Nani anamlinda Gekul? DPP asema hana mpango wa kuendelea na kesi
Shida ipo kwa wenzangu na Mimi kusikiliza upande mmoja na kutoa hukumu
Kwakuwa media zimesema basi afungwe wanaona sheria inawachelewesha wanasahau kwamba hata muhalifu anazo haki zake kwakuwa naye ni binadamu umaskini wetu unatutawala na kutulazimisha kuwachukia wenye nacho.
 
Hukumu katoa nani????

Kesi haijaendeshwa wewe unasema Kuna watu walitoa hukumu. Unajua maana ya Hukumu wewe!!??
 
Mahakama ya Wilaya ya Babati Mkoani Manyara imefuta shauri la jinai lililofunguliwa na Wakili Peter Madeleka dhidi ya Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini Paulina Gekul la kumfanyia shambulio la mwili Hashim Ally.

Uamuzi huo umetolewa leo December 27,2023 na Hakimu Mkazi wilaya ya Babati Victor Kimario baada ya Mwendesha Mashtaka wa Serikali kuona hana nia ya kuendelea na kesi hiyo na ameiondoa kwa mujibu wa kifungu cha 91 (1) cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai sura ya 20 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2022 ambayo inamoa DPP Mamlaka ya kuondoa kesi yoyote ya jinai Mahakamani kabla haijafikia hukumu.

Nje ya Mahakama, Wakili wa upande wa Mlalamikaji, Peter Madeleka amesema wanakusudia kukata rufaa kwa kuwa hawajaridhishwa na maamuzi yaliyotolewa na Mahakama.

Madeleka akiwa na Mawakili wengine Thadei Lister na Peter Masanja walifungua kesi dhidi ya Mbunge Paulina Gekul wakidai alimfanyia kitendo hicho Hashim Ali kwa kumuingizia chupa sehemu ya haja kubwa, upande wa Mshtakiwa uliwakilishwa na Wakili Ephraim Kisanga.
#MillardAyoMAHAKAMANI
 
Hii, siyo haki ilipaswa muhanga wa tukio Hilo ndo aseme hana nia ya kuendelea na kesi, siyo DPP
 
View attachment 2854504

====

Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo.

Kesi hiyo ilifunguliwa na Hashimu kupitia kwa wakili Peter Madeleka chini ya kifungu cha 128(2) na (4) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA), kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2022.

Soma pia:

1) Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

2) Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

3) Mbunge Pauline Gekul atakiwa kufika Mahakamani Disemba 27, 2023 kujibu tuhuma dhidi yake
Ndo tatizo la kwenda uwanjani na matokeo, kesi yenyewe ya kupika tu hiyo
 
Mlitaka DPP afuate upepo wa media, asiangalie facts?
 
View attachment 2854504

====

Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo.

Kesi hiyo ilifunguliwa na Hashimu kupitia kwa wakili Peter Madeleka chini ya kifungu cha 128(2) na (4) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA), kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2022.

Soma pia:

1) Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

2) Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

3) Mbunge Pauline Gekul atakiwa kufika Mahakamani Disemba 27, 2023 kujibu tuhuma dhidi yake
Labda dogo ameshapona matako yake.
 
Shekeli talks!
Hujamsikia Askofu Malasusa?amesema;"wamejaa tamaa,wanakula rushwa!"

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2854504

====

Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo.

Kesi hiyo ilifunguliwa na Hashimu kupitia kwa wakili Peter Madeleka chini ya kifungu cha 128(2) na (4) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA), kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2022.

Soma pia:

1) Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

2) Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

3) Mbunge Pauline Gekul atakiwa kufika Mahakamani Disemba 27, 2023 kujibu tuhuma dhidi yake
Hizo zilikuwa ni fitna tu za wanasiasa uchwara. Hivi CHADEMA wananufaika nini na hizi kesi za wanawake wanaojitambua??

Wamewashindwa wanaowaita Covid 19 na Sasa wamehamia kwa Gekul. Puumbavu kabisa
 
Ile stori ilitengenezwa na wahuni wa chadema, hata kikesi cha fidia cha madereka kitapigwa P.O nje ndani, kitachakazwa, kitakachobaki sahihi ni majina ya parties na mahakama
CHADEMA ni wapumbavu sana na wana visasi vya kijinga. Walianza kwa Sabaya wakapotezwa, mara eti kwa Covid 19 na huko wamepotezwa na Sasa kwa Gekul..... Hicho chama ni Cha wahuni tu
 
Tusikubali kutolewa kwenye mstari.

Yale yalikuwa maigizo ya wenyewe!!

Tujikite kudai tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote.
 
Watu washamalizana nje huko kitambo sana

Ova
 
Back
Top Bottom