Nani aliyemshauri Rais Samia jambo hili ambalo limeleta mateso na aibu kubwa mitaani na mitandaoni?

Habari zenu wana JF wenzangu.

Leo sina mengi zaidi ya kutafuta jibu la swali langu hapo juu. Maana ukiliangalia suala hili kupitia baadhi ya waathirika wenyewe unaweza kuliona dogo, lakini kiuhalisia ni kubwa na lina madhara mabaya ya kimwili na kiakili.

Fikiria watu walikuwa wanapiga kelele na mikwara kibao kuwa wanashindwa kuonesha uhai na uimara wa vyama vyao kutokana na katazo la mikutano lililowekwa na aliekuwa Rais wetu wa awamu ya tano hayati dr John Magufuli.

Wengine wakasema kwamba vyama vyao vitaongeza uimara wake pindi Rais aliepo madarakani (Samia) atatoa katazo la mikutano na kuruhusu viongozi wao waliopo nje ya nchi kurejea kufanya siasa zao kwa njia ya amani na uhuru.

Watu hao walishindwa kujua kwamba uimara wa vyama vyao ulikuwa umejificha katika hicho hicho kimvuli cha ukatazaji mikutano. Hawakujua kwamba watanzania wa 2021 sio wale wa 2001. Watanzania wa 2001 walikuwa wanashinda juani na mvuani kupigania vyama uchwara ili vishinde uchaguzi na kuwaneemesha viongozi wao, watanzania wa 2021 wanashinda makazini na katika maeneo mbali mbali ya utafutaji rizki kwa ajili ya kutafuta ugali wao na wa familia zao. Watu hawana tena muda wa kwenda kusimama juani kusubiri mwanasiasa aje amdanganye kuwa Lowasa ni fisadi, afu kesho tena katika uchaguzi mkuu adanganywe tena kuwa Lowasa ni mtakatifu nk.

Kuruhusu mikutano kufanyika kumesababisha makamu mwenyekiti wa chama fulani kuja nchini kwa mbwembwe nyingi na mwisho wa yote akajikuta anaondoka nchini na aibu bila kuaga. Laiti kama Rais asingetoa katazo basi haya yasingetokea maana asingekuja, lakini pia ingekuwa ngumu watu kujua mbivu na mbichi za vyama hivyo.

Kuruhusu mikutano kumewavua nguo wengi akiwepo yule profesa uchwara wa uchumi pale Buguruni, na jirani yake wa Kigoma "Mr chauongo" anaepika data za uongo kuhusu uongozi wa hayati Magufuli.

Lakini pia kumewaumiza wengi ki akili na ki mwili maana kuna watu sasa wanashindwa hata kula, wengine wanaugua kabisa haswa wale ambao hawakuwa wanajua au kutarajia kujua kama vyao vyao vimeshakufa na kwamba vilikuwa vinaonekana kama vipo hai kutokana na kichaka cha ukatazaji mikutano, kingine kilichowaumiza watu zaidi ni kitendo cha makamu kuja huku wakiwa na matumaini kwamba amekujaa kukaa kusaidia na boss wake kujenga chama. Sasa jamaa ameingia gizani kimya kimya na kuwaacha chawa wake na wanachama kwa ujumla wakiwa kwenye question mark wasijue la kufanya.

Sasa najiuliza ni nani aliemshauri Rais kutoa marufuku ambayo ilikuwa inawasaidia wapinzani kujifichia kufanya propaganda zao. Haoni kama kasababisha taflani, aibu na fedheha ndani ya vyama hivyo?
Mr.... Umeandika huu Uzi kitaalamu Sana na umetoa fact zote

Nilifikiria the same alikuja lisu nikajuwa ccm wajiandae kupambna na akili kubwa kumbe imekuwatofauti hkn mtu wenye Muda nao kila mtu anapambna na mambo yake

Mwingine lema Yuko anakuja akidhani ataungwa mkono Kama zamani watu wakiwa wajinga na wadogo Sasa anakuja kila mtu Ana akili zake na mbaya Zaid siaasa wanazifanya kwa faida zao wenywe. Kwa kujitafutia kipato kikubwa Huku wengine wakiambiwa pambna kamanda

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wenye akili kama wewe ndio mnaoweza kuiona point yangu, lakini wale wazee wa mwamba tuvushe hawaweza elewa hii maana upeo ni mdogo kama maji ya kisoda.
Uko sahih Sana Tena umeongea fact [emoji817] zote bila kubeba mtu au chama Cha ccm Zaid Sana uko vzr mkuu

Mm watu kam wee ndio huwa nawapa attention

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu wana JF wenzangu.

Leo sina mengi zaidi ya kutafuta jibu la swali langu hapo juu. Maana ukiliangalia suala hili kupitia baadhi ya waathirika wenyewe unaweza kuliona dogo, lakini kiuhalisia ni kubwa na lina madhara mabaya ya kimwili na kiakili.

Fikiria watu walikuwa wanapiga kelele na mikwara kibao kuwa wanashindwa kuonesha uhai na uimara wa vyama vyao kutokana na katazo la mikutano lililowekwa na aliekuwa Rais wetu wa awamu ya tano hayati dr John Magufuli.

Wengine wakasema kwamba vyama vyao vitaongeza uimara wake pindi Rais aliepo madarakani (Samia) atatoa katazo la mikutano na kuruhusu viongozi wao waliopo nje ya nchi kurejea kufanya siasa zao kwa njia ya amani na uhuru.

Watu hao walishindwa kujua kwamba uimara wa vyama vyao ulikuwa umejificha katika hicho hicho kimvuli cha ukatazaji mikutano. Hawakujua kwamba watanzania wa 2021 sio wale wa 2001. Watanzania wa 2001 walikuwa wanashinda juani na mvuani kupigania vyama uchwara ili vishinde uchaguzi na kuwaneemesha viongozi wao, watanzania wa 2021 wanashinda makazini na katika maeneo mbali mbali ya utafutaji rizki kwa ajili ya kutafuta ugali wao na wa familia zao. Watu hawana tena muda wa kwenda kusimama juani kusubiri mwanasiasa aje amdanganye kuwa Lowasa ni fisadi, afu kesho tena katika uchaguzi mkuu adanganywe tena kuwa Lowasa ni mtakatifu nk.

Kuruhusu mikutano kufanyika kumesababisha makamu mwenyekiti wa chama fulani kuja nchini kwa mbwembwe nyingi na mwisho wa yote akajikuta anaondoka nchini na aibu bila kuaga. Laiti kama Rais asingetoa katazo basi haya yasingetokea maana asingekuja, lakini pia ingekuwa ngumu watu kujua mbivu na mbichi za vyama hivyo.

Kuruhusu mikutano kumewavua nguo wengi akiwepo yule profesa uchwara wa uchumi pale Buguruni, na jirani yake wa Kigoma "Mr chauongo" anaepika data za uongo kuhusu uongozi wa hayati Magufuli.

Lakini pia kumewaumiza wengi ki akili na ki mwili maana kuna watu sasa wanashindwa hata kula, wengine wanaugua kabisa haswa wale ambao hawakuwa wanajua au kutarajia kujua kama vyao vyao vimeshakufa na kwamba vilikuwa vinaonekana kama vipo hai kutokana na kichaka cha ukatazaji mikutano, kingine kilichowaumiza watu zaidi ni kitendo cha makamu kuja huku wakiwa na matumaini kwamba amekujaa kukaa kusaidia na boss wake kujenga chama. Sasa jamaa ameingia gizani kimya kimya na kuwaacha chawa wake na wanachama kwa ujumla wakiwa kwenye question mark wasijue la kufanya.

Sasa najiuliza ni nani aliemshauri Rais kutoa marufuku ambayo ilikuwa inawasaidia wapinzani kujifichia kufanya propaganda zao. Haoni kama kasababisha taflani, aibu na fedheha ndani ya vyama hivyo?
Long writings kumbe utumbo mtupu
 
Maelezo mengi kumbe takataka.
Sasa unataka tujadiri nini kati ya kuvunja sheria na kutokuvunja sheria ya kuzuia mikutano!
We uko kwenye political mileage lakin sisi raia wa kawaida tuko kwenye uheshimu wa katiba na sheria tunazojiwekea.
Sasa Happ mmeabika hkn mtu wenye time na nyie hyo katiba mnayolinda mbona magu alikanyaga na mkafyat wote wengine mkaunga juhudi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hoja za kumnanga JPM wamejiua wenyewe tena bora wameruhusiwa ili wapuuzwe mapema, nachojua mtanzania anahuruma sana na marehemu kuliko mtu mzima na hata kumponda JPM inaonekana anaonewa sana , hivo hawatopata uungwaji mkono kama zamani zaidi watapata picha za kutuma kwa wafadhili wao wapewe pesa.
Arovera....umemaliza kila kitu bongo moja la comment hi uliyo wapa

Nimekwisha waambia namm kitendo Cha kushangilia kifo Cha jpm kitakuja kuwa cost Sana mbeleni ila hawakunielewa ,wamekosa hoja Ni kumlaumu jpm mwanzo mwisho

Ni Kweli Sr Dr jpm alikuwa na upuuzi ila Ni rais ailiyependwa Sana na watanzania walio wengi pmj na mambo yake ila jpm amejijencea heshima kubwa na atakumbukwa mno

Sasa wao badala watembee na biti ya jpm wao wanasema marehemu aibu niliona

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu wana JF wenzangu.

Leo sina mengi zaidi ya kutafuta jibu la swali langu hapo juu. Maana ukiliangalia suala hili kupitia baadhi ya waathirika wenyewe unaweza kuliona dogo, lakini kiuhalisia ni kubwa na lina madhara mabaya ya kimwili na kiakili.

Fikiria watu walikuwa wanapiga kelele na mikwara kibao kuwa wanashindwa kuonesha uhai na uimara wa vyama vyao kutokana na katazo la mikutano lililowekwa na aliekuwa Rais wetu wa awamu ya tano hayati dr John Magufuli.

Wengine wakasema kwamba vyama vyao vitaongeza uimara wake pindi Rais aliepo madarakani (Samia) atatoa katazo la mikutano na kuruhusu viongozi wao waliopo nje ya nchi kurejea kufanya siasa zao kwa njia ya amani na uhuru.

Watu hao walishindwa kujua kwamba uimara wa vyama vyao ulikuwa umejificha katika hicho hicho kimvuli cha ukatazaji mikutano. Hawakujua kwamba watanzania wa 2021 sio wale wa 2001. Watanzania wa 2001 walikuwa wanashinda juani na mvuani kupigania vyama uchwara ili vishinde uchaguzi na kuwaneemesha viongozi wao, watanzania wa 2021 wanashinda makazini na katika maeneo mbali mbali ya utafutaji rizki kwa ajili ya kutafuta ugali wao na wa familia zao. Watu hawana tena muda wa kwenda kusimama juani kusubiri mwanasiasa aje amdanganye kuwa Lowasa ni fisadi, afu kesho tena katika uchaguzi mkuu adanganywe tena kuwa Lowasa ni mtakatifu nk.

Kuruhusu mikutano kufanyika kumesababisha makamu mwenyekiti wa chama fulani kuja nchini kwa mbwembwe nyingi na mwisho wa yote akajikuta anaondoka nchini na aibu bila kuaga. Laiti kama Rais asingetoa katazo basi haya yasingetokea maana asingekuja, lakini pia ingekuwa ngumu watu kujua mbivu na mbichi za vyama hivyo.

Kuruhusu mikutano kumewavua nguo wengi akiwepo yule profesa uchwara wa uchumi pale Buguruni, na jirani yake wa Kigoma "Mr chauongo" anaepika data za uongo kuhusu uongozi wa hayati Magufuli.

Lakini pia kumewaumiza wengi ki akili na ki mwili maana kuna watu sasa wanashindwa hata kula, wengine wanaugua kabisa haswa wale ambao hawakuwa wanajua au kutarajia kujua kama vyao vyao vimeshakufa na kwamba vilikuwa vinaonekana kama vipo hai kutokana na kichaka cha ukatazaji mikutano, kingine kilichowaumiza watu zaidi ni kitendo cha makamu kuja huku wakiwa na matumaini kwamba amekujaa kukaa kusaidia na boss wake kujenga chama. Sasa jamaa ameingia gizani kimya kimya na kuwaacha chawa wake na wanachama kwa ujumla wakiwa kwenye question mark wasijue la kufanya.

Sasa najiuliza ni nani aliemshauri Rais kutoa marufuku ambayo ilikuwa inawasaidia wapinzani kujifichia kufanya propaganda zao. Haoni kama kasababisha taflani, aibu na fedheha ndani ya vyama hivyo?
Watanzania watu wapuuzi sana! Sasa wewe unafikiri ilikuwa sawa kwa demokrasia yako ya uhuru wa vyama vingi kufungiwa?! Au unafikiri demokrasia ni kwa ajili ya Mbowe na Lissu?
 
Watanzania watu wa ajabu sana! Sasa wewe unafikiri ilikuwa sawa kwa demokrasia yako ya uhuru wa vyama vingi kufungiwa?! Au unafikiri demokrasia ni kwa ajili ya Mbowe na Lissu?
 
Watanzania watu wa ajabu sana! Sasa wewe unafikiri ilikuwa sawa kwa demokrasia na uhuru wa vyama vingi kufungiwa?! Au unafikiri demokrasia ni kwa ajili ya Mbowe na Lissu?
 
Mikutano ya kisiasa sio jambo la mtu binafsi, serikali, marekani, au kiumbe yoyote kuamulia mwingine afanye au asifanye.

Mikutano ni haki ya kikatiba na ni kinyume na katiba kuizuia. Kupitia mikutano ya kisiasa na makongamano ndipo jamii hujadili maswala mbali mbali na kutafuta suluhu.
Mikutano kuhusu nn?, hebu njoo hapa marekani kama utakuta kuna huo ujinga hapa,kutwa kucha mnaandanana kufoko na kutukana?!, kama inatokea kuna jambo la mhimu vyama vya upinzani vinataka kulisemea,viongozi wa kitaifa wa upinzani wanaitisha mkutano na vyombo vya habari wanalielezea kwa mtizamo wao kama wapinzani
 
Habari zenu wana JF wenzangu.

Leo sina mengi zaidi ya kutafuta jibu la swali langu hapo juu. Maana ukiliangalia suala hili kupitia baadhi ya waathirika wenyewe unaweza kuliona dogo, lakini kiuhalisia ni kubwa na lina madhara mabaya ya kimwili na kiakili.

Fikiria watu walikuwa wanapiga kelele na mikwara kibao kuwa wanashindwa kuonesha uhai na uimara wa vyama vyao kutokana na katazo la mikutano lililowekwa na aliekuwa Rais wetu wa awamu ya tano hayati dr John Magufuli.

Wengine wakasema kwamba vyama vyao vitaongeza uimara wake pindi Rais aliepo madarakani (Samia) atatoa katazo la mikutano na kuruhusu viongozi wao waliopo nje ya nchi kurejea kufanya siasa zao kwa njia ya amani na uhuru.

Watu hao walishindwa kujua kwamba uimara wa vyama vyao ulikuwa umejificha katika hicho hicho kimvuli cha ukatazaji mikutano. Hawakujua kwamba watanzania wa 2021 sio wale wa 2001. Watanzania wa 2001 walikuwa wanashinda juani na mvuani kupigania vyama uchwara ili vishinde uchaguzi na kuwaneemesha viongozi wao, watanzania wa 2021 wanashinda makazini na katika maeneo mbali mbali ya utafutaji rizki kwa ajili ya kutafuta ugali wao na wa familia zao. Watu hawana tena muda wa kwenda kusimama juani kusubiri mwanasiasa aje amdanganye kuwa Lowasa ni fisadi, afu kesho tena katika uchaguzi mkuu adanganywe tena kuwa Lowasa ni mtakatifu nk.

Kuruhusu mikutano kufanyika kumesababisha makamu mwenyekiti wa chama fulani kuja nchini kwa mbwembwe nyingi na mwisho wa yote akajikuta anaondoka nchini na aibu bila kuaga. Laiti kama Rais asingetoa katazo basi haya yasingetokea maana asingekuja, lakini pia ingekuwa ngumu watu kujua mbivu na mbichi za vyama hivyo.

Kuruhusu mikutano kumewavua nguo wengi akiwepo yule profesa uchwara wa uchumi pale Buguruni, na jirani yake wa Kigoma "Mr chauongo" anaepika data za uongo kuhusu uongozi wa hayati Magufuli.

Lakini pia kumewaumiza wengi ki akili na ki mwili maana kuna watu sasa wanashindwa hata kula, wengine wanaugua kabisa haswa wale ambao hawakuwa wanajua au kutarajia kujua kama vyao vyao vimeshakufa na kwamba vilikuwa vinaonekana kama vipo hai kutokana na kichaka cha ukatazaji mikutano, kingine kilichowaumiza watu zaidi ni kitendo cha makamu kuja huku wakiwa na matumaini kwamba amekujaa kukaa kusaidia na boss wake kujenga chama. Sasa jamaa ameingia gizani kimya kimya na kuwaacha chawa wake na wanachama kwa ujumla wakiwa kwenye question mark wasijue la kufanya.

Sasa najiuliza ni nani aliemshauri Rais kutoa marufuku ambayo ilikuwa inawasaidia wapinzani kujifichia kufanya propaganda zao. Haoni kama kasababisha taflani, aibu na fedheha ndani ya vyama hivyo?
Nafahamu haujapenda,huta penda na kamwe hautakaa ukapenda kuondolewa Katazo,unatamani usiowapenda waishi kama mashetani (matamanio ya Mtu mmoja)
 
Lakini pia kumewaumiza wengi ki akili na ki mwili maana kuna watu sasa wanashindwa hata kula, wengine wanaugua kabisa haswa wale ambao hawakuwa wanajua au kutarajia kujua kama vyao vyao vimeshakufa na kwamba vilikuwa vinaonekana kama vipo hai kutokana na kichaka cha ukatazaji mikutano,
Kwani uchaguzi tayari? Kuna watu wana hasira na bei za vyakula kupanda, wapo kimya kimya wanasubiri tu muda. Hapo ndipo utapima vizuri kama ondoleo la katazo la mikutano limefanya kazi gani
 
Rejea mikutano ya Chadema Mwanza,Temeke, Morogoro na Ikungi hii inakuonyesha CDM iko hai na inapumua baada ya kutaka ku uwawa na Uchwara
Kwa mtu mwenye akili fupi (myopic) atadhani kila mtu anaridhika na Mafisiemu
Inamaana wewe unaijua na kuifuatilia vizuri mikutano ya Chadema kuliko Lisu ambae kaona bora akimbie kuliko kusubiri kuambulia aibu siku zijazo? Wewe hauoni utofauti wa hii mikutano ya juzi na ile iliyokuwepo miaka ile ya kina Dr Slaa? Wewe ukiona watu wawili watatu tena wale waliopewa hela kuhudhuria unajua kwamb bado chama kina nguvu. Kama ni watu mbona hata Lipumba alipata watu kadhaa pale Magomeni ila haimaanishi kuwa chama chake kina nguvu.
 
Ikabidi ni mpe mtoto wa chekechea kusoma ulichokiandika kama anaweza kujifunza kukutukana
 
Maneno mengi kumbe lengo umseme Lissu. Lissu kaenda kwa daktari, ulitaka afanyeje?. Halafu mikutano ya siasa ipo kikatiba, Kama hamuitaki turudi kwenye mfumo wa chama kimoja.
1) Inamaana Lisu huonana na daktari kila baada ya week mbili?

2) Sasa kama ni hivyo kulikuwa na haja gani ya kuwaaminisha watanzania kuwa anarudi nyumbani?

3) Kwanini asingesubiri amalize kuonana na huyo dr wake afu ndo arudi nyumbani sasa kufanya siasa?

4) Mbona mwaka 2020 alikaa takriban miezi miwili?

Ama kwa hakika wajinga ndio wadanganywao.
 
Back
Top Bottom