Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukumu aliyohukumiwa na jamii kuwa ni mnajisi inatosha.Nasema kweli makamanda hata mchukie.
Ishu ya Gekuli iliingiziwa siasa sana kuliko kuacha PolisiTz wafanye kazi yao.
Kisa tu Gekul alihama Chadema na kujiunga na mafisadi wa CCm kila mtu ikawa ni kufurahia Gekul afungwe.
Huu ni upuuzi kabisa, Mwita nae tunamchukia bila sababu.
Na wewe ni wale wale. Kama chadema wanamchukia kwa kuhama. Wewe unamchukia kwa sababu gani?tunamchukia
Bila shaka mleta uzi ni mamluki!Nasema kweli makamanda hata mchukie.
Ishu ya Gekuli iliingiziwa siasa sana kuliko kuacha PolisiTz wafanye kazi yao.
Kisa tu Gekul alihama Chadema na kujiunga na mafisadi wa CCm kila mtu ikawa ni kufurahia Gekul afungwe.
Huu ni upuuzi kabisa, Mwita nae tunamchukia bila sababu.
Shenzi shwainBila shaka mleta uzi ni mamluki!
Kwamba DPP anafanya kazi kwa kuwakomoa cdm na sio Sheria zinataka Nini. Unakwama wapi we 🌈?Nasema kweli makamanda hata mchukie.
Ishu ya Gekuli iliingiziwa siasa sana kuliko kuacha PolisiTz wafanye kazi yao.
Kisa tu Gekul alihama Chadema na kujiunga na mafisadi wa CCm kila mtu ikawa ni kufurahia Gekul afungwe.
Huu ni upuuzi kabisa, Mwita nae tunamchukia bila sababu.
Fedha na uwe kibaraka wa dola. Ukiwa na fedha tu halafu ukawa unakosoa dola watakushughulikia.Tutafute pesa huku Afrika hata uki Ua haufungwi!
Dalili za mvuta banghi mbichi!Shenzi shwain
Mkuu ndiyo unajua leo? Na sijui kwa nini umesema ''kama ni kweli''! Hii wengine tulishasema adhabu yake ilikuwa ni kuondolewa uwaziri tu. Hapa ndipo tulipofikia. Hakuna njia ya mkato. Bila wananchi kuamka na kukiwasha ni bure. Hii inatakiwa mara waliposema kesi imeondolewa na DDP nchi nzima ingeweka moto! Hiyo ndiyo lugha watawala wanaielewa.Kama hii ni kweli basi kuna double standard kubwa sana nchi hii.
Ukiwa chama fulan hugusiki, hii si poa kabisa
Wewe shida yako unatumia nyeo kufikiriKwamba DPP anafanya kazi kwa kuwakomoa cdm na sio Sheria zinataka Nini. Unakwama wapi we 🌈?
Mimi nivute bhangi?Dalili za mvuta banghi mbichi!
Tatizo la CDM ni kutaka kusaka sifa kila pahali na kutaka kuingiza politics kila pahala. Saa nyingine huu ujuaji unawaharibia au kuwapotezea watu haki zao. Punguzeni kiheleni heleni.Sawa boss,lakini Chadema hawana mamlaka ya kuamua kufuta kesi wala kuchunguza jinai. By the way kama DPP amefuta kesi hii kwa interest zake na kupokonya haki ya kijana masikini, mwenyezi mungu Hana tajiri wala masikini. Mshahara wa dhambi ni mauti. Mungu shughulikia matapeli,majizi na manyonyaji haya
Good pointTatizo la CDM ni kutaka kusaka sifa kila pahali na kutaka kuingiza politics kila pahala. Saa nyingine huu ujuaji unawaharibia au kuwapotezea watu haki zao. Punguzeni kiheleni heleni.
Kitu kingine ni matumizi ya matusi Kwa kila anayeonekana kutovutiwa na siasa na misimamo ya cdm.
Binafsi sidhani kama unaweza kuongeza ushawishi Kwa matumizi ya lugha zisizo na staha lakini pia Kwa kuwa na kimbelembele Kwa kila kitu.
Na Siyo kila anayeongea tofauti na cdm haipendi cdm na kwamba hawezi kuipa kura. Mfano Mimi binafsi kwenye kupiga kura Huwa sipigii chama, trend yangu ni ifuatavyo:-
1995: Lyatonga Mrema, na baada ya marudio DSM nilipiga Kwa Lipumba
2000: Lyatonga Mrema
2005: Freeman Mbowe
2010: Dr. Slaa
2015: Dr. Magufuli
2020: Dr. Magufuli
2025: Inshallah, tukijaaliwa na kukawekwa. Mtu atakayenishawishi nitampia bila kujali Chama.
Kwa hiyo baada ya Chadema kuleta siasa kwenye jambo hilo ikawa ni kikwazo kwa muathirika kupata haki yake ama unamaanisha kuwa mtuhumiwa alitumwa na Chadema ambao wako juu ya sheria mpaka kuwafanya police wasifanye kazi yao?Nasema kweli makamanda hata mchukie.
Ishu ya Gekuli iliingiziwa siasa sana kuliko kuacha PolisiTz wafanye kazi yao.
Kisa tu Gekul alihama Chadema na kujiunga na mafisadi wa CCm kila mtu ikawa ni kufurahia Gekul afungwe.
Huu ni upuuzi kabisa, Mwita nae tunamchukia bila sababu.
Unauliza jibu? Pumbavu mbwa kokoKwa hiyo baada ya Chadema kuleta siasa kwenye jambo hilo ikawa ni kikwazo kwa muathirika kupata haki yake ama unamaanisha kuwa mtuhumiwa alitumwa na Chadema ambao wako juu ya sheria mpaka kuwafanya police wasifanye kazi yao?