Nani anamlinda Gekul? DPP asema hana mpango wa kuendelea na kesi
Hakuna opposition Tz
Kuna mambo ya msingi wanayafumbia macho…
Msaidieni yule kijana
Msaidieni yule mama aliyefungwa kwa sababu ya nyama ya swala

Opposition lengo lenu ni kushika madaraka tuuu
Mmeona yule mamba kule kunako mpo kimya. Akija bashite kusema neno basi page zenu mtamzungumzaaaa weeee

Mwenyekiti yupo kimyaaaa

Safari ya kumkomboa MTz ni ndefu sana

Wasaidieni wenye uhitaji hasa kisheria mbona mko hivi
Ya Bandari mlikausha
Ngorongoro mlikausha
Mlionekana Hanang tu kupata maphotoooo
 
Raha jipe mwenyewe kama umeshindwa kujitambua na kujikomboa unategemea Mbowe aje akukomboe,huo ni uzwazwa.
 
Kwani alikuwa ameshtakiwa na nani?maana kama ni DPP alikuwa ndiye kamshtaki hapo hamna kitu .maana unajishtaki kivipi? Serikali inawezaje kumshtaki Mbunge aliyeteuliwa na chama chake na DPP naye yuko chini ya chama hicho hicho?
 
Nasema kweli makamanda hata mchukie.

Ishu ya Gekuli iliingiziwa siasa sana kuliko kuacha PolisiTz wafanye kazi yao.

Kisa tu Gekul alihama Chadema na kujiunga na mafisadi wa CCm kila mtu ikawa ni kufurahia Gekul afungwe.

Huu ni upuuzi kabisa, Mwita nae tunamchukia bila sababu.
 
Yaani wewe chawa wa mbogamboga huna akili kabisa, yaani wewe ni takataka kabisa
 
Nasema kweli makamanda hata mchukie.

Ishu ya Gekuli iliingiziwa siasa sana kuliko kuacha PolisiTz wafanye kazi yao.

Kisa tu Gekul alihama Chadema na kujiunga na mafisadi wa CCm kila mtu ikawa ni kufurahia Gekul afungwe.

Huu ni upuuzi kabisa, Mwita nae tunamchukia bila sababu.

..Chadema hawana uwezo wa kuzuia Polisi wasitimize wajibu wao.
 
🤣🤣🤣

Pole ikiwa ndugu inaumiza.. ila mume somo abadilike.

haya turudi KWENYE siasa
Mnafundishana Chadema kuhoji mtu akiwa nusu mwili hajavaa nguo??? Mnatenda hayo yote ya uonevu kwa raia wa jimboni kizaidi ni Chadema wanawashika mikono au?
 
View attachment 2854504

====

Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo.

Kesi hiyo ilifunguliwa na Hashimu kupitia kwa wakili Peter Madeleka chini ya kifungu cha 128(2) na (4) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA), kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2022.

Soma pia:

1) Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

2) Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

3) Mbunge Pauline Gekul atakiwa kufika Mahakamani Disemba 27, 2023 kujibu tuhuma dhidi yake
Hana hatia mwenye hatia ni 'CHUPA YA SOFA"
 
Kwani awamu hii kuna kesi zozote zinafika mwisho au mtu kushtakiwa akaongea kujitetea mahakamani?
 
Nasema kweli makamanda hata mchukie.

Ishu ya Gekuli iliingiziwa siasa sana kuliko kuacha PolisiTz wafanye kazi yao.

Kisa tu Gekul alihama Chadema na kujiunga na mafisadi wa CCm kila mtu ikawa ni kufurahia Gekul afungwe.

Huu ni upuuzi kabisa, Mwita nae tunamchukia bila sababu.
Sawa boss,lakini Chadema hawana mamlaka ya kuamua kufuta kesi wala kuchunguza jinai. By the way kama DPP amefuta kesi hii kwa interest zake na kupokonya haki ya kijana masikini, mwenyezi mungu Hana tajiri wala masikini. Mshahara wa dhambi ni mauti. Mungu shughulikia matapeli,majizi na manyonyaji haya
 
Back
Top Bottom