Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaCCM huwa hawashitakiani kwani kinachofanywa na mmoja wao huwa kina faida kwa chama kizima.
Kwani waliomfanyia unyama Rose Kamili mpaka leo wamekamatwa??
Nani hajui kuwa Tundu Lissu alishambuliwa kimkakati na mpaka Leo waliomshambulia "hawajulikani"?
Kuna mtu alimwita Magufuli Bwege alisakwa kama Gaidi wakati watu wa CCM wanatukana na kutishia maisha ya Wana CHADEMA na hawafanywi kitu!!
Mlishangaa ya Sabaya Sasa mnashangaa ya Gekul. Endeleeni kushangaa!!!
Inasikitisha sanaWatu washamalizana nje huko kitambo sana
Ova
Hii nchi ni ya hovyo sanaTuki sema mahakama yame baki majengo tuu, Nape ana aagiza watu watafutwe.
Hivi kezi ya aina hii ni ya kufuta? Hata mie mbumbumbu wa sheri nassma hapana!!
Nchi Ngumu Sana, Alie pigwa ananyimwa haki sababu DPP tu Kwa kutojisikia kuendeleza na case,kweli Katiba mpya muhimu DPP angebaki na Case za Government tu,mambo ya watu binfsi yabaki mikononi mwao wenyewe na Police/ Mahakama mtu unanyimwa haki eti DPP hana Nia yakuendelea na case 🙄Wakili Peter Madeleka ameweka nakala hiyo katika ukurasa wake wa X (Twitter) na kuongeza kuwa wanaenda kukata Rufaa.
Wakuu tutafute pesa na connection ndio silaha kubwa hapa Duniani.
Mbunge wa Babati Mjini Pauline Gekul ambae alikuwa akikabiliwa na tuhuma/Mshtak ya shambulio la kimwili na Udhalilishaji kwa kumuingizia Kijiti Kijana ambae alikuwa mfanyakazi wake hotelini inasemekana amefutiwa Mashtaka na DPP.
View attachment 2854537
My Take
Maskini Haki zenu mkatafite mbinguni au mlilieni Mungu ila hapa Duniani pesa,Vyeo na connection ndio Mpango mzima.
View: https://twitter.com/millardayo/status/1739960545044730229?t=ZRtaMuv12TxIK6kH2XjOpA&s=19
Wakati Mwingine ni kufungua madai,tu,Yani Katiba mpya muhimu DPP angebaki na Case za Government, mambo ya watu binfsi yabaki Mahakama iamue,Yani mtu anakosa haki sababu DPP tu hana Nia yakuendelea na case.Wasomi wa Sheria tusaidieni hapa. Ikiwa DPP hataki kuendelea na kesi, haki ya mlalamikaji inakuwa wapi? Au afungue kesi ya madai ambayo haimuhusishi DPP..?
Mungu akubariki mtoto wako awafanyiwe vile........CHADEMA ni wapumbavu sana na wana visasi vya kijinga. Walianza kwa Sabaya wakapotezwa, mara eti kwa Covid 19 na huko wamepotezwa na Sasa kwa Gekul..... Hicho chama ni Cha wahuni tu
Hii nchi ni ngumu sana.View attachment 2854504
====
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo.
Kesi hiyo ilifunguliwa na Hashimu kupitia kwa wakili Peter Madeleka chini ya kifungu cha 128(2) na (4) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA), kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2022.
Soma pia:
1) Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul
2) Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya
3) Mbunge Pauline Gekul atakiwa kufika Mahakamani Disemba 27, 2023 kujibu tuhuma dhidi yake
😆😆😆😆View attachment 2854504
====
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo.
Kesi hiyo ilifunguliwa na Hashimu kupitia kwa wakili Peter Madeleka chini ya kifungu cha 128(2) na (4) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA), kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2022.
Soma pia:
1) Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul
2) Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya
3) Mbunge Pauline Gekul atakiwa kufika Mahakamani Disemba 27, 2023 kujibu tuhuma dhidi yake
Wakuu tutafute pesa na connection ndio silaha kubwa hapa Duniani.
Mbunge wa Babati Mjini Pauline Gekul ambae alikuwa akikabiliwa na tuhuma/Mshtak ya shambulio la kimwili na Udhalilishaji kwa kumuingizia Kijiti Kijana ambae alikuwa mfanyakazi wake hotelini inasemekana amefutiwa Mashtaka na DPP.
View attachment 2854537
My Take
Maskini Haki zenu mkatafite mbinguni au mlilieni Mungu ila hapa Duniani pesa,Vyeo na connection ndio Mpango mzima.
View: https://twitter.com/millardayo/status/1739960545044730229?t=ZRtaMuv12TxIK6kH2XjOpA&s=19
Mimi sio chawa kama weweKumbe na wewe huwa unalalamika !