Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Hivi kuna mbunge yeyote aliyewahi kuhukumiwa kwa makosa yanayohusiana na raia? Kuna waliowahi kuwapiga watu vibao na hakuna kilicho endelea.View attachment 2854504
====
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo.
Kesi hiyo ilifunguliwa na Hashimu kupitia kwa wakili Peter Madeleka chini ya kifungu cha 128(2) na (4) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA), kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2022.
Soma pia:
1) Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul
2) Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya
3) Mbunge Pauline Gekul atakiwa kufika Mahakamani Disemba 27, 2023 kujibu tuhuma dhidi yake
Rais hakuwa sahihi kutengua uteuzi wa Gekul kwa tuhuma hizi?Sasa Mbowe alipopigwa 'Nolle' , alikuwa analindwa na nani?
Kesi hewa hii, haina kichwa wala miguu. dpp kaona tabu tu kaamua kuitema
Hao unaowaita magaidi walithibitishwa na mahakama zipi kwamba ni magaidi?Mungu ni mnene,,,uonevu wao ni wa mda tu ndo maana tunawachukulia kama watoto vile,,,kushindwa kutenda haki ni upumbavu na siyo ujinga hata. Mda mwingine muelewe ya kuwa tupo duniani kwa muda na hatujui kesho yetu. Huku ndo kulewa madaraka.
Walikuwepo madikteta na magaidi kama akina Iddi Amin,Hitler,Osama Sadam Husein lakini waliishia kufa vifo vya aibu. Kilio cha maskini adhabu yake ni kubwa mno siku zote,,,MJIREKEBISHE KABLA MUNGU HAJANYOOSHA MKONO WAKE.
CCM ndo inayomlindaView attachment 2854504
====
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo.
Kesi hiyo ilifunguliwa na Hashimu kupitia kwa wakili Peter Madeleka chini ya kifungu cha 128(2) na (4) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA), kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2022.
Soma pia:
1) Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul
2) Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya
3) Mbunge Pauline Gekul atakiwa kufika Mahakamani Disemba 27, 2023 kujibu tuhuma dhidi yake
Ila inasikitisha sana.Dogo huenda amepoozwa na uchawi wa kizungu !
Watu wapo wapo tu kwa sasa !
Mambo si mambo !!
Hakuna mahari popote dpp anawajibika kutoa sababu za kwa nn hana nia ya kuendelea na kesi,madeleka inabidi atafute utaratibu mwingine kama upo.Wakili Peter Madeleka ameweka nakala hiyo katika ukurasa wake wa X (Twitter) na kuongeza kuwa wanaenda kukata Rufaa.
Unajua maana ya Tuhuma.?Rais hakuwa sahihi kutengua uteuzi wa Gekul kwa tuhuma hizi?
Watu wenye mate machafu bado wapo, sema tu Kuna kitukusamehe halafu shetani sio wakumtegemea.Ingekuwa enzi za Shehe Yahya
Wew ni mmoja wao eh?Hao unaowaita magaidi walithibitishwa na mahakama zipi kwamba ni magaidi?
Huwezi kumwita mtu mwizi, gaidi ama jina lolote lile kama chombo chenye mamlaka ya kumthibitisha hakijathibitisha.
Yaan vinajiona kama vile hawafi wanqvyokqza kuonea watu wa hali ya chini,,, shame on you,,, Ee Mungu fanya kitu kwa hawa wanaonyanyasa wenzao kwa kigezo cha vimali na madaraka flan flan.Maneno mazito sana haya. !
Mwenye masikio na asikie !!!
Time is running out ππ
ππYaan vinajiona kama vile hawafi wanqvyokqza kuonea watu wa hali ya chini,,, shame on you,,, Ee Mungu fanya kitu kwa hawa wanaonyanyasa wenzao kwa kigezo cha vimali na madaraka flan flan.