Nani aliyemshauri Rais Samia jambo hili ambalo limeleta mateso na aibu kubwa mitaani na mitandaoni?

nilidhani jambo la maana kumbe story ya umbea umbea tu.
 
Mikutano ya kisiasa ni suala la Katiba, ulipaswa ujiulize kwanza kwa nini katiba ilikiukwa kwa kuzuiliwa na ni nani alishauri hivyo
 
Uchi vp? Weka vzr hoja yako, evidence na facts ni muhimu ili tuangalie kama kuna ukwel juu ya madai yako!!
Chama kikuu cha upinzani Tanzania kikifanya mkutano wake 👇
 

Attachments

  • images (28).jpeg
    41.7 KB · Views: 1
Lakini kingine kilichomkimbiza Tundu ni pale alipogundua kuwa boss wake anaingiziwa chake kimya kimya kila mwezi na wale covid 19 kupitia account ya uchochoroni bila kuwashirikisha wala kuwafinyia na wenzake.
Ya kweli haya?!
 
Na kiongozi mzalendo ni yule ambaye yupo radhi kuvunja katiba na sheria kwa ajili ya Haki naye ni MTUKUFU JPM
 
Siyo jpm tu wanaye mponda ..hadi nyerere anapondwa na team msoga chini ya mjambiani mpumbavu pamoja na chegovara wa ngada
 
Rejea mikutano ya Chadema Mwanza,Temeke, Morogoro na Ikungi hii inakuonyesha CDM iko hai na inapumua baada ya kutaka ku uwawa na Uchwara
Kwa mtu mwenye akili fupi (myopic) atadhani kila mtu anaridhika na Mafisiemu
 
Acha kujidanganya unadhani huo msafara ni wa mazishi.
 

Attachments

  • downloadfile(0).jpg
    23.3 KB · Views: 1
Ni nchi za kiafrika ndio tumebakia tu na mambo kama haya ila huko ulaya na marekani kama sio kipindi cha uchaguzi hutasikia mambo kama haya lakini wao ndio waasisi wa demokrasia.

Wazungu watu wa hovyo sana maana wanatuletea mambo ya kutupotezea muda huku wao wakifikiri maendeleo na namna bora ya kuendelea kututawala.
 

Maneno mengi kumbe lengo umseme Lissu. Lissu kaenda kwa daktari, ulitaka afanyeje?. Halafu mikutano ya siasa ipo kikatiba, Kama hamuitaki turudi kwenye mfumo wa chama kimoja.
 
Moja ya comment bora kuwahi kuishuhudia. Sisi mtu akifa huwa tunafunga mjadala wake na kumuombea hatupaswi kuhukumu hiyo ni kazi ya Mungu.
 
Umepiga kwenye mshono akikujibu nitag
 
Maelezo mengi kumbe takataka.
Sasa unataka tujadiri nini kati ya kuvunja sheria na kutokuvunja sheria ya kuzuia mikutano!
We uko kwenye political mileage lakin sisi raia wa kawaida tuko kwenye uheshimu wa katiba na sheria tunazojiwekea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…