Nani anamlinda Gekul? DPP asema hana mpango wa kuendelea na kesi
CCM huwa hawashitakiani kwani kinachofanywa na mmoja wao huwa kina faida kwa chama kizima.

Kwani waliomfanyia unyama Rose Kamili mpaka leo wamekamatwa??

Nani hajui kuwa Tundu Lissu alishambuliwa kimkakati na mpaka Leo waliomshambulia "hawajulikani"?

Kuna mtu alimwita Magufuli Bwege alisakwa kama Gaidi wakati watu wa CCM wanatukana na kutishia maisha ya Wana CHADEMA na hawafanywi kitu!!

Mlishangaa ya Sabaya Sasa mnashangaa ya Gekul. Endeleeni kushangaa!!!
 
Ile stori ilitengenezwa na wahuni wa chadema, hata kikesi cha fidia cha madereka kitapigwa P.O nje ndani, kitachakazwa, kitakachobaki sahihi ni majina ya parties na mahakama
 
Aliyefanyiwa vile ni CHADEMA???

Huwa mna majibu ya kiibilisi sana nyie watu!!!
Huyo ana tatizo kichwani
Kijana Mtanzania Mfanyakazi wake kafanyiwa huo uhuni
Lakini mtu anakuja anabeza eti chadema
Kwani Gekul ni adui wa chadema
 
Wasomi wa Sheria tusaidieni hapa. Ikiwa DPP hataki kuendelea na kesi, haki ya mlalamikaji inakuwa wapi? Au afungue kesi ya madai ambayo haimuhusishi DPP..?
Kesi za Jinai huendeshwa na DPP na Ili ziendeshwe nje ya Ofisi ya DPP Kuna mlolongo mrefu wa kanuni za kufuata kiasi kwamba inaonekana kama usumbufu au HAIWEZEKANI.

Haiwezekani kumdai fidia Gekul kabla hajatiwa hatiani kwenye kesi ya Jinai. Kesi ya Msingi hapa ni Jinai aliyofanyiwa Hashim Ally!!!
 
Back
Top Bottom