Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
-
- #81
Karibu mkuu, kwa kweli hata na mimi nimefurahishwa na michango yako.Uko sahih Sana Tena umeongea fact [emoji817] zote bila kubeba mtu au chama Cha ccm Zaid Sana uko vzr mkuu
Mm watu kam wee ndio huwa nawapa attention
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sasa wewe unafikiri demokrasia ni kila chama kukusanya watu juani kila siku na kuwaambia habari za kupigwa risasi 36, au ndege 10 mbovu?Watanzania watu wapuuzi sana! Sasa wewe unafikiri ilikuwa sawa kwa demokrasia yako ya uhuru wa vyama vingi kufungiwa?! Au unafikiri demokrasia ni kwa ajili ya Mbowe na Lissu?
Kwa kitendo Cha kumuonesha hiyo video ya Mbowe umemnyamazisha kweli kweli hawa jamaa Wana ushabiki wa kijinga Sana wa vyama ndio maana unakuta hawafikiri kwa akili zao wenyeweMkuu Hziyech22 huyu jamaa akiwa timamu huwa hawezi kujibu hoja nzito na za maana kama hizi.
Labda mpaka angalau anywe viloba viwili vitatu ili vimpe ujasiri wa kuja kutapika hovyo mitandaoni 🤣🤣🤣.
Umesoma vizuri hoja yangu au umekurupuka tu kuandika?Nafahamu haujapenda,huta penda na kamwe hatutakaa ukapenda kuondolewa Katazo,unatamani usiowapenda waishi kama mashetani (matamanio ya Mtu mmoja)
Mitazamo ya wanakijani pekee🤔Watanzania watu wa ajabu sana! Sasa wewe unafikiri ilikuwa sawa kwa demokrasia yako ya uhuru wa vyama vingi kufungiwa?! Au unafikiri demokrasia ni kwa ajili ya Mbowe na Lissu?
Vijani mnafahamika🤔Umesoma vizuri hoja yangu au umekurupuka tu kuandika?
Ni nchi gani ambayo sasa hivi vyakula havijapanda? Mimi niko South Africa hapa bei ya vyakula imepanda mara dufu.Kwani uchaguzi tayari? Kuna watu wana hasira na bei za vyakula kupanda, wapo kimya kimya wanasubiri tu muda. Hapo ndipo utapima vizuri kama ondoleo la katazo la mikutano limefanya kazi gani
Na ndio maana imekuwa rahisi kushikiwa akili na viongozi wao. Leo hii hakuna kijana wa upinzani ambae anaweza kuandika au kuongea jambo ambalo halitomfurahisha boss wake.Kwa kitendo Cha kumuonesha hiyo video ya Mbowe umemnyamazisha kweli kweli hawa jamaa Wana ushabiki wa kijinga Sana wa vyama ndio maana unakuta hawafikiri kwa akili zao wenyewe
Huo utetezi ndio utakaojibiwa majukwaani baada ya walioruhusiwa kufanya mikutano kuzungumzia upandaji wa bei za vyakula. Kabla ya ondoleo la zuio la mikutano, kusingekuwa na haja ya utetezi maana washambuliaji walishanyamazishwa kwa kuzuiwa kuongea.Ni nchi gani ambayo sasa hivi vyakula havijapanda? Mimi niko South Africa hapa bei ya vyakula imepanda mara dufu.
Sukuma Gang mna wakati mgumu sana walahi !!!Habari zenu wana JF wenzangu.
Leo sina mengi zaidi ya kutafuta jibu la swali langu hapo juu. Maana ukiliangalia suala hili kupitia baadhi ya waathirika wenyewe unaweza kuliona dogo, lakini kiuhalisia ni kubwa na lina madhara mabaya ya kimwili na kiakili.
Fikiria watu walikuwa wanapiga kelele na mikwara kibao kuwa wanashindwa kuonesha uhai na uimara wa vyama vyao kutokana na katazo la mikutano lililowekwa na aliekuwa Rais wetu wa awamu ya tano hayati dr John Magufuli.
Wengine wakasema kwamba vyama vyao vitaongeza uimara wake pindi Rais aliepo madarakani (Samia) atatoa katazo la mikutano na kuruhusu viongozi wao waliopo nje ya nchi kurejea kufanya siasa zao kwa njia ya amani na uhuru.
Watu hao walishindwa kujua kwamba uimara wa vyama vyao ulikuwa umejificha katika hicho hicho kimvuli cha ukatazaji mikutano. Hawakujua kwamba watanzania wa 2021 sio wale wa 2001. Watanzania wa 2001 walikuwa wanashinda juani na mvuani kupigania vyama uchwara ili vishinde uchaguzi na kuwaneemesha viongozi wao, watanzania wa 2021 wanashinda makazini na katika maeneo mbali mbali ya utafutaji rizki kwa ajili ya kutafuta ugali wao na wa familia zao. Watu hawana tena muda wa kwenda kusimama juani kusubiri mwanasiasa aje amdanganye kuwa Lowasa ni fisadi, afu kesho tena katika uchaguzi mkuu adanganywe tena kuwa Lowasa ni mtakatifu nk.
Kuruhusu mikutano kufanyika kumesababisha makamu mwenyekiti wa chama fulani kuja nchini kwa mbwembwe nyingi na mwisho wa yote akajikuta anaondoka nchini na aibu bila kuaga. Laiti kama Rais asingetoa katazo basi haya yasingetokea maana asingekuja, lakini pia ingekuwa ngumu watu kujua mbivu na mbichi za vyama hivyo.
Kuruhusu mikutano kumewavua nguo wengi akiwepo yule profesa uchwara wa uchumi pale Buguruni, na jirani yake wa Kigoma "Mr chauongo" anaepika data za uongo kuhusu uongozi wa hayati Magufuli.
Lakini pia kumewaumiza wengi ki akili na ki mwili maana kuna watu sasa wanashindwa hata kula, wengine wanaugua kabisa haswa wale ambao hawakuwa wanajua au kutarajia kujua kama vyao vyao vimeshakufa na kwamba vilikuwa vinaonekana kama vipo hai kutokana na kichaka cha ukatazaji mikutano, kingine kilichowaumiza watu zaidi ni kitendo cha makamu kuja huku wakiwa na matumaini kwamba amekujaa kukaa kusaidia na boss wake kujenga chama. Sasa jamaa ameingia gizani kimya kimya na kuwaacha chawa wake na wanachama kwa ujumla wakiwa kwenye question mark wasijue la kufanya.
Sasa najiuliza ni nani aliemshauri Rais kutoa marufuku ambayo ilikuwa inawasaidia wapinzani kujifichia kufanya propaganda zao. Haoni kama kasababisha taflani, aibu na fedheha ndani ya vyama hivyo?
Sukuma Gang imejaa mazwazwa tupuMaandishi mengi kutuchosha bila sababu maana hata point unayotaka kujenga haionekani.
Hebu Rudi MEMKWA au QT ukajufunze tena uandishi wa insha
Huo muda wa Upinzani wa update wapo kupngealea mambo ya kupanda kwa bei wakati hoja yao kuu ni kumuongelea marehemuHuo utetezi ndio utakaojibiwa majukwaani baada ya walioruhusiwa kufanya mikutano kuzungumzia upandaji wa bei za vyakula. Kabla ya ondoleo la zuio la mikutano, kusingekuwa na haja ya utetezi maana washambuliaji walishanyamazishwa kwa kuzuiwa kuongea.
By the way raia hawasikilizi mifano ya nchi nyingine, wao wanajiuliza ya nchi yao maana hivyo vilivyopanda bei vinazalishwa nchini, wala havisafirishwi kutoka Ukraine na Russia kwenye vita, au China kwenye Covid. Mchele unazalishwa Kyela, Morogoro, Mpanda na kwingineko. Maharage ndio usiseme, mahindi sijui utasema nini. Gharama za kuprocess ni mashine za kusaga na kukoboa, hazijapanda. Uzalishaji haujapanda. Lakini bei imepanda na Waziri wa Kilimo wa Serikali hii anasisitiza acha bei ipande tu! hayo yataulizwa na yatahitaji majibu!
Dah unatia aibu ndugu yangu. Ama kweli mganga wa Mbowe ni kiboko maana upumbazwaji huu sio wa maneno ya kawaida. Lazima atakuwa alipata msaada wa kigagula ili aweze kuzitia akili zenu ndani ya box msione wala kusikia lolote linalotoka nje ya mdomo wake hata kama ni la kweli.Huo utetezi ndio utakaojibiwa majukwaani baada ya walioruhusiwa kufanya mikutano kuzungumzia upandaji wa bei za vyakula. Kabla ya ondoleo la zuio la mikutano, kusingekuwa na haja ya utetezi maana washambuliaji walishanyamazishwa kwa kuzuiwa kuongea.
By the way raia hawasikilizi mifano ya nchi nyingine, wao wanajiuliza ya nchi yao maana hivyo vilivyopanda bei vinazalishwa nchini, wala havisafirishwi kutoka Ukraine na Russia kwenye vita, au China kwenye Covid. Mchele unazalishwa Kyela, Morogoro, Mpanda na kwingineko. Maharage ndio usiseme, mahindi sijui utasema nini. Gharama za kuprocess ni mashine za kusaga na kukoboa, hazijapanda. Uzalishaji haujapanda. Lakini bei imepanda na Waziri wa Kilimo anasisitiza ipande tu!
Hii comment yako haiwezi kumrudisha Lisu Tanzania wala kuwaingiza wapinzani ikulu maana hawana hoja yenye mashiko.Sukuma Gang mna wakati mgumu sana walahi !!!
Sijaona ulipojaribu kujibu hoja zaidi ya kunishambulia. Ni dalili za mtu asiye na hoja kuizima ya mwenzake kwa kumshambuliaDah unatia aibu ndugu yangu. Ama kweli mganga wa Mbowe ni kiboko maana upumbazwaji huu sio wa maneno ya kawaida. Lazima atakuwa alipata msaada wa kigagula ili aweze kuzitia akili zenu ndani ya box msione wala kusikia lolote linalotoka nje ya mdomo wake hata kama ni la kweli.
Pole sana mkuu kwa kusubiri wapinzani uchwara washike nchi na kukuuzia kilo ya mchele sh 500.
Neno la busara kwakoHabari zenu wana JF wenzangu.
Leo sina mengi zaidi ya kutafuta jibu la swali langu hapo juu. Maana ukiliangalia suala hili kupitia baadhi ya waathirika wenyewe unaweza kuliona dogo, lakini kiuhalisia ni kubwa na lina madhara mabaya ya kimwili na kiakili.
Fikiria watu walikuwa wanapiga kelele na mikwara kibao kuwa wanashindwa kuonesha uhai na uimara wa vyama vyao kutokana na katazo la mikutano lililowekwa na aliekuwa Rais wetu wa awamu ya tano hayati dr John Magufuli.
Wengine wakasema kwamba vyama vyao vitaongeza uimara wake pindi Rais aliepo madarakani (Samia) atatoa katazo la mikutano na kuruhusu viongozi wao waliopo nje ya nchi kurejea kufanya siasa zao kwa njia ya amani na uhuru.
Watu hao walishindwa kujua kwamba uimara wa vyama vyao ulikuwa umejificha katika hicho hicho kimvuli cha ukatazaji mikutano. Hawakujua kwamba watanzania wa 2021 sio wale wa 2001. Watanzania wa 2001 walikuwa wanashinda juani na mvuani kupigania vyama uchwara ili vishinde uchaguzi na kuwaneemesha viongozi wao, watanzania wa 2021 wanashinda makazini na katika maeneo mbali mbali ya utafutaji rizki kwa ajili ya kutafuta ugali wao na wa familia zao. Watu hawana tena muda wa kwenda kusimama juani kusubiri mwanasiasa aje amdanganye kuwa Lowasa ni fisadi, afu kesho tena katika uchaguzi mkuu adanganywe tena kuwa Lowasa ni mtakatifu nk.
Kuruhusu mikutano kufanyika kumesababisha makamu mwenyekiti wa chama fulani kuja nchini kwa mbwembwe nyingi na mwisho wa yote akajikuta anaondoka nchini na aibu bila kuaga. Laiti kama Rais asingetoa katazo basi haya yasingetokea maana asingekuja, lakini pia ingekuwa ngumu watu kujua mbivu na mbichi za vyama hivyo.
Kuruhusu mikutano kumewavua nguo wengi akiwepo yule profesa uchwara wa uchumi pale Buguruni, na jirani yake wa Kigoma "Mr chauongo" anaepika data za uongo kuhusu uongozi wa hayati Magufuli.
Lakini pia kumewaumiza wengi ki akili na ki mwili maana kuna watu sasa wanashindwa hata kula, wengine wanaugua kabisa haswa wale ambao hawakuwa wanajua au kutarajia kujua kama vyao vyao vimeshakufa na kwamba vilikuwa vinaonekana kama vipo hai kutokana na kichaka cha ukatazaji mikutano, kingine kilichowaumiza watu zaidi ni kitendo cha makamu kuja huku wakiwa na matumaini kwamba amekujaa kukaa kusaidia na boss wake kujenga chama. Sasa jamaa ameingia gizani kimya kimya na kuwaacha chawa wake na wanachama kwa ujumla wakiwa kwenye question mark wasijue la kufanya.
Sasa najiuliza ni nani aliemshauri Rais kutoa marufuku ambayo ilikuwa inawasaidia wapinzani kujifichia kufanya propaganda zao. Haoni kama kasababisha taflani, aibu na fedheha ndani ya vyama hivyo?
Sikushambulii bali nakushangaa mpaka leo haujui ni kwanini Tanzania na dunia kwa ujumla vitu vinapanda bei.Sijaona ulipojaribu kujibu hoja zaidi ya kunishambulia. Ni dalili za mtu asiye na hoja kuizima ya mwenzake kwa kumshambulia
Neno la busara kwako. Badala ya kujadili vyama rivals vya kisisss, jadili hoja wanazozitoa kwrenye mikutano yao. CCM tupunguze uzwazwa kwa sass. Hoja za wapinzani zijibiwe
Okay, hoja iko hapa: Inakuwaje haya mazao yasiwe bei juu immediately baada ya msimu wa mavuno, badala yake yanapanda bei miezi kadhaa baada ya mavuno? Kama ni gharama za uzalishaji, Je, mwezi Julai au August 2022 mchele bomba uuzwe sh. 2500/= kwa kilo, halafu mavuno hayo hayo Februari 2023 mchele ule ule bomba uuzwe sh. 3,600/= ? Hizo gharama za mbolea zimeakisiwa lini wakati mvuno ni ule ule mmoja?Wewe unazungumzia habari za chakula kulimwa nyumbani lakini haujui mbolea, madawa ya kuuwa wadudu vinatoka wapi, vinapatikanaje na vinafika fikaje kwa wakulima. Kwamba havinunuliwi, haviletwi na usafiri, huo usafiri unaovileta hautumii petrol nk.
Kulikuwa na haja gani ya kujifanya mwana CCM? Kwani mada inazungumzia CCM au inazungumzia ruhusa ya vyama kufanya mikutano?Neno la busara kwako
Badala ya kujadili vyama rivals vya kisisss, jadili hoja wanazozitoa kwrenye mikutano yao.
CCM tupunguze uzwazwa kwa sass. Hoja za wapinzani zijibiwe