka mnye akili na kubakisha mafii vichwani JPM NI MTUKUFU TU MTAKE MSITAKEShindwa Pepopunda!! Mtukufu ni MUNGU pekee!
Umepiga kwenye mshono akikujibu nitagMkuu inakuaje unakunywa viloba leo jumatano siku ya kazi? Tumezoea kuona wenzako wakinywa viloba siku za weekend ambazo hawaendi kazini ili kuepuka aibu ya kuongea utumbo kama huu.
Unaposema kwamba mimi natafuta teuzi basi unakosea sana, aidha kwa kutonijua kupitia post zangu au kwa kutokuwa mfuatiliaji wa mambo ya maana yanayohusu taifa letu.
Unaposema kwamba CCM au serikalini wanateuliwa wapinzani kuongoza kwa kweli mimi sina kinyongo as long as wateuliwa wawe watanzania kama mimi na wewe.
Lakini pia sio CCM tu peke yao ndio inayoteuwa wapinzani kuongoza nafasi mbali mbali, hata wapinzani pia wanaongozwa na wanachama wa chama cha mapinduzi (CCM) tena nafasi ya juu kabisa ya uenyekiti.
Mmoja wa wanachama wa CCM wanaongoza chama cha upinzani ni huyu hapo videoni. Uzuri kaongea kwa kauli yake yeye mwenyewe na wewe hapo unamuona na kumsikia.