Nani ameiroga Afrika, Zimbabwe imetuma wanamichezo 9 na viongozi 67 Paris kwenye mashindano ya Olympics

Hivvi ulifikiri Tanzania gtupo "exceptional" kwa ujinga?

Ikiwa tumeweza kudanganywa kuwa tupo huru na kuongozwa na mzungu kwa miaka 24 au zaidi, akiwa ndani ya Ikulu ya Dar, unafikiri ujinga umetutoka lini?
Unaweza kuthibitisha hili ikihitajika kufanya hivyo Faiza?
 
Huyo mzungu mtaje jina lake kama unamkumbuka
 
😂😂
 
Duuh, Mzungu gani huyo alitawala akiwa kajificha ikulu?
 
Ulivyo mdini unaona bora kutawaliwa na mwarabu kuliko mzungu
 
Hivyo kama wanamichezo waliofuzu kwenye nchi yao ni 9 ulitaka wengine waende kushiriki kilazima au waende tu kwa wingi kama ufahari bila kushiriki?

Makocha hata wangeenda 900 hao ndio wataenda kujifunza mbinu kutoka timu zilizo bora na watafaidika zaidi kwa kuwa sehemu ya tukio kuliko kufuatilia kwenye runinga ili kuongeza ufanisi zaidi kwenye kazi yao

Kwani nia sio kushindana tu bali kujifunza pia, acheni kupuuza kila kitu nchi kama Zimbabwe ni miongoni mwa nchi za kuigwa katika maeneo mengi jamaa wanajikongoja licha ya vikwazo vingi
 
acha kodi zitafunwe kaka hela za wananch mbona nch flan juz juz presdaaa alienda kwa kina jumong na bongo movie km ote na hakukua hat na umuhim kufanya ivo ht sanaa na maadil ytu na wakorea tafaut wanajfunza nn km kujfunz kwann asbebe wanafunz as diaspora wakafundshwe tecnology uko ht mwaka wakirus wawezeshe vyuo vyetu
 

Kwahiyo Maza anaendeshwa na mizungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…