Nani ameiroga Afrika, Zimbabwe imetuma wanamichezo 9 na viongozi 67 Paris kwenye mashindano ya Olympics

Nakaa najiuliza sijui waafrika tutabaki hivi milele au vizazi vingapi vitapita kuonyesha tumebadilika
 
Mbona bandari wanaiendesha wale UAE 😄
Nyie Chevening tu komasava dada yangu kipenzi

Ova
 
Mbona bandari wanaiendesha wale UAE 😄
Nyie Chevening tu komasava dada yangu kipenzi

Ova
Ungejuwa biashara kubwa duniani zimeshikwa na nani ungeelewa unachokisema.

Hao hao waliokuletea coma sava ndiyo waliokuletea DP World.

Kwa muono huo wako, huna pa kukwepa.
 
Tumejiroga wenyewe kwa kufikiria vichwa kazi yake kubebea vitu vizito. Kumbe kwenye kila kichwa kuna ubongo unaotakiwa kufikiri
 
Ungejuwa biashara kubwa duniani zimeshikwa na nani ungeelewa unachokisema.

Hao hao waliokuletea coma sava ndiyo waliokuletea DP World.

Kwa muono huo wako, huna pa kukwepa.

Nani sasa ni DP World?
 
😅😅😅 ndo walivyo wanapenda kufaidika kupitia migongo ya watu. Kubuni vyao aaaaah!
 
Wapi ilipoandikwa"maafisa wa serikali hawaruhusiwi kwenda olimpiki"?
 
Ulitaka wampeleke bibi yako akachafue majiji ya watu kwa mate ya ugoro?
 
Twende mbele turudi nyuma.

. Kuna tatizo lipi hapo au kuna sheria na kanuni zipi zinazokataza msafara wa wasindikizaji wachezaji kuwa mkubwa?
 
Ungejuwa biashara kubwa duniani zimeshikwa na nani ungeelewa unachokisema.

Hao hao waliokuletea coma sava ndiyo waliokuletea DP World.

Kwa muono huo wako, huna pa kukwepa.
Wote hao wale wale si tuendele
Kukatika mauno komasava tu

Ova
 
Kuna clip ilikua inasambaa huko msafara Wa mama ulikua na mashangingi 120
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…